Mazishi ya Mh. Regia Mtema huko Ifakara (updates)

Mazishi ya Mh. Regia Mtema huko Ifakara (updates)

Ameshafika anasubiri misa iishe ndipo aje kuwaongoza Watanzania kwenye maziko.

Msafara wake haukusimama popote zaidi ya wananchi kujitokeza kwa wingi vipembezoni mwa barabara wengine wakishangaa shangaa wengine wakimpungia mikono kuonyesha furaha zao kwa rais wao akipita mitaa yao!.
Hivi watu wenye njaa wanaweza kuwa na furaha kweli? na wewe ni mwanahabari ina maana huna kamera za kuturushia picha hapa kusapoti taarifa yako?
 
Hutakiwi kumung'unya maneno kwenye hili, tunahitaji kuona wote wanaohusika na kitengo cha Habari ajila zao zinasitishwa mara moja. hakuna wanachokifanya zaidi ya kupokea mishahara ya bure kabisa.
Ni afadhali mara 100 kumteuwa Bloger kuwa ofisa habari kuliko wapuuzi walipo sasa ambao hakuna wanalolifanya zaidi ya upumbavu mtupu.

Matola,

Nafahamu na kuielewa concern yako, unaona sote hapa tunajaribu kuwahimiza walioko huko Ifa wajitahidi kutufahamisha kinachoendelea.
Ila mkuu umekuwa mkali sana, Josephine amesha acknowledge kuelewa concern yako na bila shaka ujumbe utamfikia mhusika

Labda nikung'ate sikio kwamba hata mabadiliko yaliyofanyika hivi karibuni na kuteuliwa Mh. Mnyika kuwa Mkurugenzi wa habari na uenezi ilichangiwa pia na concern za wanaJF. Tuwape muda kidogo tu wamalize shughuli za maziko, sina shaka kwamba Dr. Slaa atapita mtaa huu na kusoma mawaidha yetu.
 
it is too sad. Namkumbuka those days at Forodhani.

RIP Regia
 
Nimesema nilichokiona!
Tuache siasa tuendelee na msiba'.

Kwa nini usizungumzie hali mbaya ya barabara, shida ya maji japo watu wanaishi kwenye maeneo ambayo yana vyanzo vya maji vingi kuliko eneo lolote Tanzania,.....hivyo ni vichache tu ambavyo unaweza kuviona bila hata ya kushka kwenye gari hata kama gari inatembea kwa spidi ya 160kph.
 
Matola,

Nafahamu na kuielewa concern yako, unaona sote hapa tunajaribu kuwahimiza walioko huko Ifa wajitahidi kutufahamisha kinachoendelea.
Ila mkuu umekuwa mkali sana, Josephine amesha acknowledge kuelewa concern yako na bila shaka ujumbe utamfikia mhusika

Labda nikung'ate sikio kwamba hata mabadiliko yaliyofanyika hivi karibuni na kuteuliwa Mh. Mnyika kuwa Mkurugenzi wa habari na uenezi ilichangiwa pia na concern za wanaJF. Tuwape muda kidogo tu wamalize shughuli za maziko, sina shaka kwamba Dr. Slaa atapita mtaa huu na kusoma mawaidha yetu.

Au Josephine atamng'ata sikio kama wewe ulivyomng'ata matola....:lol:
 
Tumeanza kubadilika siku hizi mkuu..:lol:

Mkuu bado sana.

Nilikuwa huko mwaka jana tu nikapita pita wilaya za mvomero, kilombero na Ulanga. Jamaa zako wakarimu sana kama alivyosema Pasco.

Nadhani ni tabia nzuri kiujumla na utaona walivyojumuika kwa upendo kumsindikiza dada yetu Regia.
 
Sasa nawewe ukilia ndio picha zitaonekana umeshaambiwa zitatumwa na mama baadae sasa unalia nini hapo.
 
AK, Max alifanya kila liwezekanalo ili picha zije, by now its only a matter of time mtaziona!.

Nashukuru kwa kunipa taarifa, maana hamu ni kubwa ya kuona kinachoendelea huko. Josephime tunakushuru mno kwa kutujuza.
 
Labda walikua wanashangaa msafara,maana wana Morogoro wenzangu,hasa hao majirani zetu wa wilaya ya dada Regia bado kidogo(joke)

lakini katika Moro yote (mkoa mzima), nadhani hawa kwa sasa ndo wanaongoza kwa kujua nini wanakitaka, nini wafanye na washirikiane na nani ili kupata wanachokita...huko kwingine (kukiwemo na kwako) kunahitaji nguvu ya ziada. Nadhani kazi aliyofanya Regia (RIP) itasaidia kuongeza nguvu ya kuleta mabadiliko katika Morogoro yote.
 
Back
Top Bottom