Sabini..Helw wakuu,
Habari za Eid Pili? Kwangu si njema sana baada ya kukutana na something I never expected, its a big blow to me
Kwa kifupi wakuu, nina mpenz wangu ambaye napendana nae sana, sijawahi kumkosea wala kumkwaza with anything and I always considered our r/ship a healthy one.
Hakuna matatizo yeyote kati yetu hata financial issues kiasi flan tumesimama. She is someone I was willing to take a largest step in life (marrying her) sometimes in next year after i've attained.some personal goals I have.
Sasa leo kama bahati alinipatia simu yake nimrekebishie whatsapp ilikua inasumbua kuconekt bila kukumbuka ameacha some traces behind. Mimi wakati naifanyia setting simu, curiosity yangu ikanituma niende inbox kwa sms za kawaida... bandugu nimekutana na msg za mapenzi anaongea na mwanaume mwingine ikabidi nipige na picha kwa simu yangu....
Too bad huyu jamaa anaefanya nae upuuzi ni someone I trust and took as a brother since we were growing up mpaka sasa. Tumekua watu wazima.
Sijamwambia chochote mpaka sasa am still thinking ni adhabu gani niitoe au uamuzi gani niuchukue kutokana na ufedhuli huu niliofanyiwa. Ngoja nikapate a drink or two kwanza aisee nikae sawa, inauma wakuu acha tuu.
...usije kawa ndio wewe,..the same to me I'll never trust a man apart from my lovely dady suree
..wataje,..wataje.Sijaona Comment ya wale wadada machachari humu wapo kimya kama vile hawaoni
...pole mkuu usisahau kuja na mrejesho,..Duuh hapa hamna maongez kaka acha nibwage manyanga. Kenny rogers aliimba you dont have to fight to be a man, bwege ni mimi let me live with it
..makalio hayo Shushushu..DaahPole sanaa
..utawaonaje na hizo nywele miguuni?Hivi hao innocent men mbona wengine hatuwaoni jamani loooo!
Kajunjumele ... Huo ni uumbaji tu ndugu yangu..utawaonaje na hizo nywele miguuni?
Kausha mkuu nilikuwa nakutania tu,..Kajunjumele ... Huo ni uumbaji tu ndugu yangu
Usihofu mkuuKausha mkuu nilikuwa nakutania tu,..
Kila upande ukipendwa upendeke jmn lohWanaume waaminifu huumizwa sana,sijui kwa nini du!
Kweli mwanamke anavumilia mengi Mara ngapi mnakutwa na evidence kabisa mnayamaliza hkn mkamilifuMhhh labda kama unajisemea weye au hujawahi kutana na wadada walotendwa unaweeza jiuliza hivi wanawake wanamoyo au mawe how amevumilia hili
Umeongea vzrKuna hii tabia ya sikuhiz et usishike cm yangu na mimi sishiki yako kiukweli nimbaya nani hatari kwa ndoa na mahusihano mengi. Hamnagaa anaevumiliaga kushika cm ya mwenzake sema huwa tunazuga na ndio maana baadh wanashindwaga kuwa makini sababu inajulikana hamshikiani cm. Ikitokea bahat mbaya kama hivyo ndo unaanza kutoa milio.
Mshukuru MUNGU kakufunulia kwa njia hiyo kumjua mwenzako.
Me cm ya wife sishiki kabisa lakini pattern naijua sababu ipo moja hata yeye yangu anaijua.
Siku moja akaniomba cm acheze game nikampaa me nikatoka njee kumbe namchabo kwa dirishan kaenda fasta kwenye wasap anafungua cheating moja moja,kaamia text zakawaida kamaliza kaenda kwenye Picha kaangalia weee naona hakukuta chamkutia shaka akaendelea kucheza game yake.
Me nikarud nikatulia nikajiuliza kumbe huwa anasema hakagui cm lakin nimemuona nikanyamaza na sijawah ficha cm. Siku moja nikabadil pattern makusud afu cm naitupa mezani naondoka au siku ingine henken mayai zinakuwa zimenizid nalalaa. Kumbe mwenzangu kachokonoa vikamshinda akatulia
Sasaa kiroho kinamuuma huyu mzee kwanin kabadil pattern anaficha nini afu kalewa sasa kuuliza hawez sababu huwa anasema hashiki cm yangu akavumilia zikapita cku kadha ndo akajisemesha kiumbea umbeaa nakujichekesha naona skuhiz had pattern umebadilisha banaa, me nikacheka nikamrudishia za mwanzo nanikamwambia huwa unachokonoa cm yangu unaikagua akabisha nikamkumbusha siku alivyonipekua kacheka wee yakaisha.
Me yake kiukweli na mimi huwa nanyatiaa mara chache chache sanaaa nachunguliamo sijawahi kuta kitu chakunishtua sanaa.
Kiukweli cm ya MKE niyakuchungulia tuu hamnaa namnaa maana ukijikuta abiria huchunga mzigo wako ndo zakujikuta unapigiwa na jirani kabisa. hataa kama atajitahid VIP kujificha iko siku atabug mastep tuu utasanda