Max Shimba

Status
Not open for further replies.
Yuko wapi mchungaji wetu Max? Siku nyingi sijamuona jamvini. Tunamiss baraka zako baba mchungaji. Ni kati ya member wa jukwaa la dini mwenye uwelewa mkubwa wa dini zote 2 (islam and xstian).

Mwenye contact zake mwambie kondoo wake wana mwihitaji.

Huyu Bw. Max Shimba ukitaka kumpata mtafute Mashada Forum - Kenya.
 
Wakulu:

Msiwe na wasiwasi, hata Yesu tunaye mfuata alihukumiwa kwa mambo ya uongo.

I am fine na kazi inafanywa kama kawaida. Nimepata bahati ya kumwaga injili kule kwa Ahamadinajad, na wengi wanampokea Yesu.

Be blessed

Maxshimba @ NYC
 
Ana kesi ya utapeli USA, na ilisha ripotiwa na links zikawekwa hapa JF.

Ukiishi NYC na unafanya kazi Wall Street, kesi si jambo la ajabu. Labda unaishi dunia ya kule kat na/au unafanya zile kazi za 9 to 5. As long as una-endorse checks, well, things happens. Anyways, only low self esteemed morans will have time to discuss intelligent people. I am proud of it.
 
Wakulu:

Msiwe na wasiwasi, hata Yesu tunaye mfuata alihukumiwa kwa mambo ya uongo.

I am fine na kazi inafanywa kama kawaida. Nimepata bahati ya kumwaga injili kule kwa Ahamadinajad, na wengi wanampokea Yesu.

Be blessed

Maxshimba @ NYC

ubarikiwe bwana awe nawe.
 
Wakulu:

Msiwe na wasiwasi, hata Yesu tunaye mfuata alihukumiwa kwa mambo ya uongo.

I am fine na kazi inafanywa kama kawaida. Nimepata bahati ya kumwaga injili kule kwa Ahamadinajad, na wengi wanampokea Yesu.

Be blessed

Maxshimba @ NYC

Ubarikiwe mkuu!
 
Ukiishi NYC na unafanya kazi Wall Street, kesi si jambo la ajabu. Labda unaishi dunia ya kule kat na/au unafanya zile kazi za 9 to 5. As long as una-endorse checks, well, things happens. Anyways, only low self esteemed morans will have time to discuss intelligent people. I am proud of it.

Proud to be a thief> in the name of Jesus? hahaaaaaaahahaa!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom