Mazishi ya Mh. Regia Mtema huko Ifakara (updates)

Mazishi ya Mh. Regia Mtema huko Ifakara (updates)

As long shughuli za mazishi zimeanza kabla raisi kikwete hajawasili na alikuwa anasubiriwa, nina mashaka kama ataweza kufika ifakara on time kuwahi maziko. Huenda ametingwa na majukumu mengi njiani, labda wananchi wamemsimamisha mahala wanamwaga kero zao.
Ameshafika anasubiri misa iishe ndipo aje kuwaongoza Watanzania kwenye maziko.

Msafara wake haukusimama popote zaidi ya wananchi kujitokeza kwa wingi vipembezoni mwa barabara wengine wakishangaa shangaa wengine wakimpungia mikono kuonyesha furaha zao kwa rais wao akipita mitaa yao!.
 
Sio CDM peke yao hata wa JF nao umeshindwa kufikiria maandalizi ya hili la picha jamani...Nalia kwa uchungu nikiwa na hamu ya kuona kinachoendelea huko Ifakara.

Responsibility ya kwanza inakwenda kwa Chadema
 
Josephine tumekuelewa na tunashukuru kwa kazi nzuri unayofanya.
Nadhani watu hapa si kwamba wanakulaumu wewe bali wanachosema ni kuwa kuna watu ambao wanalipwa kwa kazi hiyo unayoifanya lakini hawafanyi na wako huko.
Walipaswa kujipanga....wengine walete habari, wengine picha...kitu kama hicho. Pengine hata wewe hukupaswa kuifanya kazi hiyo.
Bahati nzuri wewe umejitolea walau tunapata japo picha ya nini kinaendelea huko.

Baada ya huu msiba uongozi wa chadema unapaswa kuliangalia swala hili (upashaji na upashanaji habari) kwa marefu na mapana yake.

Hutakiwi kumung'unya maneno kwenye hili, tunahitaji kuona wote wanaohusika na kitengo cha Habari ajila zao zinasitishwa mara moja. hakuna wanachokifanya zaidi ya kupokea mishahara ya bure kabisa.
Ni afadhali mara 100 kumteuwa Bloger kuwa ofisa habari kuliko wapuuzi walipo sasa ambao hakuna wanalolifanya zaidi ya upumbavu mtupu.
 
Ameshafika anasubiri misa iishe ndipo aje kuwaongoza Watanzania kwenye maziko.

Msafara wake haukusimama popote zaidi ya wananchi kujitokeza kwa wingi vipembezoni mwa barabara wengine wakishangaa shangaa wengine wakimpungia mikono kuonyesha furaha zao kwa rais wao akipita mitaa yao!.

Ni mioyo ya wananchi ilikuwa hivyo au umewasemea vile ambavyo wewe ulitaka wafikiri
 
ni kweli kaka uliyosema,

wakati nasoma post yako,mwili wa marehemu unaingizwa uwanjani.

Naliiiiiiiiiiiia mimi Regia it is hard to believe that you are no more,

mmmmm too bad.

Asante Mungu.

Nyamaza kulia mama Jipe moyo.
 
JK ameshawasili Ifakara amefia ofisini kwa DC kusaini kitabu cha wageni ndipo aje hapa uwanjani.

Spika Makinda anatoa wasifu wa Regia kama vile anaimba Regia ni nyota, Regia ni Nyota, Regia ni Nyota... huku anasmile na kukumbushia kile kinote cha Regia alichomwandikia "Mama I love You!

Ni vizuri sana kama raisi kikwete amefika ifakara, kwa muda huu ataweza kushiriki hatua ya maziko. Labda kwakuwa ofisi ya DC iko nje kidogo ya mji kwahiyo watu hawajafahamu kama ameshafika Ifa.

Nilianza kupata wasiwasi kwamba huenda wananchi wamemzuia mahali, maana hawachelewi kufunga barabara ili raisi awasikilize.
 
Sio CDM peke yao hata wa JF nao umeshindwa kufikiria maandalizi ya hili la picha jamani...Nalia kwa uchungu nikiwa na hamu ya kuona kinachoendelea huko Ifakara.
AK, Max alifanya kila liwezekanalo ili picha zije, by now its only a matter of time mtaziona!.
 
Ameshafika anasubiri misa iishe ndipo aje kuwaongoza Watanzania kwenye maziko.

Msafara wake haukusimama popote zaidi ya wananchi kujitokeza kwa wingi vipembezoni mwa barabara wengine wakishangaa shangaa wengine wakimpungia mikono kuonyesha furaha zao kwa rais wao akipita mitaa yao!.

Kujipendekeza kwingine bana.Noma sana!
 
Ni mioyo ya wananchi ilikuwa hivyo au umewasemea vile ambavyo wewe ulitaka wafikiri

Labda walikua wanashangaa msafara,maana wana Morogoro wenzangu,hasa hao majirani zetu wa wilaya ya dada Regia bado kidogo(joke)
 
naomba muwe wavumilivu kwa picha,mtazipata ni vigumu kwangu kufanya mambo yote mawili kwa sababu ya majukumu.
Poleni Kwa Msiba mzito Kwa kweli Kijana huyu amevuta hisia za wananchi wengi kutaka kufahamu hatua kwa hatua wana JF tunashukuru sana Kwa kutuweka kwenye picha
Katika safari yake ya Mwisho tunamuombea aende salama ,na amani iwe kwenu nyote wahudhuriaji
Ahsante tunangoja Picha
 
Hapa hatuhitaji siasa! Ni kuomboleza kwanza, baada ya shughuli tutarudi kuanza na bei za umeme kupanda bila sababu.
 
Back
Top Bottom