Maumivu ya moyo....!!!

Maumivu ya moyo....!!!

Ndomana mim nkianzaga mahusiano na mtu,swala la simu hua sio privacy ya mtu,yaan mda wowote napoitaka sim naichkua,hataki na akwende,.najua how i play my cards,ila ndo hvyo nayeye akitaka yangu ruksa,..mambo ya your fon is urs n mine mine,hakuna,hutak sepa ukose meng,..nashkuru hua wananielewa wanakua wapole
 
Kaka polee saana..ila ulifanya kosa kumuamini rafiki yako hadi kwa manzi wako..

[HASHTAG]#kaeni[/HASHTAG] chini muongee na mjue wapi mlikosea..!!
Duuh hapa hamna maongez kaka acha nibwage manyanga. Kenny rogers aliimba you dont have to fight to be a man, bwege ni mimi let me live with it
 
Pole sana. Siku nyingine usikague simu ya manzi wako utakufa kwa stress siku si zako. Hapa kuna options mbili. Kwanza, unaweza kumwambia umefahamu kuwa si mwaminifu. So, achague kuwa nawe ama na huyo jamaa (kumbuka hutopata mwanamke mkamilifu 100%)

Ama, kama unahisi moyo wako hauwezi kupona jeraha hili kirahisi, piga chini. Utaumia sana. Utasahau siku moja. Na, maisha yako yataendelea tu kama kawa.
 
kwan


kwanza nikupe pole sana mkuu kwa yaliyokukuta,this is one of the ways we learn to be men.you gotta be strong,take everything with moderation,take things a little bit calmer.Angekuwa ni mke ningeshauri vinginevyo lakini kwa kuwa ni girl friend tu na siyo hata mchumba uliyemtolea mahari au kujitambullisha kwao,kaa nae chini,mwonyeshe ulichokiona then kwa upole kabisa mwambie unadhan "perfect match" yake ni huyo jamaa yake na siyo wewe.Usikubali kumsikiliza sana mwanamke,unaweza kupoteza misimamo yako.Mtakie maisha mema.Sioni kama kuna sababu ya kumuuliza huyo jamaa japokuwa ni kama ndugu yako,mdada mwenyewe atafikisha ujumbe kwa huyo ndugu yako.

Pia jipe muda,sasa hivi unaweza ukajiona huwezi kuimudu hali uliyonayo,unaweza hata kazini ukashindwa kwenda,hata kula ikawa shida kwa kuwa utakuwa unajiuliza kwanini kakutenda hivi,usiogope bro,take time,as time goes by,you will be ok.You will gain your usual strength.
Thank u mkuu, wise advice
 
Mfowadie hizo SMS , kisha futa namba yake na wala usipokee wala kujibu SMS zake , yaani ukishamtumia ndio iwe mawasiliano yenu ya mwisho, over
Aanaishi naye sasa atamforwadia wapi wakati wako nyumba moja chumba kimoja Mkuu....
 
Mfowadie hizo SMS , kisha futa namba yake na wala usipokee wala kujibu SMS zake , yaani ukishamtumia ndio iwe mawasiliano yenu ya mwisho, over
Aanaishi naye sasa atamforwadia wapi wakati wako nyumba moja chumba kimoja Mkuu....
 
Mfowadie hizo SMS , kisha futa namba yake na wala usipokee wala kujibu SMS zake , yaani ukishamtumia ndio iwe mawasiliano yenu ya mwisho, over
Hii si option nzuri...kwa maana anaishi naye..amwambie apack vitu vyake vyote then amforwadie msg zote..na amwambie no comment na hata rudi nyuma
 
Back
Top Bottom