Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,785
- 218,411
Ndio rais ni mkuu sana hizi kelele za wanywa konyagi hadi kuanguka waishie kwa shibuda tuBaada ya kufika huko zitakusanywa na baadaye zitafikishwa kwa Mh Rais kwa hatua zaidi .
Francis Mutungi ni Msajili wa vyama vya siasa mwenye tuhuma nyingi za kuhujumu vyama vya siasa akishirikiana na kada mwingine wa ccm aitwaye Sisty Nyahyoza , sasa kuvitaka vyama vya siasa vipeleke ajenda zao kwa watu wa aina hii ni sawa na kuvitukana matusi ya nguoni , bila shaka jambo hili halitawezekana
Bali bado haijafahamika John Shibuda anapewa kazi ya kupokea Ajenda za vyama vya siasa kama nani .
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa Taaifa zaidi .
Mkuu ni Mungu pekeeNdio rais ni mkuu sana hizi kelele za wanywa konyagi hadi kuanguka waishie kwa shibuda tu
ndio tunasubiri tuone hizi sarakasiKwanini agenda zipitie kwa Madalali?Yeye ndio raisi anatakiwa ajiamini akutane nao ajenda zipanguliwe kwa hoja uso kwa uso
Murua kwa vipi kuliko ana kwa ana. Shibuda ni CCM, why route through him?Kama wapinzani watagomea utaratibu huu murua kabisa, basi nitaamini hawana nia njema.
I hope this a joke! Kama ni kweli basi hakuna nia yoyote ya kukutana na wapinzani.Baada ya kufika huko zitakusanywa na baadaye zitafikishwa kwa Mh Rais kwa hatua zaidi .
Francis Mutungi ni Msajili wa vyama vya siasa mwenye tuhuma nyingi za kuhujumu vyama vya siasa akishirikiana na kada mwingine wa ccm aitwaye Sisty Nyahyoza , sasa kuvitaka vyama vya siasa vipeleke ajenda zao kwa watu wa aina hii ni sawa na kuvitukana matusi ya nguoni , bila shaka jambo hili halitawezekana
Bali bado haijafahamika John Shibuda anapewa kazi ya kupokea Ajenda za vyama vya siasa kama nani .
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa Taaifa zaidi .
Shibuda na Mutungi wanaweza kuchakachua.Baada ya kufika huko zitakusanywa na baadaye zitafikishwa kwa Mh Rais kwa hatua zaidi .
Francis Mutungi ni Msajili wa vyama vya siasa mwenye tuhuma nyingi za kuhujumu vyama vya siasa akishirikiana na kada mwingine wa ccm aitwaye Sisty Nyahyoza , sasa kuvitaka vyama vya siasa vipeleke ajenda zao kwa watu wa aina hii ni sawa na kuvitukana matusi ya nguoni , bila shaka jambo hili halitawezekana
Bali bado haijafahamika John Shibuda anapewa kazi ya kupokea Ajenda za vyama vya siasa kama nani .
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa Taaifa zaidi .
Kwani agenda za vyama vya siasa na zenyewe ni SIRI ??Baada ya kufika huko zitakusanywa na baadaye zitafikishwa kwa Mh Rais kwa hatua zaidi .
Francis Mutungi ni Msajili wa vyama vya siasa mwenye tuhuma nyingi za kuhujumu vyama vya siasa akishirikiana na kada mwingine wa ccm aitwaye Sisty Nyahyoza , sasa kuvitaka vyama vya siasa vipeleke ajenda zao kwa watu wa aina hii ni sawa na kuvitukana matusi ya nguoni , bila shaka jambo hili halitawezekana
Bali bado haijafahamika John Shibuda anapewa kazi ya kupokea Ajenda za vyama vya siasa kama nani .
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa Taaifa zaidi .
Huyo rais wenu hana katibu? Au ofisi yake haina katibu mkuu? Hoja za wanasiasa zinajumuisha tuhuma dhidi ya huyo msajili, tume ya uchaguzi na malaya wa kisiasa kama huyo Shibuda: iweje tena watuhumiwa ndio watunge ajenda?Baada ya kufika huko zitakusanywa na baadaye zitafikishwa kwa Mh Rais kwa hatua zaidi .
Francis Mutungi ni Msajili wa vyama vya siasa mwenye tuhuma nyingi za kuhujumu vyama vya siasa akishirikiana na kada mwingine wa ccm aitwaye Sisty Nyahyoza , sasa kuvitaka vyama vya siasa vipeleke ajenda zao kwa watu wa aina hii ni sawa na kuvitukana matusi ya nguoni , bila shaka jambo hili halitawezekana
Bali bado haijafahamika John Shibuda anapewa kazi ya kupokea Ajenda za vyama vya siasa kama nani .
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa Taaifa zaidi .
Kuna vitu vinafurahisha Sana, huko chadema moja ya negotiators wenye uwezo ni akina devota , Catherine na mwalimu? Kazi ipoNi protocol, kwa uzoefu wa kiutawala huwa kuna agenda ya mengineyo. Muhimu Chadema ipeleke negiotiators wenye uwezo na sio kupeleka wakina John Mrema ambao mdomo mzito hata kusema neno peoples power ni shida.
My fav list.
Freeman mbowe
Jj Mnyika
Mwalimu
Somebody Ahmed yule mzenji
Catherine Ruge
Devotha Minja
Hapa hamna nia ya mazungumzo.Baada ya kufika huko zitakusanywa na baadaye zitafikishwa kwa Mh Rais kwa hatua zaidi .
Francis Mutungi ni Msajili wa vyama vya siasa mwenye tuhuma nyingi za kuhujumu vyama vya siasa akishirikiana na kada mwingine wa ccm aitwaye Sisty Nyahyoza , sasa kuvitaka vyama vya siasa vipeleke ajenda zao kwa watu wa aina hii ni sawa na kuvitukana matusi ya nguoni , bila shaka jambo hili halitawezekana
Bali bado haijafahamika John Shibuda anapewa kazi ya kupokea Ajenda za vyama vya siasa kama nani .
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa Taaifa zaidi .
Hilo lina potosha maana ya mazungumuzo na vyama vya siasaBaada ya kufika huko zitakusanywa na baadaye zitafikishwa kwa Mh Rais kwa hatua zaidi .
Francis Mutungi ni Msajili wa vyama vya siasa mwenye tuhuma nyingi za kuhujumu vyama vya siasa akishirikiana na kada mwingine wa ccm aitwaye Sisty Nyahyoza , sasa kuvitaka vyama vya siasa vipeleke ajenda zao kwa watu wa aina hii ni sawa na kuvitukana matusi ya nguoni , bila shaka jambo hili halitawezekana
Bali bado haijafahamika John Shibuda anapewa kazi ya kupokea Ajenda za vyama vya siasa kama nani .
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa Taaifa zaidi .
Shibuda ana kazi ya kutunga mashairi hapoBaada ya kufika huko zitakusanywa na baadaye zitafikishwa kwa Mh Rais kwa hatua zaidi .
Francis Mutungi ni Msajili wa vyama vya siasa mwenye tuhuma nyingi za kuhujumu vyama vya siasa akishirikiana na kada mwingine wa ccm aitwaye Sisty Nyahyoza , sasa kuvitaka vyama vya siasa vipeleke ajenda zao kwa watu wa aina hii ni sawa na kuvitukana matusi ya nguoni , bila shaka jambo hili halitawezekana
Bali bado haijafahamika John Shibuda anapewa kazi ya kupokea Ajenda za vyama vya siasa kama nani .
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa Taaifa zaidi .
Kwanini agenda zipitie kwa Madalali?Yeye ndio raisi anatakiwa ajiamini akutane nao ajenda zipanguliwe kwa hoja uso kwa uso