Maumivu ya moyo....!!!

Maumivu ya moyo....!!!

Kumegewa kunauma jamani,unafikiria zile acrobatic zinazofanywa na wewe kumbe zinachezwa kwingine..mbaya msg unakuta anasimulia kitu ambacho wewe hujawahi kupewa mwenzio anaomba tena!

Simu ya mwenzio ishia kwenye kuangalia muda na kwenye dial pad basi kwengine kujitafutia heart ambush tu!
 
2f762411ff3ac502c08f029a569a5c1b.jpg

hii ni india mkuu huku ndipo mapenzi yalipo sio bongo mapenzi ya kweli yalikwisha kwa wazazi we2 tu lakini kwa rika hili hakuna ki2
HAPO INASEMEKANA KIWA MSICHANA ALITAKIWA KUOZESHWA KWA MPENZI AMBAYE YY HAMPENDI NA ALIKUWA NA MPENZI WAKE MWENGINE AMBAYE NDO HUYO WALIYEJITUNDIKA HAPO
 
When it comes for the relationship hope for the best, expect for the worst.
 
Pole sana!!
Mwoneshe ulichokiona na
achana nae bila kisasi chochote utapata utakae kufariji tu.
 
Ukimegewa demu wako tafta mnyonge nawe mmegee/
Haipunguzi maumivu inarejesha hadhi ya kiumee/
[HASHTAG]#binamuu[/HASHTAG]
 
Please usijeruhusu hasira zikupe suruhisho la maumivu yako ninaongea hivi from niliyoyapitia take heart wacha hasira ziishe kama waweza msamehe mdamehe kama huwezi muache kwa amani
 
Mhhh labda kama unajisemea weye au hujawahi kutana na wadada walotendwa unaweeza jiuliza hivi wanawake wanamoyo au mawe how amevumilia hili
Nimekukubalia kipenzi lkn point ni kwamba ninyi mnazidi
 
kama ni kosa la mwanzo msamee tu ht ye binadam!anaweza akaelewa na asirudie tena
 
Acha ubwege samehe wewe.! Ukimuacha huyo uende kwa nani?

Kuna wanaume wenzako wameletewa mpaka watoto na wametulia.

Hayo mapito msamehe ila mkanye asirudie tena..

Ila nakushauli jifunze jinsi ya kushughulikia papa.. harafu fanya mazoezi sana, kula msokoto mmoja, mpe dude ruf style za kiuni, kisheteni, kifirauni kama vipi msugue kifurushi kabisa cha mia mbili harafu kuwa na kauli nzuri.
 
Back
Top Bottom