Maumivu ya moyo....!!!

Maumivu ya moyo....!!!

Huyo Demu ni Chuga Aiseee ndo ilivyo Inasumbua vby
 
Hata mwanaume never trust anyone in dis world watu yamekuwa mapretender kama nin mmi niliona bora nimtumikie Mungu tu ndo anaweza nipuuzea moto sku ya kuna kwangu ila sio mtu mwenye miguu miwilo
Haswa my dear!Mungu tu hawa viumbe mmmh hatari
 
daaah kaka nimesikitika sanaa as if vimenitokea mimi, simple kaka huwezi kuvi control vitu usivyoviweza, ivyo vimekupata viko nje ya uwezo wako, viache vipite, usimfiche uyo mwanamke muoneshe kila kitu mchane live na uyo ndugu yako, then kaa kimya usitake mazoea tena na wote wawili.
 
Unapokua kwenye mahusiano,jenga fikra kichwan mwako kua unaweza kuishi bila mwanamke,hata yakitokea haya unaweza kuishi bila uwepo wake,mahusiano ni changamoto sana mkuu,usilumbane nae we achana nae kwa aman tu.nishaga mwambia mke wangu ntakusameh zambi zako zote lkn ya kuzin hapana
 
Back
Top Bottom