ana ID kibao ni PM nikupe info anapatikana kwa ID ipi.
At last, welcome very=karibu sana na usipotee kihivyoI miss you guys too. I am here now
I miss you guys too. I am here now
At last, welcome very=karibu sana na usipotee kihivyo
karibu mkuu jukwaani doh!
mkuu napitia post kadhaa, naona m'madrasa amepewa "duster" na kuwa mfutaji. Inasikitisha sana jf wanapo weka wachongeaji kama kiranja.
Mkuu kuna nondo za kufa mtu, sijui kama watazimudu hawa.