Mazishi ya Mh. Regia Mtema huko Ifakara (updates)

Mazishi ya Mh. Regia Mtema huko Ifakara (updates)

hatuhesabu aliyofanya,

tunamlilia kwa asili na utu wake,kinachotuliza ni Regia alikuwa mtu wa namna gani.
Mara zote sisi binadamu tunasahau kuwa utu wetu wa kujitambua sisi au mimi ni nani.

Unaweza kufanya mengi,unaweza kuwa na vingi na zaidi unaweza kuishi mda mrefu lakini usiwe na utu wala huwezi kukumbukwa.

Regia had Intergrity,Humility,Trust,she had Cofidence and Love to all.

well said mamie,am just crying everytime when i remember her.She also had respect for all,a responsible woman.She was unique oh how it hurts me to describe her in past tense.R.I.P my sister,
 
Kunaumuhimu wa kuchukua hatua kwani hili suala tulisha lisema sana sasa watu mbona hawawajibiki kabisa yani hawajui kazi zao kabisa hivi wanaagaje wajumbani mwao.
 
Tunaomba mtujuze wako Maaskofu wangapi hapo kwenye misa, na yupi anaongoza.
 
Neo la mungu limesomwa na Mh Silinde na Joseph Selathin mbunge wa Rombo.
 
Sasa mpaka kufikia page hii tayari nimeshaliona pengo la Dada yetu Regia, wakati wa uhai wake tukio la Live kama hili nina uhakika angekuwa tayari ameshaturushia picha Live ili kuona kile kinachoendelea.

Chadema ni chama dhaifu sana kwenye upande wa mawasiliano, sijui ni sifa zipi kinatumia chama hiki kuwapa watu ajila ya uofisa habari pale makao makuu, ili nakuambia wewe Dada Josephine umwambie Dr Slaa tumeshachoshwa na ubabaishaji wa kitengo hiki cha habari, wewe hukupaswa kufanya jukumu hili wakati kuna maofisa wa chama wanaolipwa ili watimize jukumu hili. huu ubabaishaji haukubariki kamwe.

Watu wako msibani na wanajitahidi kutuletea kile ambacho wanaweza. Ni majonzi labda kama wewe hujawahi kufiwa na mtu wa karibu. CDM haina radio yake ambayo kwayo waajiriwa wangweza kufanya kazi hiyo. CDM yote masini imefikwa na msiba na hivyo usiwahukumu katikakti ya majonzi. Ushauri wako na hukumu mbona hukuvitoa siku zote?
 
Ameshafika anasubiri misa iishe ndipo aje kuwaongoza Watanzania kwenye maziko.

Msafara wake haukusimama popote zaidi ya wananchi kujitokeza kwa wingi vipembezoni mwa barabara wengine wakishangaa shangaa wengine wakimpungia mikono kuonyesha furaha zao kwa rais wao akipita mitaa yao!.

pasco, i have always been finding it hard to take you seriously....
 
Injili ya neno takatifu imemalizika.

Kuna dalili za mvua,Mungu aipitishe mbali.

Sasa ni mda wa mawaidha
 
Ni kwanini umeyaruhusu.....eee Mungu Mwenyezi...
Yatusononeshe moyoni... kwa nini umeruhusu..
Ona haya machozi... Tanzama tunavyo liiiia
Twajiuliza sana moyoni ..ni kwa nini uliyaruhusu,

Nikumbukapo asubuhi hiyoo.... asubuhi ya huzuni nyingiii
Ulipokubali bwana... kwamba mwenzetu apumzike
Najiuliza moyoni.... kwa nini Bwana Mwenyezi
Umeruhusu tusononeshwe kiasi hiki

Mlipuko ni ghafla....mlipovamiwa na mauti
Bwana ulimruhusu Regia aige dunia........


RIP Regia
We love you
 
Au Josephine atamng'ata sikio kama wewe ulivyomng'ata matola....:lol:
Na ningependa kutumia fursa hii kumuandikia ujumbe wa wazi hapa hapa Dr Slaa kwamba wasitake kumzeesha John Mnyika, yule ni mbunge wa Ubungo na ana majukumu mazito kwa wapika kura wake, Chadema ina vijana lukuki kwenye vyuo vikuu vyote sioni kuna ugumu gani wa kumpa ajila kijana alie Graduate University kwenye mass media na PR! NARUDIA KUSEMA TENA UBABABAISHAJI HAUKUBARIKI KAMWE.
 
Kwaheri Regia wetu!
Kwaheri Mwenzetu!
Kwaheri Mpiganaji wetu!
Kwaheri Mtetezi wetu!
Kwaheri Regia!
Mungu Akupe Malazi Mema Peponi na akuweke miongoni mwa waliotukuka - AMEN!
 
Mzee Mmoja wa makamo amekiri Ifakara haikuwahi kuona umati mkubwa wa watu kama leo tangu ulimwengu ulipoumbwa na Mungu!.

Nasi tunaendelea kuwafuatilia kwa umati. Thanks for update.

There are currently 597 users browsing this thread. (170 members and 427 guests)
 
Update hizi zinanikumbusha show ya Antivirus ambapo da Regia alikuwa anatuhabarisha kila tukio
 
Injili ya neno takatifu imemalizika.

Kuna dalili za mvua,Mungu aipitishe mbali.

Sasa ni mda wa mawaidha

Kwetu siye watu wa huko, mvua ni dalili kuwa marehemu alikuwa mtu mwema sana.
Wazee walituambia kuwa ukiona mvua wakati wa mazishi ujue kuwa malaika hawakupenda huyo mtu afe so hawataki aende kaburini.
 
Injili ya neno takatifu imemalizika.

Kuna dalili za mvua,Mungu aipitishe mbali.

Sasa ni mda wa mawaidha
Usiajali Dada nawasiliana na wataalamu wangu pale jangwani wataizuia hiyo mvuwa hata kwa mwaka mzima kama wana Kilombero watapenda hivyo.
Yale mafuriko ya Jangwani mtaalam alikuwa yupo Rufiji kwa mke mkubwa.
 
Asante sana First Lady, yaani umenikumbusha Kazi aliyokuwa anafanya dada, Mh. Regia kwa kutuhabarisha wanajanvi kila CDM ilipokuwa na matukio na hasa CDM walipokuwa Kanda ya ziwa! Oh "Only Good ones die young" RIP Kamanda!
 
Back
Top Bottom