Max Shimba

Status
Not open for further replies.

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,805
637
Yuko wapi mchungaji wetu Max? Siku nyingi sijamuona jamvini. Tunamiss baraka zako baba mchungaji. Ni kati ya member wa jukwaa la dini mwenye uwelewa mkubwa wa dini zote 2 (islam and xstian).

Mwenye contact zake mwambie kondoo wake wana mwihitaji.
 
karibu mkuu jukwaani doh!

Mkuu napitia post kadhaa, naona m'madrasa amepewa "duster" na kuwa mfutaji. Inasikitisha sana JF wanapo weka wachongeaji kama kiranja.

Mkuu kuna nondo za kufa mtu, sijui kama watazimudu hawa.
 
Hakuna siri ya kutoonekana kwake. Hakupotea bali alifukuzwa kutokana na kuhubiri chuki ya kidini. Alirudi kwa jina "Schmidt" akaleta yaleyale akafukuzwa tena.

Bado sijagundua nani ameruhusu ID hii ya Max tena labda kufukuzwa ni kwa muda tu ?
 
Karibu sana mchungaji nilifikiri paw amekupitia na ban ya maisha.
 
Tuone kama atadumu. Labda akimeza asali tu atabaki kidogo. Lakini si rahisi kubadilisha tabia - pepo ndani yake itaanza kumsukuma tena na akirudia yaleyale - siku hizi wameboresha JF dini kidogo - wembe tayari!
 
mkuu napitia post kadhaa, naona m'madrasa amepewa "duster" na kuwa mfutaji. Inasikitisha sana jf wanapo weka wachongeaji kama kiranja.

Mkuu kuna nondo za kufa mtu, sijui kama watazimudu hawa.

hivi mtu wa dini hutukana????? Kwa nini mnashindwa kuwa wastaarabu au madhehebu yenu ndio yanapenda mambo ya matusi????
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom