Ndoa imesababisha kaka abadili dini na kuuvaa Uislamu

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Hatimaye kaka yangu kaukanyaga umri wa kuoa. Wiki iliyoisha tunetoka kuvunja uchumba baada ya kuambiwa mahari ya kumuoa huyo binti Cheusi Mangala mwenye michunusi yake na bonge la mtrako eti ni milioni 4 na nusu, mpaka mashemeji wanatia cha udalali

Tuliamua kumuacha Baba mkwe wa Mchongo kisha kukatisha katikati ya mashemeji na kuondoka zetu

Juzi kati kaka yangu kabadili dini na kuwa muislamu kutokana na sababu zifuatazo:

a) Alimpenda binti mmoja cheupe mzuri wa macho ostadhati (nahisi bado hajachafuka) ambaye walikubaliana mahari ya misaafu miwili. Sidhani hata kama laki inafika. Hivyo alipewa jaribio la kubadili dini akalikimbia kipindi cha nyuma

b) Nyumbani tunakotokea kuna binti ambaye kila mwana ukoo wetu alitamani tumsaini ndani ya ukoo wetu. Hivyo kaka yangu ataitumia vyema moja kati ya vacancies tatu zilizobaki

c) Wanawake wetu hawa wa miaka hii ni pasua kichwa. Hivyo kaka hatosita kusema Basi! Ikiambatana na vikaratasi vitatu pale itakapombidi

d) Mke ni baraka! Pindi hali yake ya kiuchumi itakapokuwa ngumu, ataruhusiwa kuongeza mke mwingine kama baraka kwa kuwa kila mwanamke huja na nyota yake

f) Kama ataishi na mke wake kwa uaminifu, huko mbinguni keshaandaliwa Manawari 30 wazuri sana ambao atakuwa akiwachakata mbususu wakati huo sisi wa upande wa pili tutakapokuwa tunainua na kuinamisha vichwa vyetu

Last but not listed: g) Kaka atakuwa na uhuru wa kuzunguka vyumba vya wake zake usiku kucha akitafuta mbususu iliyoumuka kwa siku hiyo pindi atakapotimiza wajibu wa kujaza wanawake wanne

Nyie mliotaka milioni nne na ushee na cha udalali juu kwa mtoto wenu subirini siku ya mkesha wa Kawe mkamkanyagishe mafuta pindi akifikia wakati wa kuitwa 30+
 
Kwanza umeandika mambo mengi Hakuna hata kimoja ulichoandika kinahusiana na uislamu wacha kuchafua dini kama hauna ufahamu nayo.

Ni vyema angebadili dini kwa sababu amejua haki ilipo na si kwa sababu ya ndoa , kingine kama amebadili dini na hafanyi ibada SI MUISLAMU! MAANA TOFAUTI YA MUISLAMU NA ASIYE MUISLAMU NI SWALA .
 
sasa hutaki uislam uongelewe na unashukuru mtu kaijua haki kupitia Cuma.

mara nyingi hii huwa sio njia nzuri ya mtu kubadili dini,na hatuishauri.
 
Hatimaye kaka yangu kaukanyaga umri wa kuoa. Wiki iliyoisha tunetoka kuvunja uchumba baada ya kuambiwa mahari ya kumuoa huyo binti Cheusi Mangala mwenye michunusi yake na bonge la mtrako eti ni milioni 4 na nusu, mpaka mashemeji wanatia cha udalali

Tuliamua kumuacha Baba mkwe wa Mchongo kisha kukatisha katikati ya mashemeji na kuondoka zetu

Juzi kati kaka yangu kabadili dini na kuwa muislamu kutokana na sababu zifuatazo:

a) Alimpenda binti mmoja cheupe mzuri wa macho ostadhati (nahisi bado hajachafuka) ambaye walikubaliana mahari ya misaafu miwili. Sidhani hata kama laki inafika. Hivyo alipewa jaribio la kubadili dini akalikimbia kipindi cha nyuma

b) Nyumbani tunakotokea kuna binti ambaye kila mwana ukoo wetu alitamani tumsaini ndani ya ukoo wetu. Hivyo kaka yangu ataitumia vyema moja kati ya vacancies tatu zilizobaki

c) Wanawake wetu hawa wa miaka hii ni pasua kichwa. Hivyo kaka hatosita kusema Basi! Ikiambatana na vikaratasi vitatu pale itakapombidi

d) Mke ni baraka! Pindi hali yake ya kiuchumi itakapokuwa ngumu, ataruhusiwa kuongeza mke mwingine kama baraka kwa kuwa kila mwanamke huja na nyota yake

f) Kama ataishi na mke wake kwa uaminifu, huko mbinguni keshaandaliwa Manawari 30 wazuri sana ambao atakuwa akiwachakata mbususu wakati huo sisi wa upande wa pili tutakapokuwa tunainua na kuinamisha vichwa vyetu

Last but not listed: g) Kaka atakuwa na uhuru wa kuzunguka vyumba vya wake zake usiku kucha akitafuta mbususu iliyoumuka kwa siku hiyo pindi atakapotimiza wajibu wa kujaza wanawake wanne

Nyie mliotaka milioni nne na ushee na cha udalali juu kwa mtoto wenu subirini siku ya mkesha wa Kawe mkamkanyagishe mafuta pindi akifikia wakati wa kuitwa 30+
Hivi unajua msemo "Nafuu aghali" au "High price, high quality"
Wewe endelea na huyo wa bei chee utaipatapata.
 
kimsingi kaka yako anaonekana anapenda ndoa lakini hayuko tayari kuwajibika kwa gharama za ndoa.

hakumpend mtoto wa watu,na wala huyu muislam hajampenda,anataka kumfukua tu kisha aoe mwingine.
 
Mambo yake na mkewe hayakuhusu mkuu...
Nyie ndio hua mnawapangia kakazenu aina ya maisha mnayotaka ninyi waishi na wake zao.
Alafu akia.....
Au basi.
 
kimsingi kaka yako anaonekana anapenda ndoa lakini hayuko tayari kuwajibika kwa gharama za ndoa.

hakumpend mtoto wa watu,na wala huyu muislam hajampenda,anataka kumfukua tu kisha aoe mwingine.
Kama hakumpenda huyu Ostadhat, bado ana nafasi tatu za kujazilizia mabinti awapendao
 
Hatimaye kaka yangu kaukanyaga umri wa kuoa. Wiki iliyoisha tunetoka kuvunja uchumba baada ya kuambiwa mahari ya kumuoa huyo binti Cheusi Mangala mwenye michunusi yake na bonge la mtrako eti ni milioni 4 na nusu, mpaka mashemeji wanatia cha udalali

Tuliamua kumuacha Baba mkwe wa Mchongo kisha kukatisha katikati ya mashemeji na kuondoka zetu

Juzi kati kaka yangu kabadili dini na kuwa muislamu kutokana na sababu zifuatazo:

a) Alimpenda binti mmoja cheupe mzuri wa macho ostadhati (nahisi bado hajachafuka) ambaye walikubaliana mahari ya misaafu miwili. Sidhani hata kama laki inafika. Hivyo alipewa jaribio la kubadili dini akalikimbia kipindi cha nyuma

b) Nyumbani tunakotokea kuna binti ambaye kila mwana ukoo wetu alitamani tumsaini ndani ya ukoo wetu. Hivyo kaka yangu ataitumia vyema moja kati ya vacancies tatu zilizobaki

c) Wanawake wetu hawa wa miaka hii ni pasua kichwa. Hivyo kaka hatosita kusema Basi! Ikiambatana na vikaratasi vitatu pale itakapombidi

d) Mke ni baraka! Pindi hali yake ya kiuchumi itakapokuwa ngumu, ataruhusiwa kuongeza mke mwingine kama baraka kwa kuwa kila mwanamke huja na nyota yake

f) Kama ataishi na mke wake kwa uaminifu, huko mbinguni keshaandaliwa Manawari 30 wazuri sana ambao atakuwa akiwachakata mbususu wakati huo sisi wa upande wa pili tutakapokuwa tunainua na kuinamisha vichwa vyetu

Last but not listed: g) Kaka atakuwa na uhuru wa kuzunguka vyumba vya wake zake usiku kucha akitafuta mbususu iliyoumuka kwa siku hiyo pindi atakapotimiza wajibu wa kujaza wanawake wanne

Nyie mliotaka milioni nne na ushee na cha udalali juu kwa mtoto wenu subirini siku ya mkesha wa Kawe mkamkanyagishe mafuta pindi akifikia wakati wa kuitwa 30+
CC FaizaFoxy
 
Kwani Kwenye familia we ndo umeshikilia nafas ya dada? Maana umekua kama wifi wa wachumba wa kaka yako unamuonea wivu kaka yako hadi unamchagulia mademu?
 
Hapana mkuu. Yeye huniomba ushauri kwa sana kwa kuwa mimi nina degree 2 za sheria na ujasiliamali
Kwahiyo unahisi kwakua wewe una mawe mawili ya sheria na jiwe moko la ujasiriamali... hii ndio itakufanya uwe mshauri mzuri wa shimo analo kojolea kaka yako...🤔
 
Hivi unajua msemo "Nafuu aghali" au "High price, high quality"
Wewe endelea na huyo wa bei chee utaipatapata.
Mkuu, pale Mlandizi kiwanja kinauzwa 1.5mil
Kati ya kuvuta lingese ukaliweka ndani likawa na kazi ya kuchakatwa uko nje pamoja & kukujambia kitandani na kununua viwanja vi3. Kipi bora?
 
Mwanaume anaye oa Kwa mahari inayozidi kuku 2 ni matako kama matako wengine.Zamani sawa wazee wetu walitoa ng'ombe wawili na ukweli waliendea Haki,unaambiwa kinachapwa kutwa mara tatu kama panado,skuizi unaoa Kwa ng'ombe 6,papuchi huli ukilazimisha unapewa kesi ya ubakaji,kama sio ujuha ni nini?
 
Kwanza umeandika mambo mengi Hakuna hata kimoja ulichoandika kinahusiana na uislamu wacha kuchafua dini kama hauna ufahamu nayo.
i vyema angebadili dini kwa sababu amejua haki ilipo na si kwa sababu ya ndoa , kingine kama amebadili dini na hafanyi ibada SI MUISLAMU! MAANA TOFAUTI YA MUISLAMU NA ASIYE MUISLAMU NI SWALA .
Huyo ni mwislam mwenzako yupo ktk harakati za kutangaza anachoamini ni uzuri wa uislam,usimkataze mpo kundi moja.

Ukitaka uelewe hilo vizuri soma hayo matarajio aliyoyapanga hapo hakuna mtu nje ya dini husika anayeweza kuyaelezea kama alivyosema huyu kijana.
 
kimsingi kaka yako anaonekana anapenda ndoa lakini hayuko tayari kuwajibika kwa gharama za ndoa.

hakumpend mtoto wa watu,na wala huyu muislam hajampenda,anataka kumfukua tu kisha aoe mwingine.
Bruh,read between the lines huyu ni muislam soma kwa umakini alichoandika hakuna Mkristo anayeweza kueleza hayo kwa usahihi kiasi hiko.

Hapo hakuna aliyebadili dini ni aina ya geresha tu.
 
Back
Top Bottom