Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 7,813
- 10,820
Hapo umenena. Yuko wapi mwendazake?Mkuu ni Mungu pekee
Kama ni watu wakuwalaumu kwa kulivuruga taifa letu katika watano wa kwanza wale wa nec nawapa namba 4,msajili 5,naibu wa watunga sheria 3,na msemaji wawatunga sheria anashahili bamba 2.Moja naihifadhi kwa sababu maalumu.Baada ya kufika huko zitakusanywa na baadaye zitafikishwa kwa Mh Rais kwa hatua zaidi .
Francis Mutungi ni Msajili wa vyama vya siasa mwenye tuhuma nyingi za kuhujumu vyama vya siasa akishirikiana na kada mwingine wa ccm aitwaye Sisty Nyahyoza , sasa kuvitaka vyama vya siasa vipeleke ajenda zao kwa watu wa aina hii ni sawa na kuvitukana matusi ya nguoni , bila shaka jambo hili halitawezekana
Bali bado haijafahamika John Shibuda anapewa kazi ya kupokea Ajenda za vyama vya siasa kama nani .
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa Taaifa zaidi .
Msipeleke ajenda za mkutano muendelee kufyekwa.Baada ya kufika huko zitakusanywa na baadaye zitafikishwa kwa Mh Rais kwa hatua zaidi .
Francis Mutungi ni Msajili wa vyama vya siasa mwenye tuhuma nyingi za kuhujumu vyama vya siasa akishirikiana na kada mwingine wa ccm aitwaye Sisty Nyahyoza , sasa kuvitaka vyama vya siasa vipeleke ajenda zao kwa watu wa aina hii ni sawa na kuvitukana matusi ya nguoni , bila shaka jambo hili halitawezekana
Bali bado haijafahamika John Shibuda anapewa kazi ya kupokea Ajenda za vyama vya siasa kama nani .
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa Taaifa zaidi .
Shibuda keshamfunika Mbowe kwa mbaliNdio rais ni mkuu sana hizi kelele za wanywa konyagi hadi kuanguka waishie kwa shibuda tu
HaitatokeaShibuda keshamfunika Mbowe kwa mbali
Kimsingi yanayolalamikiwa yanajulikana kabisa. Bila kuwa na malengo genuine na honest kutoka pande zote mbili ni kupoteza muda tu. Kwa kifupi haya mambo yanataka ukomavu wa kisiasa, kuweka ubinafsi na uchama pembeni bali maslahi ya Taifa yatangulizwe. Upande wa serikali wajue nchi yoyote yenye upinzani imara ni afya kwa Taifa na upinzani ni mdau muhimu sana wa kuendesha nchi na wapinzani waweke matumbo yao pembeni watangulize nchi mbele. Pande zote mbili zikiwa na haya malengo watajikuta kikao kinakuwa productive na hakitahitaji hata watu kama kina Shibuda ambao wanajulikana na wachumia matumbo tu.Kwa kifupi kila kikao lazina kiwe na agenda, katibu, mwenyekiti na wajumbe wa kikao.
Hapa naona mwenyekiti ni raisi, katibu ni huyo mwenye tume ya uchaguzi au shibuda (I think anawakilishaga vyama vya upinzani somehow).
Nadhani ndio protocol ilivo, ss hapa pia ni mtego kwa vyama vya siasa, mosi nani anakuwa katibu wa kikao wao ndo wachague kwa kupeleka hoja zao huko, I gues the less evil ni shibuda na ningeshauri hoja mojawapo iwe ya kuhusu tune ya uchaguzi na taratibu za uchaguzi.
Kwa kifupi hii chance ni holden chance kwa vyama vya upinzani, wasitumie jazba kuamua mambo yao au kuyawasilisha wachague watu makini ambao sio wapige kelele na wanauwezo wa kuwasilisha issues zao kiustaarabu na zikaeleweka.
Anyway, vyama vya siasa vina matatizo yao ambayo probably yanaweza yasiwe matatizo ya wananchi ndio maana yanakuwa siri ???Kama siyo siri ni kwanini zisiwasilishwe moja kwa moja kwa mhusika au aseme ziwekwe mtandaoni?
Anyway, vyama vya siasa vina matatizo yao ambayo probably yanaweza yasiwe matatizo ya wananchi ndio maana yanakuwa siri ???
Hapa agenda zilikuwa nini ??
Kumbe ni CHADEMA tu ndio wapinzani? Kama list ndio hiyo hakuna haja ya kuwasikiliza hao wapinzani, maana watataka au watataka COVID 19 watolewe Bungeni.
Kuna watu km Zitto Kabwe, Mbatia, Lipumba, Shibuda na wengineo haya mambo ya upinzani wa nyuma yangeisha sasa tutizame kwa ujumla la sivyo watasusia tena hata chaguzi za mitaa.
Hakuna siri yoyote. Japo naweza kusema mara nyingi viongozi wa nchi zetu za kiafrika huwa hawapendi matakwa ya mazungumzo kama haya kuwekwa hadharani hasa kabla hawajazungumza. Ila hakuna siri yoyote na yangewekwa wazi kabla hayajaanza.Anyway, vyama vya siasa vina matatizo yao ambayo probably yanaweza yasiwe matatizo ya wananchi ndio maana yanakuwa siri ???
Mbona CHADEMA wote?Ni protocol, kwa uzoefu wa kiutawala huwa kuna agenda ya mengineyo. Muhimu Chadema ipeleke negiotiators wenye uwezo na sio kupeleka wakina John Mrema ambao mdomo mzito hata kusema neno peoples power ni shida.
My fav list.
Freeman mbowe
Jj Mnyika
Mwalimu
Somebody Ahmed yule mzenji
Catherine Ruge
Devotha Minja
Itifaki ifuatwe, Rais alisema atkutana na viongozi was vyama vya upinzani.Ndio rais ni mkuu sana hizi kelele za wanywa konyagi hadi kuanguka waishie kwa shibuda tu