Maumivu ya moyo....!!!

Maumivu ya moyo....!!!

Mimi marafiki zangu huwa hawanielewi ila ndio nilivyo sitaki mtu yoyote wa karibu yangu mwenye jinsia me awekaribu na mke wangu hata namba ya cm tu ni marufuku kuwa nayo urafiki ni mimi na wewe sio mke wangu maana akili zetu wanaume nazijua vizuri.
 
Helw wakuu,
Habari za Eid Pili? Kwangu si njema sana baada ya kukutana na something I never expected, its a big blow to me.
Kwa kifupi wakuu, nina mpenz wangu ambaye napendan nae sana, sijawahi kumkosea wala kumkwaza with anything and I always considered our r/ship a healthy one. Hakuna matatizo yeyote kati yetu hata financial issues kiasi flan tumesimama. She is someone I was willing to take a larget step in life (marrying her) sometimes in next year after i've attained.some personal goals I have. Sasa leo kama bahati alinipatia simu yake nimrekebishie whatsapp ilikua inasumbua kuconekt bila kukumbuka ameacha some traces behind. Mimi wakati naifanyia setting simu, curiosity yangu ikanituma niende inbox kwa sms za kawaida... bandugu this is what I found ikabidi nipige na picha kwa simu yangu....View attachment 531363View attachment 531364View attachment 531365
Too bad huyu jamaa anaefanya nae upuuzi ni someone I trust and took as a brother since we were growing up mpaka sasa.tumekua watu wazima. Sijamwambia chochote mpaka sasa am still thinking ni adhabu gani niitoe au uamuzi gani niuchukue kutokana na ufedhuli huu niliofanyiwa. Ngoja nikapate a drink or two kwanza aisee nikae sawa, inauma wakuu acha tuu.
Pole sana Mkuu, hayo yanawatokea wengi sana. Kikubwa ni kufanya uchunguzi zaidi na kuchukua hatua. Huyo sio Mke tena
 
***** yani hawa madem umiza kichwa hata utombe masaa nane lazma ata cheat tu,kwa uongo sasa dah,me skwambii ufanyeje maana ambcho ningemfnyia dah ningekuwa napelekwa mahakaman na escort ya vifaru na syo difenda
 
Moja kati ya sheria kumi za akili ni kwamba,usihukumu sana watu maana watshindwa kukuhukumu wewe,,kama bado hujaamua bas usionyeshe utofauti,japo sijajua umri wako bt km umefika 30+ hakikisha unamuacha hatakufaaa asilan,na uzur ni kwamba epuka sana mwanamke unaeweza kuishi nae bila kumwoa,au mmekutana tu makazin huko,maana mtoto wa kike ambae hajaolewa na hayupo kwao,assseh mmmh ngoja niishie hapa tu. Mzaz mwenye busara hawez mruhusu mtoto wke wa kike aishi nje ya nyumban kabla ya ndoa... So angalia na uamuz wa mwsho ni wako mwenyewe
 
Pole sana mkuu. Seriously inauma sana aise, ninavyo wapenda wanawake sijui ingenitokea mimi ningekua kwenye hali gani. Kwangu mimi kosa nisiloweza kusamehe ni hili la usaliti ningemuacha tu aende ila maumivu yake sijui ningeyabebaje.
 
Pole sana mkuu! Inauma kwa kweli...
Huyo adhabu yake ninkumstukiza na barua ya mwaliko wa harusi... Domo limdondoke! Yaani siwapendi wasaliti kama ukoma
 
Mimi nimeamua kumtafuta mwenye sura ngumu ngumu na mlokole labda ndo sitapata maumivu ya dizaini tena,mkuu najua maumivu unayoyapata.Mimi nilimaliza siku mbili bila kupata usingizi.
Hahahaha asa mwenye sura ngumu ndio hawezi kuwa malaya mkuu, mwanamke ata awe kama chiku keto kama ni malaya type utaskia mlio tu!!!
 
yani acha kabisa...hali ni mbaya nowadays!
hata kujidai unae mpenzi mwaminifu siku hizi hakuna.ni mashaka tupu.
mimi hapa nlipo natamani nikionana nae siku natamani niweze kupekua kule..
ana pattern kali ...password mpaka kwenye nokia tochi..

Haaa haaa Haaa haaa Haaa teeeh teeeh teeeh teeeh teeeh.

Ukiona hivyo ujue.....tayari.
 
Pole sana mkuu. Seriously inauma sana aise, ninavyo wapenda wanawake sijui ingenitokea mimi ningekua kwenye hali gani. Kwangu mimi kosa nisiloweza kusamehe ni hili la usaliti ningemuacha tu aende ila maumivu yake sijui ningeyabebaje.
Ungeyabeba na kitoroli mkuu
 
hadi nimeogopa ujue..mda mwingine nawaza ni bora uwe peke ako tu..
Seriously sijui mtu anapata wapi guts za kumfanyia binadamu mwenzie usanii. If you love someone make sure you mean so. Imekuwa kama game kuamsha hisia za mtu halafu kuja kumvuruga at last, si uungwana kabisa! Kama huridhishwi si you just talk on how to make things work instead of sneaking out..tabia mbaya sana hio!!!
 
Kuna hii tabia ya sikuhiz et usishike cm yangu na mimi sishiki yako kiukweli nimbaya nani hatari kwa ndoa na mahusihano mengi. Hamnagaa anaevumiliaga kushika cm ya mwenzake sema huwa tunazuga na ndio maana baadh wanashindwaga kuwa makini sababu inajulikana hamshikiani cm. Ikitokea bahat mbaya kama hivyo ndo unaanza kutoa milio.

Mshukuru MUNGU kakufunulia kwa njia hiyo kumjua mwenzako.

Me cm ya wife sishiki kabisa lakini pattern naijua sababu ipo moja hata yeye yangu anaijua.

Siku moja akaniomba cm acheze game nikampaa me nikatoka njee kumbe namchabo kwa dirishan kaenda fasta kwenye wasap anafungua cheating moja moja,kaamia text zakawaida kamaliza kaenda kwenye Picha kaangalia weee naona hakukuta chamkutia shaka akaendelea kucheza game yake.

Me nikarud nikatulia nikajiuliza kumbe huwa anasema hakagui cm lakin nimemuona nikanyamaza na sijawah ficha cm. Siku moja nikabadil pattern makusud afu cm naitupa mezani naondoka au siku ingine henken mayai zinakuwa zimenizid nalalaa. Kumbe mwenzangu kachokonoa vikamshinda akatulia

Sasaa kiroho kinamuuma huyu mzee kwanin kabadil pattern anaficha nini afu kalewa sasa kuuliza hawez sababu huwa anasema hashiki cm yangu akavumilia zikapita cku kadha ndo akajisemesha kiumbea umbeaa nakujichekesha naona skuhiz had pattern umebadilisha banaa, me nikacheka nikamrudishia za mwanzo nanikamwambia huwa unachokonoa cm yangu unaikagua akabisha nikamkumbusha siku alivyonipekua kacheka wee yakaisha.

Me yake kiukweli na mimi huwa nanyatiaa mara chache chache sanaaa nachunguliamo sijawahi kuta kitu chakunishtua sanaa.

Kiukweli cm ya MKE niyakuchungulia tuu hamnaa namnaa maana ukijikuta abiria huchunga mzigo wako ndo zakujikuta unapigiwa na jirani kabisa. hataa kama atajitahid VIP kujificha iko siku atabug mastep tuu utasanda
 
Urafiki na mke wa mtu ni dhambi kubwa sana
 
Helw wakuu,
Habari za Eid Pili? Kwangu si njema sana baada ya kukutana na something I never expected, its a big blow to me.
Kwa kifupi wakuu, nina mpenz wangu ambaye napendan nae sana, sijawahi kumkosea wala kumkwaza with anything and I always considered our r/ship a healthy one. Hakuna matatizo yeyote kati yetu hata financial issues kiasi flan tumesimama. She is someone I was willing to take a larget step in life (marrying her) sometimes in next year after i've attained.some personal goals I have. Sasa leo kama bahati alinipatia simu yake nimrekebishie whatsapp ilikua inasumbua kuconekt bila kukumbuka ameacha some traces behind. Mimi wakati naifanyia setting simu, curiosity yangu ikanituma niende inbox kwa sms za kawaida... bandugu this is what I found ikabidi nipige na picha kwa simu yangu....View attachment 531363View attachment 531364View attachment 531365
Too bad huyu jamaa anaefanya nae upuuzi ni someone I trust and took as a brother since we were growing up mpaka sasa.tumekua watu wazima. Sijamwambia chochote mpaka sasa am still thinking ni adhabu gani niitoe au uamuzi gani niuchukue kutokana na ufedhuli huu niliofanyiwa. Ngoja nikapate a drink or two kwanza aisee nikae sawa, inauma wakuu acha tuu.
tatizo pia lipo kwa wadada,mna akili ngumu sana nyie.siku zote mpende sana Mungu wako na mama yako kama sio wazazi hawa wanawake we chukulia ni kama mechi za simba na yanga au uchaguzi wa TZ au chukulia kama ni kitu cha muda hutoumia sana never trust in women 100%
 
Helw wakuu,
Habari za Eid Pili? Kwangu si njema sana baada ya kukutana na something I never expected, its a big blow to me.
Kwa kifupi wakuu, nina mpenz wangu ambaye napendan nae sana, sijawahi kumkosea wala kumkwaza with anything and I always considered our r/ship a healthy one. Hakuna matatizo yeyote kati yetu hata financial issues kiasi flan tumesimama. She is someone I was willing to take a larget step in life (marrying her) sometimes in next year after i've attained.some personal goals I have. Sasa leo kama bahati alinipatia simu yake nimrekebishie whatsapp ilikua inasumbua kuconekt bila kukumbuka ameacha some traces behind. Mimi wakati naifanyia setting simu, curiosity yangu ikanituma niende inbox kwa sms za kawaida... bandugu this is what I found ikabidi nipige na picha kwa simu yangu....View attachment 531363View attachment 531364View attachment 531365
Too bad huyu jamaa anaefanya nae upuuzi ni someone I trust and took as a brother since we were growing up mpaka sasa.tumekua watu wazima. Sijamwambia chochote mpaka sasa am still thinking ni adhabu gani niitoe au uamuzi gani niuchukue kutokana na ufedhuli huu niliofanyiwa. Ngoja nikapate a drink or two kwanza aisee nikae sawa, inauma wakuu acha tuu.
Show her that you know her dirty games with your friend. Let her know that you know her under carpet activities. She will be more troubled. Show the evidence to her, enough torture for her and do nothing. Usije ukaenda jela bure.
Hawo viumbe ni pasua kichwa. It happened to me, now its history na unasonga mbele. Hapo tayari, no trust. Achana naye kabisa, hata ukimsmehe, ni kazi bure atakuja rudia.
 
H

Hahaha et pattern kali!!!
Make sure hakuna privacy katika mahusiano yenu hasa kitu kama simu. Dissapointments kills people softly yani, unakaa unaplan vitu ukijua mko pamoja mwisho wa siku kumbe jitu linakuinjoy hujui...

Umekaa tu kiuaminifu unajikuta upo suprised tu kumbe uko na mnafiki longtime mipango inafanyika kwa simu. Nitahack hata mawasiliano kama umenijazia passwords staki upuuzi! Siaminigi maneno ya mdomoni tu.
haisaidiii, and believe me none is perfect
hata wewe inawezekana una maovu yako...ikichukuliwa simu yako mwenza wako anaweza kukupata na kosa
nimekuja kujifunza, kama Mungu hajausishwa kwenye mahusiano ni kazi bure, tena ni kupoteza mda big time
 
Helw wakuu,
Habari za Eid Pili? Kwangu si njema sana baada ya kukutana na something I never expected, its a big blow to me.
Kwa kifupi wakuu, nina mpenz wangu ambaye napendan nae sana, sijawahi kumkosea wala kumkwaza with anything and I always considered our r/ship a healthy one. Hakuna matatizo yeyote kati yetu hata financial issues kiasi flan tumesimama. She is someone I was willing to take a larget step in life (marrying her) sometimes in next year after i've attained.some personal goals I have. Sasa leo kama bahati alinipatia simu yake nimrekebishie whatsapp ilikua inasumbua kuconekt bila kukumbuka ameacha some traces behind. Mimi wakati naifanyia setting simu, curiosity yangu ikanituma niende inbox kwa sms za kawaida... bandugu this is what I found ikabidi nipige na picha kwa simu yangu....View attachment 531363View attachment 531364View attachment 531365
Too bad huyu jamaa anaefanya nae upuuzi ni someone I trust and took as a brother since we were growing up mpaka sasa.tumekua watu wazima. Sijamwambia chochote mpaka sasa am still thinking ni adhabu gani niitoe au uamuzi gani niuchukue kutokana na ufedhuli huu niliofanyiwa. Ngoja nikapate a drink or two kwanza aisee nikae sawa, inauma wakuu acha tuu.
Mkuu dawa ya wanaume kama hao kwa siku kama hizi tulizonazo ni kuwapiga mikia tu,mtafutie jopo la vijana wampige mkia hapo hapo babylon
 
haisaidiii, and believe me none is perfect
hata wewe inawezekana una maovu yako...ikichukuliwa simu yako mwenza wako anaweza kukupata na kosa
nimekuja kujifunza, kama Mungu hajausishwa kwenye mahusiano ni kazi bure, tena ni kupoteza mda big time

I wish ningekuwa mwanaume msaliti, i dont fit in their...I respect myself enough na sipendi kumpotezea mtu muda na wala sipendi kupotezewa muda either. Nikimwambia mwanamke nampenda i do mean business na sina kawaida ya kumfata mtu ambaye sina mpango nae.

Unasema haisaidii but to me it works, thats why nime insist natakaga kuwe na uwazi baina yetu ili kama mtu atashindwa nijue mapema tu kujipunguza niendelee na maisha yangu kiroho safi kuliko kujidanganya nafsi unapendwa kumbe mtu anakuinjoy tu. It pains a lot sometimes ila unaenda unazoea.

Kuhusu kumuhusisha mungu pia its depends na level ya imani ya mtu. Mtu mnafiki atabaki kuwa mnafiki tu always hata mungu mkiishi nae nyumba moja.

Lastly mwanamke msiri kwangu hapana..!!! Kama hawezi kuwa open kwa hiari ntafanya kila namna niujue ukweli tu na wote waliokuwa wanalilia usiri nilibaini ni wasaliti, they had to hit the door!
 
Back
Top Bottom