Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 36,050
- 71,218
Duu haya basi ngoja tumwache achacharukeMambo ya matipo, huyo ana ids mpaka za kike ambazo huwezi kuzidhania hapa jukwaani..!! 😹😹
Duu haya basi ngoja tumwache achacharukeMambo ya matipo, huyo ana ids mpaka za kike ambazo huwezi kuzidhania hapa jukwaani..!! 😹😹
Huyo mabula ndo nani?😹😹😹😹 Huyo de gunner ana id mpk za kike na ile ya pawa mabula ni yake..!!
Katolewa ban id zake hizi mbili zilizoungwa bado zingine zina ban..!!
Mimi nilikuwa nao kwenye uzi mmoja hivi adriz de mbusii alikuwa anawashambulia na kutoa Siri zao zote za umiliki wa id zake mods wakaupitia..!! Nilikuwa busy sikuingia JF narudi nakuta ban zimetembea km njugu mpaka Adriz naye kapitiwa 😹😹😹
Si weweHuyo mabula ndo nani?
Fita ni fita mula.! Sema nimependa umerudi kibabeDaah 😂 aisee.
VishuNdgu yangu Poor Brain alidai anadonoa madini tukuka toka kwa huyu dogo wa buku bee
Udugu yani pawa mabula kumbe de gunner imagine 😹😹😂😂😂 khaaah
PDF tayari udugu mie teeena hii ndio sekta yangu pendwa risiti lazima nikutunzie..!! 😹😹😹Nawee ulipitwaa km mie? Woiiiih 😂😂😂
Uduguu naomba nishushie hili PDF km lilivyo, najua lazima uliweka kwa ajiri yangu.
Fanyaa kuniwekeaa km ulivyooo.
Alooooh
😹😹😹 pawa mabula tulia.Wewe naona uwinga unekushinda sasa.
Mbona hatariii uduguu, JF ni pori, sio kichaka tena, Aloo.PDF tayari udugu mie teeena hii ndio sekta yangu pendwa risiti lazima nikutunzie..!! 😹😹😹
JF ni kichaka chenye wanyama wakali 😹
Kheeeh, kumbe ndo ilivyokua?Udugu yani pawa mabula kumbe de gunner imagine 😹😹
😂😂😂 mie nilipitwaa, napokea risiti za masijala,Hivi nyie mko serious kabisa kunifananisha na Takataka? 😂
Anajipa umuhimu🤣🤣🤣Nan alisema we ni role model wake? Af sisi wenye followers zaidi ya 50 tusemeje sasa🥱