KanyeWest_Tz
Senior Member
- Jul 18, 2026
- 159
- 320
1: Kama Jesus walimsurubu kwa kuponya na kufanya miujiza iweje wewe ukubalike?
de Gunner amekuwa na kitu special katika jukwaa hili..
Ni mtu aliyependa ukweli, alipenda kuongea point na kuitetea kwa nguvu zote, ila hakujua ya kuwa human nature imeumbwa na ego.. Ego ni enemy wa binadamu. Kitu alichkosea Gunner ni kutaka watu wenye ego wamsikilize. Na Kamwe it was never going to work.
Mfano mzuri ni watanzania wenyewe, yaani wanajua kabisa serekali yao Imeoza lakini ni bora waache uongozi uendelee kwa sababu ya safety ya muda mfupi ya kuogopa kutokula na kupata mahitaji kisa kuna zuio la kutoka nje.
2: Upekee ulio nao ni wako pekee.
Sisi binadamu tunapenda sana kujicompare na kufanya similarities na watu wengine. Yaani mtu akizaa mtoto anataka huyo mtoto. Awe kama yeye, kama mzazi ni mroma anataka nae mtoto asiwe na uwezo wa kuchagua dini. Au kama ni shabiki wa simba anataka familia nzima na watoto waishabikie lasivyo timu ikifungwa hakuna kula wote.
3: Wanaokupenda wapo, angalia mahala sahihi.
Hauwezi kutaka kuwa mtu smart then ukawa unakesha bar Unakunywa pombe na walevi then utegemee kukua. Huwezi kuwa mwanariadha bora kama cycle yako hakuna mtu anayekimbia walau. "environment is an invisible hand that shapes human behavior" ~James clear.
4: Sio kila mtu a nahitaji msaada.
de Gunner amekuwa kioo kujaribu kuwa Elezea watu kile anacho jua kitawasaidia ila wengi ni kama parasitwle, yaani nia yao sio kujifunza bali kutafuta namna ya kukufanya uache kuwa the bright person you are. Yaani wao kwa vile hawana kipawa cha u genius wanakuwa na nongwa ya kuwa mpaka kufikia umri waliofikia wanakosaje maarifa na upeo uliokuwa nao. Watu kama hawa ukisha wa sense achana nao...
4: Wanawake hawana logic so hawahitaji reasoning explanations.
Katika kuwa mwanaume utahitaji sana kuwa na mwanamke mzuri anayependa na na values zako, Kamwe usisikilize mwanamke... Angalia how she feels and acts around you. Wanawake humwonesha mwanaume how they feel around you. Usipoteze muda kubembeleza, unless you see her actions and feelings are reflecting your own.
5. Kuwa maarufu sio dhambi, kutaka watu wakubali ndo dhambi.
de Gunner amekuwa attention seeker sana humu.. Na hio ndo mwanzo wa machukizo kwa wengine. Kila mtu anapenda kuwa maarufu lakini hapendi mwengine awe. Kwasababu lazima awe insecure na ego yake itaona haina hadhi mbele yake. So next time Gunner play it low key... Engage with respectful people, don't answer fools, anza kuandika machapisho makali without trying to seek approval for it.. Watu wameshakujua wewe ni genius hakuna haja tena.. Ya kutaka mtu afahamu kuwa wewe ni nani... They already know that..
"de Gunner you're already whole, you're already complete, you're a star🌟, then what makes you feel like you cannot shine"
Je, ungependa kumshauri nini de gunner/Ellevenn Kabla hajarudi? Tutumie lugha nzuri sita jibu comments maana haya si maneno yangu.
Have a nice weekend y'all.
meghan markle