Maumivu ya moyo....!!!

Maumivu ya moyo....!!!

Kuna hii tabia ya sikuhiz et usishike cm yangu na mimi sishiki yako kiukweli nimbaya nani hatari kwa ndoa na mahusihano mengi. Hamnagaa anaevumiliaga kushika cm ya mwenzake sema huwa tunazuga na ndio maana baadh wanashindwaga kuwa makini sababu inajulikana hamshikiani cm. Ikitokea bahat mbaya kama hivyo ndo unaanza kutoa milio.

Mshukuru MUNGU kakufunulia kwa njia hiyo kumjua mwenzako.

Me cm ya wife sishiki kabisa lakini pattern naijua sababu ipo moja hata yeye yangu anaijua.

Siku moja akaniomba cm acheze game nikampaa me nikatoka njee kumbe namchabo kwa dirishan kaenda fasta kwenye wasap anafungua cheating moja moja,kaamia text zakawaida kamaliza kaenda kwenye Picha kaangalia weee naona hakukuta chamkutia shaka akaendelea kucheza game yake.

Me nikarud nikatulia nikajiuliza kumbe huwa anasema hakagui cm lakin nimemuona nikanyamaza na sijawah ficha cm. Siku moja nikabadil pattern makusud afu cm naitupa mezani naondoka au siku ingine henken mayai zinakuwa zimenizid nalalaa. Kumbe mwenzangu kachokonoa vikamshinda akatulia

Sasaa kiroho kinamuuma huyu mzee kwanin kabadil pattern anaficha nini afu kalewa sasa kuuliza hawez sababu huwa anasema hashiki cm yangu akavumilia zikapita cku kadha ndo akajisemesha kiumbea umbeaa nakujichekesha naona skuhiz had pattern umebadilisha banaa, me nikacheka nikamrudishia za mwanzo nanikamwambia huwa unachokonoa cm yangu unaikagua akabisha nikamkumbusha siku alivyonipekua kacheka wee yakaisha.

Me yake kiukweli na mimi huwa nanyatiaa mara chache chache sanaaa nachunguliamo sijawahi kuta kitu chakunishtua sanaa.

Kiukweli cm ya MKE niyakuchungulia tuu hamnaa namnaa maana ukijikuta abiria huchunga mzigo wako ndo zakujikuta unapigiwa na jirani kabisa. hataa kama atajitahid VIP kujificha iko siku atabug mastep tuu utasanda
Mimi simu ishaga zua ugomvi sishiki yako na ww usishike yangu nikamuuliza unaficha nn km kweli tunapendana oooh si makelele nikasema o.k. simu zote nimenunua sihusiki tena na lolote iharibike ifanyeje kila mtu na simu yake...nikaacha simu nikaenda kuoga ile naingia mlangoni anatupa simu yangu kitandani nikauliza why simu yangu wkt ulisema kila mtu na yake?akajibu eti alikuwa anasoma sms ambazo huwa tunachart lakini pattern zangu &zake kila mtu anazijua japo huwa sionyeshi kuichungulia simu yake lakini akiwa amelala hata saa 8 uck naamkaga nachungulia bwana heri nijue. ..kuna siku nikakuta sms rafiki yake anamshauri eti asiniamini mimi saana nilichofanya nikaomba zigo rafiki yake ili nitengeneze uadui hadi nikaweka mazingira wakakosana hadi leo hawaongei so awe demu, mke as long as simu nanunua mm na vocha namjazia lazima nipige chabo nitakachokikuta Mungu atatenda miujiza
 
Brother Tafuta pesa Achana na habari za hao watu,halafu hiyo kazi ya kupendapenda si ya kwako Itakucost! Hakuna kiungo chochote katika mwili wa mwanadamu kimepewa kazi ya kupenda huko ni kujiongezea majukumu yasiyokuhusu.
 
Mpeleke keko akaonane na jamal malinz,rugemalila na mwenzake wa iptl
 
Mkuu piga chini acha kuwa mvulana don't let men down hizo ndio changamoto za maisha what if ungekuta anagongwa nyapu ndani kwako mkuu be a man and not a boy

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu mbona sioni picha au zimetolewaaaaa, ,,,,,,,
Ila mimi kuja kumwamini mwanamke kamwe nakula na lala mbele. ....

driller⛏⚒
 
Helw wakuu,
Habari za Eid Pili? Kwangu si njema sana baada ya kukutana na something I never expected, its a big blow to me

Kwa kifupi wakuu, nina mpenz wangu ambaye napendana nae sana, sijawahi kumkosea wala kumkwaza with anything and I always considered our r/ship a healthy one.

Hakuna matatizo yeyote kati yetu hata financial issues kiasi flan tumesimama. She is someone I was willing to take a largest step in life (marrying her) sometimes in next year after i've attained.some personal goals I have.

Sasa leo kama bahati alinipatia simu yake nimrekebishie whatsapp ilikua inasumbua kuconekt bila kukumbuka ameacha some traces behind. Mimi wakati naifanyia setting simu, curiosity yangu ikanituma niende inbox kwa sms za kawaida... bandugu nimekutana na msg za mapenzi anaongea na mwanaume mwingine ikabidi nipige na picha kwa simu yangu....

Too bad huyu jamaa anaefanya nae upuuzi ni someone I trust and took as a brother since we were growing up mpaka sasa. Tumekua watu wazima.

Sijamwambia chochote mpaka sasa am still thinking ni adhabu gani niitoe au uamuzi gani niuchukue kutokana na ufedhuli huu niliofanyiwa. Ngoja nikapate a drink or two kwanza aisee nikae sawa, inauma wakuu acha tuu.
Huna akili
 
No reform No election
Mbwa koko wewe unatombewa alafu unalia Lia mbwa wewe no reform no election TAILA wewe unatombewa alafu unalia Lia KIDAKA USHUZI wewe
 
Back
Top Bottom