Maumivu ya moyo....!!!

Helw wakuu,
Habari za Eid Pili? Kwangu si njema sana baada ya kukutana na something I never expected, its a big blow to me.
Kwa kifupi wakuu, nina mpenz wangu ambaye napendan nae sana, sijawahi kumkosea wala kumkwaza with anything and I always considered our r/ship a healthy one. Hakuna matatizo yeyote kati yetu hata financial issues kiasi flan tumesimama. She is someone I was willing to take a larget step in life (marrying her) sometimes in next year after i've attained.some personal goals I have. Sasa leo kama bahati alinipatia simu yake nimrekebishie whatsapp ilikua inasumbua kuconekt bila kukumbuka ameacha some traces behind. Mimi wakati naifanyia setting simu, curiosity yangu ikanituma niende inbox kwa sms za kawaida... bandugu this is what I found ikabidi nipige na picha kwa simu yangu....View attachment 531363View attachment 531364View attachment 531365
Too bad huyu jamaa anaefanya nae upuuzi ni someone I trust and took as a brother since we were growing up mpaka sasa.tumekua watu wazima. Sijamwambia chochote mpaka sasa am still thinking ni adhabu gani niitoe au uamuzi gani niuchukue kutokana na ufedhuli huu niliofanyiwa. Ngoja nikapate a drink or two kwanza aisee nikae sawa, inauma wakuu acha tuu.
Hii unawza ukapiga kreti la bia hata usiskie zinaenda wapi mana akili inakua kama inaruka
 
Hizo ng'ombe zinajuana vizuri mno. Halafu haiwezekani demu anachat kwa kujiamini namna hiyo. Hao walishakua na mazoea ya karibu kitambo mnoo. Cha msingi hapo chukua uamuzi mgumu. Ila mimi hizo ng'mbe zingenilaza cello kwa wiki kadhaa. Nikitoka naanza maisha yangu
Hahahah eti ngombe
 
Kaka polee saana..ila ulifanya kosa kumuamini rafiki yako hadi kwa manzi wako..

[HASHTAG]#kaeni[/HASHTAG] chini muongee na mjue wapi mlikosea..!!
 
huyo kuna vitu anavikosa kwako ikiwa ni pamoja na mgegedo wa nguvu ndo maana anakucheat, unajua hawa wanawake bwana sijui ni wa namna gani, wew unaweza kudhani unamridhisha katika mambo yote kumbe hamna,sasa kama unamhudumia vizuri kabisa kifedha lazima atafute mgegedo kwingine.
Ushauri wangu
Kwa vile ni mchumba, na kama hamjatengeneza vitu vingi vya kushare na yeye kwa maana ya kuwekeza nakushauri piga chini kaka.
Wanawake wa kufaa kuoa bado wapo, believe me....Endelea kumuomba Mungu.
Kuhusu hizo msg
Tafuta nafasi uje kumwonyesha tu,usijali ataumia kiasi gani,piga chini
True that mkuu
 
Unaumia sana,una maumivu ambayo yanakufanya ufikirie mbalii sana,unafikiria labda wewe una tatizo au labda humkidhi haja zake,au kuna something ana kimiss kwako,bt kiukwel unaumia,,pole sana..

Sasa wewe mwenyewe hujui cha kufanya bt je ushauri upi haswa unaotaka kutoka hapa jukwaani??? Je unataka kusikia unachokiwaza wewe kuhusu kumwacha au unataka tukupe ushauri kwa jinsi tunavyoona wanajamvi?

Kama mm ingekua ni wewe,kwanza ningeumia kias ila sio sana,na ningemshukur Mungu kwa kinifunulia nisilokua najua,na pia ningejitahid kukaa kimya kwa siku nzima bila kuchukua uamuz wwte,then natafuta muda mzr wa kupanga apointment ya jamaa,demu wako na km jamaa ana mke unamwambia aje nae kabisa,na ndugu yako anaemfaham shemej yke vzr,,mnakaa mnaandaa chakula na vinywaji,mnapoanza kula tu,unatoa ushahid wte hadharan,halaf unawaambia kila kitu,nimewasamehen na kuanzia leo we mwanamke mapenz yetu yamefika mwsho,na wewe brother nmekusamehe ila mungu atanilipia,then unasema haya tuendelee kula. Ila hakikisha kwamba unaacha kwel kwel,na uache kwa tabasam bila kuonyesha chuki,then baada ya mwez uone km hawajakonda...na kitakachowakuta wataomba pooo
Nimeupokea kwa mikono miwili ushauri wako mkuu
 
Hizo ng'ombe zinajuana vizuri mno. Halafu haiwezekani demu anachat kwa kujiamini namna hiyo. Hao walishakua na mazoea ya karibu kitambo mnoo. Cha msingi hapo chukua uamuzi mgumu. Ila mimi hizo ng'mbe zingenilaza cello kwa wiki kadhaa. Nikitoka naanza maisha yangu
Nikwel mkuu, natupia hapa bia kadhaa kwanza nirelax
 
Mmmmh hiyo chattings zao zimenisisimua sana na kuendelea kuamini mwananmke sio kiumbe cha mchezo,....yaani yeye ndo anatoa meeting point !!! Yupo free utadhani hayupo kwenye uhusiano ....nyie wanawake nyieeee!! try to be fair jamani daah

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
Hilo ndio swala limeniuma sababu that day alinipa excuse kwamba anaenda kwa dada yake mmoja ambaye anaumwa anaenda kumwangalia nikamwambia nimptie huko alipo twende wote ila akakataa akasema nisijali
 
kwan
Helw wakuu,
Habari za Eid Pili? Kwangu si njema sana baada ya kukutana na something I never expected, its a big blow to me.
Kwa kifupi wakuu, nina mpenz wangu ambaye napendan nae sana, sijawahi kumkosea wala kumkwaza with anything and I always considered our r/ship a healthy one. Hakuna matatizo yeyote kati yetu hata financial issues kiasi flan tumesimama. She is someone I was willing to take a larget step in life (marrying her) sometimes in next year after i've attained.some personal goals I have. Sasa leo kama bahati alinipatia simu yake nimrekebishie whatsapp ilikua inasumbua kuconekt bila kukumbuka ameacha some traces behind. Mimi wakati naifanyia setting simu, curiosity yangu ikanituma niende inbox kwa sms za kawaida... bandugu this is what I found ikabidi nipige na picha kwa simu yangu....View attachment 531363View attachment 531364View attachment 531365
Too bad huyu jamaa anaefanya nae upuuzi ni someone I trust and took as a brother since we were growing up mpaka sasa.tumekua watu wazima. Sijamwambia chochote mpaka sasa am still thinking ni adhabu gani niitoe au uamuzi gani niuchukue kutokana na ufedhuli huu niliofanyiwa. Ngoja nikapate a drink or two kwanza aisee nikae sawa, inauma wakuu acha tuu.

kwanza nikupe pole sana mkuu kwa yaliyokukuta,this is one of the ways we learn to be men.you gotta be strong,take everything with moderation,take things a little bit calmer.Angekuwa ni mke ningeshauri vinginevyo lakini kwa kuwa ni girl friend tu na siyo hata mchumba uliyemtolea mahari au kujitambullisha kwao,kaa nae chini,mwonyeshe ulichokiona then kwa upole kabisa mwambie unadhan "perfect match" yake ni huyo jamaa yake na siyo wewe.Usikubali kumsikiliza sana mwanamke,unaweza kupoteza misimamo yako.Mtakie maisha mema.Sioni kama kuna sababu ya kumuuliza huyo jamaa japokuwa ni kama ndugu yako,mdada mwenyewe atafikisha ujumbe kwa huyo ndugu yako.

Pia jipe muda,sasa hivi unaweza ukajiona huwezi kuimudu hali uliyonayo,unaweza hata kazini ukashindwa kwenda,hata kula ikawa shida kwa kuwa utakuwa unajiuliza kwanini kakutenda hivi,usiogope bro,take time,as time goes by,you will be ok.You will gain your usual strength.
 
Back
Top Bottom