Mbaya wenu karudi

Mbaya wenu karudi

Ukweli ni kuwa baada ya kuwa busted nikajua filter is an illusion. Sioni haja tena ya kuwa na ID mbili

Hata ukiwa nayo usitutukane huku then kule unatuchekea

Ni dalili mbaya sana kwa mwanaume(if you know what i mean)
 
Basi na sasa hivi usituambie una ID hii na ile tu
Unazo nyingi na unazitumia vibaya

Nakushauri kama braza/sis ... tumia IDs zako vizuri, umesema upo kwenye mid 30s meaning ni mtu mzima sana na sio umri wa kupelekeshwa na ujana
Sawa dogo 😂
 
Hata ukiwa nayo usitutukane huku then kule unatuchekea

Ni dalili mbaya sana kwa mwanaume(if you know what i mean)
Sijawahi kufanya hivyo. Huwa napokea mtu kama alivyo. Mimi ni mtu nisiye penda mikato mikato they know me so well
 
Sijawahi kufanya hivyo. Huwa napokea mtu kama alivyo. Mimi ni mtu nisiye penda mikato mikato they know me so well

Kwanini ID ya 11 na 🔫 itofautiane maoni kuhusu Seran?

Ama alikujia tofauti kwenye hizo IDs?
 
Kwanini ID ya 11 na 🔫 itofautiane maoni kuhusu Seran?

Ama alikujia tofauti kwenye hizo IDs?
Seran nilikuwa na kisasi nae. Na by the time natofautiana nae by another ID tyr hatukuwa on the same page hata kwa ID hii
 
Burudani kwa kumfanya mtu ajihisi down? You are a psycho
Hahahaha really?.

Kati ya emphatic people duniani na mimi nimo. Sema humu ego yangu huwa naipa kipaombele sana
 
Aje atuwekee km ulivyo, uchambuzi na uchaguzi tutafanya sie wenyewee.
😂😂😂
😹😹😹😹 Huyo de gunner ana id mpk za kike na ile ya pawa mabula ni yake..!!

Katolewa ban id zake hizi mbili zilizoungwa bado zingine zina ban..!!

Mimi nilikuwa nao kwenye uzi mmoja hivi adriz de mbusii alikuwa anawashambulia na kutoa Siri zao zote za umiliki wa id zake mods wakaupitia..!! Nilikuwa busy sikuingia JF narudi nakuta ban zimetembea km njugu mpaka Adriz naye kapitiwa 😹😹😹
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom