cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,335
- 188,008
😂😂😂 khaaahUmuhimu wa kumiliki id za kike na kiume? 😹
Sasa ukitongozwa piem unajibuje?
Nyie ndio mnaoomba afu tatu wanaume wenzenu afu makasiriko tunaletewa wanawake huku jukwaani…!!
😂😂😂 khaaahUmuhimu wa kumiliki id za kike na kiume? 😹
Sasa ukitongozwa piem unajibuje?
Nyie ndio mnaoomba afu tatu wanaume wenzenu afu makasiriko tunaletewa wanawake huku jukwaani…!!
Bwashee lazima ulinde reputation si unajua tena.Eeh kumbe ulini tag , ushauri wangu ishi maisha yako , ukiwa natabia za kujishtukia shtukia kila mtu atakufanya shamba la bibi , kiufupi ulishasahulika humu ni wewe unajishtukia tu bwashee
😂😂😂 masijara ya JF lazima yafike hapa.Watu mnapenda ubuyu!
Actually, ni stori ndefu sana. Ila Inshort ni kuwa kuna kila aina ya kiumbe humu. Kuna watu na agenda zao. Nimeelezea pale ya kuwa you need to find people whom you can vibe with, wengi humu ssi watu wema ukikaa vibaya wanaweza kuku trigger na kukusababishia ban.Wewe mleta uzi tunakuomba utueleze kwa nini ulipewa ban ili tujifunze wengne huku. Mimi najua hapo ni kama you were under probation na sio kuhukumiwa miaka kadhaa. Sa ningeomba uwe balozi wa kuhubiri on what to do ili tuepukane na bans. Lakin kwa style uliyokuja nayo bro ati ya mbaya wetu hapo sio fresh au ulikuwa na mabifu na watu humu ndani ndo wakakufitini ukapewa ban? Nakumbuka ban ilivyopita kuna watu walichambuliwa kuwa it was right to be banned but you were not among them. Vipi chanzo cha kupata ni nini kiongozi?
Ni kweli bwashee, ila hata mbwa mzee anaweza kujifunza njia mpya... asije akafa akilinda kibanda kilekile. 🤣Bwashee lazima ulinde reputation si unajua tena.
Wanasemaga "your life is the message" maneno ya Gandhi mwenyewe.
Hakika ,bwashee maisha ni ujumbe, ila ujumbe mzuri nao huwa na sura mpya kila ukurasa, usibaki kusoma chapter ya zamani tu.Hakika.
PoleeeDah ngoja tuone. Kumbe kuna masijala na sijui
Yah ni kweli ila pia Steve Jobs alisemaHakika ,bwashee maisha ni ujumbe, ila ujumbe mzuri nao huwa na sura mpya kila ukurasa, usibaki kusoma chapter ya zamani tu.
na ndio maana naambia watu kila leo kuwa sio kila uzi n kujibu, yaan unakuta mtu kaandika uzi mwingne anakuja na matusi ni kama kalengwa yeye. Anyway pole na imekuwa vizuri kama umejua tatizo liko wapi hapo tayari wewe ni mshindi. Vipi huko banned zone mlikuwa mnapewa vinywaji mkuu.Actually, ni stori ndefu sana. Ila Inshort ni kuwa kuna kila aina ya kiumbe humu. Kuna watu na agenda zao. Nimeelezea pale ya kuwa you need to find people whom you can vibe with, wengi humu ssi watu wema ukikaa vibaya wanaweza kuku trigger na kukusababishia ban.
Kweli kabisa bwashee 😂, ila ukiangalia nyuma sana unaweza kukutana na jana ikikuuliza "mbona bado hujaendelea?"Yah ni kweli ila pia Steve Jobs alisema
"Though we live in the present, life's meaning is learned by looking backwards"
There's power in that too.
Yah inabidi usi react sana hasa unapojua motives za mtu husika.na ndio maana naambia watu kila leo kuwa sio kila uzi n kujibu, yaan unakuta mtu kaandika uzi mwingne anakuja na matusi ni kama kalengwa yeye. Anyway pole na imekuwa vizuri kama umejua tatizo liko wapi hapo tayari wewe ni mshindi. Vipi huko banned zone mlikuwa mnapewa vinywaji mkuu.
Mlongo I miss you😍Kwani kuna nini mlongo? Naona nimepitwa na vingi humuu.
Fanya kuni samaraizia plz. 😂😂😂
poa boss ila nna ombi moja tu. Ebu tag mods wakueleze on how to change your name coz hilo jina linakaa la kike kike na kimtazamo wewe ni gent. Pambana u change da name da babilon rastasYah inabidi usi react sana hasa unapojua motives za mtu husika.
Inabidi uwe na filter kujua kipi cha kujibu
Banned zone tulikuwa wapenzi watizamaji tu hakuna faida yeyote