Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,503
- 217,762
- Thread starter
- #41
😆😆😆😆Wewe ni zimwi la CCM
Sema ndio.
😆😆😆😆Wewe ni zimwi la CCM
Sema ndio.
Halafu hayo mambo mengi ni yapi ?Angekuwa ana mambo mengi asingekubali kukutana nao
Kwanini agenda zipitie kwa Madalali?Yeye ndio raisi anatakiwa ajiamini akutane nao ajenda zipanguliwe kwa hoja uso kwa uso
Amesema kwa upande wakeKuna vitu vinafurahisha Sana, huko chadema moja ya negotiators wenye uwezo ni akina devota , Catherine na mwalimu? Kazi ipo
Amesahau kua inabidi awe katili kuliko ya zamani...Binadamu asie na huruma amepungukiwa utuMama kujifanya ana huruma sana itamcost
Sure haya ni matusi mazito snBaada ya kufika huko zitakusanywa na baadaye zitafikishwa kwa Mh Rais kwa hatua zaidi .
Francis Mutungi ni Msajili wa vyama vya siasa mwenye tuhuma nyingi za kuhujumu vyama vya siasa akishirikiana na kada mwingine wa ccm aitwaye Sisty Nyahyoza , sasa kuvitaka vyama vya siasa vipeleke ajenda zao kwa watu wa aina hii ni sawa na kuvitukana matusi ya nguoni , bila shaka jambo hili halitawezekana
Bali bado haijafahamika John Shibuda anapewa kazi ya kupokea Ajenda za vyama vya siasa kama nani .
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa Taaifa zaidi .
Baada ya kufika huko zitakusanywa na baadaye zitafikishwa kwa Mh Rais kwa hatua zaidi .
Francis Mutungi ni Msajili wa vyama vya siasa mwenye tuhuma nyingi za kuhujumu vyama vya siasa akishirikiana na kada mwingine wa ccm aitwaye Sisty Nyahyoza , sasa kuvitaka vyama vya siasa vipeleke ajenda zao kwa watu wa aina hii ni sawa na kuvitukana matusi ya nguoni , bila shaka jambo hili halitawezekana
Bali bado haijafahamika John Shibuda anapewa kazi ya kupokea Ajenda za vyama vya siasa kama nani .
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa Taaifa zaidi .
Namba moja na mbili ni vichwa matata sijapata ona hapa nchini, ukimuondoa lissu lkn.Ni protocol, kwa uzoefu wa kiutawala huwa kuna agenda ya mengineyo. Muhimu Chadema ipeleke negiotiators wenye uwezo na sio kupeleka wakina John Mrema ambao mdomo mzito hata kusema neno peoples power ni shida.
My fav list.
Freeman mbowe
Jj Mnyika
Mwalimu
Somebody Ahmed yule mzenji
Catherine Ruge
Devotha Minja
Kumbe ni CHADEMA tu ndio wapinzani? Kama list ndio hiyo hakuna haja ya kuwasikiliza hao wapinzani, maana watataka au watataka COVID 19 watolewe Bungeni.Ni protocol, kwa uzoefu wa kiutawala huwa kuna agenda ya mengineyo. Muhimu Chadema ipeleke negiotiators wenye uwezo na sio kupeleka wakina John Mrema ambao mdomo mzito hata kusema neno peoples power ni shida.
My fav list.
Freeman mbowe
Jj Mnyika
Mwalimu
Somebody Ahmed yule mzenji
Catherine Ruge
Devotha Minja
Mkuu mama ana style yake ya uongozi ambayo ana “delegate”, hata kama maamuzi ni yake, anapenda kushirikisha wengine ili isiwe yale ya “one man army”.I hope this a joke! Kama ni kweli basi hakuna nia yoyote ya kukutana na wapinzani.
Ambaye ametokea NCCR Mageuzi au wapi?Shibuda na Mutungi wanaweza kuchakachua.
Mimi nadhani yapelekwe kwa mshauri wa Rais wa mambo ya siasa!
Mind you ni vyama yote vya siasa!!Ni protocol, kwa uzoefu wa kiutawala huwa kuna agenda ya mengineyo. Muhimu Chadema ipeleke negiotiators wenye uwezo na sio kupeleka wakina John Mrema ambao mdomo mzito hata kusema neno peoples power ni shida.
My fav list.
Freeman mbowe
Jj Mnyika
Mwalimu
Somebody Ahmed yule mzenji
Catherine Ruge
Devotha Minja
KohoKama wapinzani watagomea utaratibu huu murua kabisa, basi nitaamini hawana nia njema.