Umoja wa wabunge wa Morogoro,unatolewa na Mhe Dr Mponda.waziri wa Afya.
Ningekuwepo hapo ningemtimua Mkullo.....hana tofauti na huyo Mkeketwa.
Umoja wa wabunge wa Morogoro,unatolewa na Mhe Dr Mponda.waziri wa Afya.
Hawa ghasia anatoa salamu za rambirambi kwa niaba ya serikali,jk bado hajawasil hapa japo inasemekana atashiriki.
Ningekuwepo hapo ningemtimua Mkullo.....hana tofauti na huyo Mkeketwa.
As long shughuli za mazishi zimeanza kabla raisi kikwete hajawasili na alikuwa anasubiriwa, nina mashaka kama ataweza kufika ifakara on time kuwahi maziko. Huenda ametingwa na majukumu mengi njiani, labda wananchi wamemsimamisha mahala wanamwaga kero zao.
naomba muwe wavumilivu kwa picha,mtazipata ni vigumu kwangu kufanya mambo yote mawili kwa sababu ya majukumu.
Regia tunakusindikiza kwa mara ya mwisho leo,
moyoni nabubujikwa machozi,kumbuka mama yale tuliyozungumza na kuyawekea mikakati.
Regia nani atanisaidia kuyasimamia yale tuliyoyaongea,nisaidie mama,nitafanya,lakini wewe ndiye yalikuwa maono yako,nisaidie huko uliko.
Dr anakulilia,watoto wangu nyumbani wanakulilia,hata dada aliyekuwa anakuhudumia anakulilia.
Tulikupenda.
Au amepopolewa mawe....maana njia yenyewe nayo inapita kando kabisa ya milima ya udzungwa
Asante Mwita kwa mwongozo wako.
Kupopolewa mawe sidhani, watu wa morogoro ni wapole sana, labda wawe wamebadilika sana siku hizi.
Josephine tumekuelewa na tunashukuru kwa kazi nzuri unayofanya.
Nadhani watu hapa si kwamba wanakulaumu wewe bali wanachosema ni kuwa kuna watu ambao wanalipwa kwa kazi hiyo unayoifanya lakini hawafanyi na wako huko.
Walipaswa kujipanga....wengine walete habari, wengine picha...kitu kama hicho. Pengine hata wewe hukupaswa kuifanya kazi hiyo.
Bahati nzuri wewe umejitolea walau tunapata japo picha ya nini kinaendelea huko.
Baada ya huu msiba uongozi wa chadema unapaswa kuliangalia swala hili (upashaji na upashanaji habari) kwa marefu na mapana yake.
Spika Ana makinda kumbe wakati mwingne anaongea vzr