Max Shimba

Status
Not open for further replies.
hivi mtu wa dini hutukana????? Kwa nini mnashindwa kuwa wastaarabu au madhehebu yenu ndio yanapenda mambo ya matusi????
Hujasoma mambo yake? Akigusa habari za Uislamu anaanza kufoka tu. Namshukuru Mungu aliondolewa maana tangu ameondoka imewezakana kidogo kufanya majadiliano ya maana.
Wakati yuko? Haiwezekani. Kufoka na matusi. Tena yoote "kwa jina la Yesu", kwa hiyo siyo machafuko wa imani nyingine pia ya imani ya kikristo.
 
MaxShimba popote ulipo tunakuomba jukwaa la dini......mavuno yamekuwa mengi wavunaji wachache......
 
Ana kesi ya utapeli USA, na ilisha ripotiwa na links zikawekwa hapa JF.
 
Ana kesi ya utapeli USA, na ilisha ripotiwa na links zikawekwa hapa JF.

Kwani kuwa na kesi ni ajabu? Au hujui hata wewe unakesi ya kujibu kwa mungu wako Allah na matokeo ya kesi hiyo hauyajui hadi sasa hivi?
 
Dini zote ni islam na christian tu?!, kwahiyo hajui habari za dini za: adventist, budha, bahai.
Yuko wapi mchungaji wetu Max? Siku nyingi sijamuona jamvini. Tunamiss baraka zako baba mchungaji. Ni kati ya member wa jukwaa la dini mwenye uwelewa mkubwa wa dini zote 2 (islam and xstian).

Mwenye contact zake mwambie kondoo wake wana mwihitaji.
 
Hujasoma mambo yake? Akigusa habari za Uislamu anaanza kufoka tu. Namshukuru Mungu aliondolewa maana tangu ameondoka imewezakana kidogo kufanya majadiliano ya maana.
Wakati yuko? Haiwezekani. Kufoka na matusi. Tena yoote "kwa jina la Yesu", kwa hiyo siyo machafuko wa imani nyingine pia ya imani ya kikristo.

Uzushi ni sifa ya Shetani.......matusi kwa jina la nani?....... huyo Mungu yupi unaye mtaja? maana najua wako Miungu wengi tu, yuko anaesema hana mtoto kwa kuwa hana mke!! huyu ni mungu wa uongo, Pia yuko Muumba mbingu na nchi anaeitwa JEHOVA huyu ana watoto na ametupa ruhusa kumwita baba....
 
Maxshimba rudi jukwaa la dini tuna miss-michango yako; Unapokuja usiwaache kina Schmidt, Doe doe, Muse A Muse, 1080 P, na M Smith.
 
Yuko wapi mchungaji wetu Max? Siku nyingi sijamuona jamvini. Tunamiss baraka zako baba mchungaji. Ni kati ya member wa jukwaa la dini mwenye uwelewa mkubwa wa dini zote 2 (islam and xstian).

Mwenye contact zake mwambie kondoo wake wana mwihitaji.
Haujui Uislam wala Ukristo. Anachojua ni matusi, kejeli na uzushi.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom