Maumivu ya moyo....!!!

Maumivu ya moyo....!!!

Helw wakuu,
Habari za Eid Pili? Kwangu si njema sana baada ya kukutana na something I never expected, its a big blow to me.
Kwa kifupi wakuu, nina mpenz wangu ambaye napendan nae sana, sijawahi kumkosea wala kumkwaza with anything and I always considered our r/ship a healthy one. Hakuna matatizo yeyote kati yetu hata financial issues kiasi flan tumesimama. She is someone I was willing to take a larget step in life (marrying her) sometimes in next year after i've attained.some personal goals I have. Sasa leo kama bahati alinipatia simu yake nimrekebishie whatsapp ilikua inasumbua kuconekt bila kukumbuka ameacha some traces behind. Mimi wakati naifanyia setting simu, curiosity yangu ikanituma niende inbox kwa sms za kawaida... bandugu this is what I found ikabidi nipige na picha kwa simu yangu....View attachment 531363View attachment 531364View attachment 531365
Too bad huyu jamaa anaefanya nae upuuzi ni someone I trust and took as a brother since we were growing up mpaka sasa.tumekua watu wazima. Sijamwambia chochote mpaka sasa am still thinking ni adhabu gani niitoe au uamuzi gani niuchukue kutokana na ufedhuli huu niliofanyiwa. Ngoja nikapate a drink or two kwanza aisee nikae sawa, inauma wakuu acha tuu.
Daaah mapenzi sku hizi hayapo tunadanganyana I can imagine what do you feel right now bt up all to God peeke yako hutaweza muachr kwanza upumzishe akili unakuta unamuhudumia mtu kumbe moto wake upo kwa mwingine zaidi unajichosha tu..somtym tuwe tunasoma alama za nyakati Kwa ufupi huyo hakufai kwanni atembee na rafiki ako ukioana nae so atatembea na shemeji ake think big maamuzi yako ya sasa ndio matokeo yako ya Kesho over!!
 
Mkuu pole sana
Mim naona ata usiongee nae mkianza bishana apo atakuchimbulia usioyajua ukafa bure
Mkuu usemacho ni sahihi ndiomana sijataka hata kumuonesha hizi proof ili asije akanitia hasira zaidi, lakini nitahakikisha within these two days anapack her things n off she goes out of my home
 
Mfanye sana leo halafu ukimaliza mwambie wewe na yeye basi na umuonyeshe kila ulichokiona halafu umtakie maisha mema. Ile never trust Kiumbe kinachoitwa Mwanamke
Hata mwanaume never trust anyone in dis world watu yamekuwa mapretender kama nin mmi niliona bora nimtumikie Mungu tu ndo anaweza nipuuzea moto sku ya kuna kwangu ila sio mtu mwenye miguu miwilo
 
Mkuu usemacho ni sahihi ndiomana sijataka hata kumuonesha hizi proof ili asije akanitia hasira zaidi, lakini nitahakikisha within these two days anapack her things n off she goes out of my home
Kumbe mnaishi naye kabisa aisee.. |Anatoka hapo nyumbani anaenda kufanywa nje halafu anarudi... Haki ya Mungu Duuu
 
Jina Lako Limekaa Kimafia Na KiNdrang'hetta KiCosa Nostra. Don Lucchesse,Katika Sheria Kumi Za Mafia Ni Kutotembea Na Mwanamke Wa Mobster Mwenzako. Yani Ingekua Ni Miaka Ya 1950s Hapo Angetafutwa Hitman Kama Bugsy Siegel Au Vincent "The Chin " Gigante Akashughulikie Huyo Mjamaa. Yani Anatembea Na Mwanamke Wa Don??
The Crime Boss,The Boss At The Top Of The Mafia Group. Ila Kwa Kua Sisi Sio Mafia Na Hatupo Kwa Ajili Ya Kuvunja Sheria Basi Piga Chini Uyo Demu. Shenzi Kabisa. Yani Enzi Izo Demu Wa Don Lucchese From The Lucchese Crime Family Ndo Agongwe Na Mburula Kama Uyo Jamaa,Heheheheheh Yani Adhabu Yake Siipatii Picha Kabisaaaa.

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu usemacho ni sahihi ndiomana sijataka hata kumuonesha hizi proof ili asije akanitia hasira zaidi, lakini nitahakikisha within these two days anapack her things n off she goes out of my home
Daaah kumbe tayari mlikuwa mnaishi wote kabisa kama mke na mume,dah inauma sana
 
Jina Lako Limekaa Kimafia Na KiNdrang'hetta KiCosa Nostra. Don Lucchesse,Katika Sheria Kumi Za Mafia Ni Kutotembea Na Mwanamke Wa Mobster Mwenzako. Yani Ingekua Ni Miaka Ya 1950s Hapo Angetafutwa Hitman Kama Bugsy Siegel Au Vincent "The Chin " Gigante Akashughulikie Huyo Mjamaa. Yani Anatembea Na Mwanamke Wa Don??
The Crime Boss,The Boss At The Top Of The Mafia Group. Ila Kwa Kua Sisi Sio Mafia Na Hatupo Kwa Ajili Ya Kuvunja Sheria Basi Piga Chini Uyo Demu. Shenzi Kabisa. Yani Enzi Izo Demu Wa Don Lucchese From The Lucchese Crime Family Ndo Agongwe Na Mburula Kama Uyo Jamaa,Heheheheheh Yani Adhabu Yake Siipatii Picha Kabisaaaa.

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Kabisa mkuu, the fingerless lucchese
 
huyo kuna vitu anavikosa kwako ikiwa ni pamoja na mgegedo wa nguvu ndo maana anakucheat, unajua hawa wanawake bwana sijui ni wa namna gani, wew unaweza kudhani unamridhisha katika mambo yote kumbe hamna,sasa kama unamhudumia vizuri kabisa kifedha lazima atafute mgegedo kwingine.
Ushauri wangu
Kwa vile ni mchumba, na kama hamjatengeneza vitu vingi vya kushare na yeye kwa maana ya kuwekeza nakushauri piga chini kaka.
Wanawake wa kufaa kuoa bado wapo, believe me....Endelea kumuomba Mungu.
Kuhusu hizo msg
Tafuta nafasi uje kumwonyesha tu,usijali ataumia kiasi gani,piga chini
 
Unaumia sana,una maumivu ambayo yanakufanya ufikirie mbalii sana,unafikiria labda wewe una tatizo au labda humkidhi haja zake,au kuna something ana kimiss kwako,bt kiukwel unaumia,,pole sana..

Sasa wewe mwenyewe hujui cha kufanya bt je ushauri upi haswa unaotaka kutoka hapa jukwaani??? Je unataka kusikia unachokiwaza wewe kuhusu kumwacha au unataka tukupe ushauri kwa jinsi tunavyoona wanajamvi?

Kama mm ingekua ni wewe,kwanza ningeumia kias ila sio sana,na ningemshukur Mungu kwa kinifunulia nisilokua najua,na pia ningejitahid kukaa kimya kwa siku nzima bila kuchukua uamuz wwte,then natafuta muda mzr wa kupanga apointment ya jamaa,demu wako na km jamaa ana mke unamwambia aje nae kabisa,na ndugu yako anaemfaham shemej yke vzr,,mnakaa mnaandaa chakula na vinywaji,mnapoanza kula tu,unatoa ushahid wte hadharan,halaf unawaambia kila kitu,nimewasamehen na kuanzia leo we mwanamke mapenz yetu yamefika mwsho,na wewe brother nmekusamehe ila mungu atanilipia,then unasema haya tuendelee kula. Ila hakikisha kwamba unaacha kwel kwel,na uache kwa tabasam bila kuonyesha chuki,then baada ya mwez uone km hawajakonda...na kitakachowakuta wataomba pooo
 
Back
Top Bottom