Aisee mwanamke akisha amua ndo kwishnei hiyo

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
14,912
Reaction score
28,657
Binafsi nilipo kuwa chuoni nilitokewa kupendwa na mrembo..

Actually she was a genuine lover. Ni ile aina ya pisi ambazo kila nyakati ya siku lazima ikujulie hali, yaani I was engulfed in her love kama kifaranga wa kuku.

Ila I took her love for weakness, I played her, I thought she was dead over me. Yaani nilikuwa najipakulia minyama na kuchukulia advantage wala nisijue ya kuwa she was heaven sent.

I rarely gave her presents as much as she gave me. I never sincerely cared for her, like she used to. Nilikuwa nampa mateso ya kihisia then nayatibu mwenyewe.

But what I didn't realize is that there comes a day when she's gonna know her own worth, yaani ile siku atakayotambua upendo alionipa ilikuwa sacrifice yake kwangu. Tulikorofisha as always nikijua she's used to it, then si akaniambia "gunner!, just jua you'll never experience a love like mine, don't ever call me and never look for me again" nikacheka! Na kumwambia nenda usinililie mimi..

Well to cut the story that was the last day, ya kuwa naye tena kimahusiano... Week ilikata bila kunichek, mwezi... Daah mwishowe nikaanza kuamini..

Oya, aisee pisi zote zilikuwa nilo kuwa nadhani ni side chicks, zote zilinipiga za uso, nikawa nashangaa ina maana alichukua nyota yangu nini!

Aisee nilijua kuwa upendo wa kweli ulikuwa mbele ya macho yangu and I fumbled it. Nilihenya, ni Lilia, niliwatafuta ndugu zake jamaa na marafiki but she didn't change her mind. Wakuu, don't play when you get the love of your life.

Mimi baada ya kuachwa na yule manzi nimekuwa nikitapatapa tu, I think she'll be married by now, ila nikajifunza kutokucheza na hisia za mtu,

karma never leaves a fool behind.

Till date I regret the decisions I made,
I miss her, but the universe already did its job..

Wale wenye mapenzi ya maigizo huwa nawaona wajinga tu, maana how can you fake such a deep intimacy? How can you be a player knowing the endgame is death?

This was her favorite song..

Kudate na watoto wa mwisho halafu wakishua ni tabu sana.

Nimemkumbuka mmoja nilimuacha baada ya masaa nikapokea namba ngeni kumbe ni dada na mama yake wananipigia kuniplease.
Aisee 🤣 🤣 na ukatupilia mbali ama?
 
Binafsi nilipo kuwa chuoni nilitokewa kupendwa na mrembo..

Actually she was a genuine lover. Ni ile aina ya pisi ambazo kila nyakati ya siku lazima ikujulie hali, yaani I was engulfed in her love kama kifaranga wa kuku.

Ila I took her love for weakness, I played her, I thought she was dead over me. Yaani nilikuwa najipakulia minyama na kuchukulia advantage wala nisijue ya kuwa she was heaven sent.

I rarely gave her presents as much as she gave me. I never sincerely cared for her, like she used to. Nilikuwa nampa mateso ya kihisia then nayatibu mwenyewe.

But what I didn't realize is that there comes a day when she's gonna know her own worth, yaani ile siku atakayotambua upendo alionipa ilikuwa sacrifice yake kwangu. Tulikorofisha as always nikijua she's used to it, then si akaniambia "gunner!, just jua you'll never experience a love like mine, don't ever call me and never look for me again" nikacheka! Na kumwambia nenda usinililie mimi..

Well to cut the story that was the last day, ya kuwa naye tena kimahusiano... Week ilikata bila kunichek, mwezi... Daah mwishowe nikaanza kuamini..

Oya, aisee pisi zote zilikuwa nilo kuwa nadhani ni side chicks, zote zilinipiga za uso, nikawa nashangaa ina maana alichukua nyota yangu nini!

Aisee nilijua kuwa upendo wa kweli ulikuwa mbele ya macho yangu and I fumbled it. Nilihenya, ni Lilia, niliwatafuta ndugu zake jamaa na marafiki but she didn't change her mind. Wakuu, don't play when you get the love of your life.

Mimi baada ya kuachwa na yule manzi nimekuwa nikitapatapa tu, I think she'll be married by now, ila nikajifunza kutokucheza na hisia za mtu,

karma never leaves a fool behind.

Till date I regret the decisions I made,
I miss her, but the universe already did its job..

Wale wenye mapenzi ya maigizo huwa nawaona wajinga tu, maana how can you fake such a deep intimacy? How can you be a player knowing the endgame is death?

This was her favorite sHuko kqwnye ngeli ndo umechanganga ma file
 
Wanawake tuna huruma sana, hadi chiwawa ulipendwa? 😹😹😹

Mi naweza kuamka nikakwambia sikutaki na niko sawa tu tunacheka hapo ujue sirudi baba Jane bye bye..!! 😹😹

Ex wangu aliniambia tuachane nikamjibu Bon voyage akashangaa mbona huniulizi kwanini tunaachana? Nikamjibu, mimi mwenyewe nilikuwa nawaza hii siku itafika lini nipumzike 😹😹😹

Akasema, hapa haachiki mtu kuanza kutongoza upya kipengele.. nikamwambia em tokaa nimeshafunga ukurasa anza maombi upya..!!

Na anajua alivyohenya kunishawishi kuingia kwenye husiano, vizinga kama vyote..!!

Mwanaume ukimuonyesha mapenzi ya dhati anakuona yatima wa mapenzi anakumudu anaanza kukuendesha..!!
 
Mimi aisee sichezei hisia tena na kucheza michezo nimekoma
 
Back
Top Bottom