Mbaya wenu karudi

Mbaya wenu karudi

Eeh kumbe ulini tag , ushauri wangu ishi maisha yako , ukiwa natabia za kujishtukia shtukia kila mtu atakufanya shamba la bibi , kiufupi ulishasahulika humu ni wewe unajishtukia tu bwashee
Shindii sio vizuri🤣🤣🤣
 
nipe na mimi mwongo coz i want to add dr. >doctor nyuma ya jina langu lisomeke kama Dr. Mopak
Nenda kwenye preferences--then nenda profile details kwenye then Chagua username- weka username alaf click change.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom