Mbaya wenu karudi

Mbaya wenu karudi

Navyojua JF haikatazi kuwa na IDs mbili au zaidi (sina uhakika na hili) as long as huvunji sheria kwenye hizo IDs

Sasa huyu Chief Godlove anatumia uhuru wake vibaya ona sasa kaumbuka
Huyu ID yake moja anajifanya Dakitari,halafu ID yake nyingine anauza majeneza.
 
Navyojua JF haikatazi kuwa na IDs mbili au zaidi (sina uhakika na hili) as long as huvunji sheria kwenye hizo IDs

Sasa huyu Chief Godlove anatumia uhuru wake vibaya ona sasa kaumbuka
Ukweli ni kuwa baada ya kuwa busted nikajua filter is an illusion. Sioni haja tena ya kuwa na ID mbili
 
Navyojua JF haikatazi kuwa na IDs mbili au zaidi (sina uhakika na hili) as long as huvunji sheria kwenye hizo IDs

Sasa huyu Chief Godlove anatumia uhuru wake vibaya ona sasa kaumbuka
Haikatazi ndio
 
Kwa sababu nilitaka kufanya nilicho fanya.
Basi na sasa hivi usituambie una ID hii na ile tu
Unazo nyingi na unazitumia vibaya

Nakushauri kama braza/sis ... tumia IDs zako vizuri, umesema upo kwenye mid 30s meaning ni mtu mzima sana na sio umri wa kupelekeshwa na ujana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom