Mazishi ya Mh. Regia Mtema huko Ifakara (updates)

Enenda Regia makao yako ya milele, tuachie dunia hii yenye kila aina ya chuki dhuluma, vita nk...enenda dada!! nothing we can do just say goodbye hatutakuona tena hadi milele. Mushumbushi...keep on!!
 
.Siku zote mahali walipokusanyika wana chadema ni amani na salama. Ukiona hali ya hewa imechafuka, fuatilia mara zote kama hutakuta ni polisi wa sisiem wameichafua..
Na katibu wa wilaya Kilombero anayajua hayo maana ilibidi aokolewe na polisi wa CCM kabla hajauwawa na wana CDM watulivu.
 
Wakati huu ni mgumu zaidi Josephine. Haulingani na ilivyokuwa Ruvu ajalini, Tumbi hospitali, Muhimbili, Tabata, Kanisani Segerea, Karimjee wala njiani kuelekea Kilombero. Kote huko mliiona maiti yake au Jeneza lake. Sasa mnamuaga rasmi. Hamtamwona tena Regia.

ni kweli kaka uliyosema,

wakati nasoma post yako,mwili wa marehemu unaingizwa uwanjani.

Naliiiiiiiiiiiia mimi Regia it is hard to believe that you are no more,

mmmmm too bad.

Asante Mungu.
 
Hii ni dalili njema kuwa nyota njema ya kuikomboa tanzania itatoka chadema.......mungu mbariki regia . Kibariki na chama chake cha chadema ili watanzania wazidi kupata kina regia wengi kutoka chadema....amina!
 
Asanteni wote mnaotupa habar kwa yanayoendelea huko msiban. RIP mpendwa wetu Regia..
 
Ratiba bado ni hii?

RATIBA YA MAZISHI YA MAREHEMU REGIA ESTELATUS MTEMA, MB YATAKAYOFANYIKA IFAKARA, KILOMBERO, MOROGORO TAREHE 18 JANUARI, 2012
______________________________
http://www.blogger.com/post-edit.g?blogID=16511139&postID=2336124655072736545
SN.MUDATUKIOMHUSIKA
1.04:00-05:00Wananchi, Familia na Viongozi wa Kitaifa kuwasili kulingana na Itifaki
  • Uongozi wa Wilaya na Halmashauri
  • Uongozi wa Mkoa
  • Viongozi wa Vyama vya Siasa
  • Waheshimiwa Wabunge
  • Waheshimiwa Manaibu Waziri
  • Waheshimiwa Mawaziri
  • Kiongozi wa Upinzani Bungeni
  • Mhe. Naibu Spika
  • Mhe. Spika
  • Mhe. Waziri Mkuu
  • Mhe. Rais
  • Katibu wa Bunge
2.05:00 - 06:00Chakula cha MchanaWote
3.06:00 - 07:00MisaKanisa Katoliki, Kilombero
4.07:00 - 07:10Wasifu wa MarehemuOfisi ya Bunge (Mwajiri)
5.07:10 - 07:20Salaam na Rambirambi kutoka Uongozi wa Ofisi ya BungeMhe. Spika
6.07:20 - 07:30Salaam na Rambirambi kutoka kwenye Makundi mbalimbali ya Uwakilishi
  • Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
  • Vyama vya Siasa vyenye Uwakilishi Bungeni (CCM, CUF, NCCR-Mageuzi, TLP na UDP)
  • Mwakilishi wa Serikali
MC
7.07:30 - 08:00Msafara wa Waombolezaji kuelekea Makaburini na Mwili wa Marehemu kwa MazishiWote
8.08:00 - 08:30Ibada ya MazishiKanisa Katoliki, Kilombero
9.08:30 -08:45Kuweka Mashada ya Maua kulingana na Itifaki
10.08:45 - 08:50Shukrani kutoka kwa familiaMwakilishi wa Familia
11.08:50Viongozi Kuondoka kulingana na Itifaki




 
Pumzika dada; mchango wako mkubwa ndani ya muda mfupi wa maisha yake.
Mungu akureward as u deserve na akusamehe makosa yako!
 
Back
Top Bottom