BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,919
Pole Sana jibu tafuta mnyonge wako utafune upunguze hasira,...pombe zitakupa stress,.. Kuhusu uyo manzi achana nae endelea na Maisha,...
huu ndio uamuzi wa maana in deed.Asante mkuu, kiukweli inauma sana mkuu. Nahisi uamuzi wa maana nikuachana nae aendelee tu na.huyo jamaa
Vip wewe mkuu hukuwa na michepuko?Asante ndugu
....Ondoa neno "nahisi" make decision now kabla hawajawa mke, huyo hafai hata kidogo. Assume ndo mmeshaoana na mna watoto ndo ukakuta hizo textsAsante mkuu, kiukweli inauma sana mkuu. Nahisi uamuzi wa maana nikuachana nae aendelee tu na.huyo jamaa
....No more feelings hapoMfanye sana leo halafu ukimaliza mwambie wewe na yeye basi na umuonyeshe kila ulichokiona halafu umtakie maisha mema. Ile never trust Kiumbe kinachoitwa Mwanamke
....One lesson kwa nyie ambao mnachumbia or still searching usiingie mzima mzima na kuonyesha mapenzi 100 percent, weka akiba kidogo itakusaidia baadae.I was a fool thinking that she loved me the same as I do to her
mwana pole sana sana sana!!Helw wakuu,
Habari za Eid Pili? Kwangu si njema sana baada ya kukutana na something I never expected, its a big blow to me.
Kwa kifupi wakuu, nina mpenz wangu ambaye napendan nae sana, sijawahi kumkosea wala kumkwaza with anything and I always considered our r/ship a healthy one. Hakuna matatizo yeyote kati yetu hata financial issues kiasi flan tumesimama. She is someone I was willing to take a larget step in life (marrying her) sometimes in next year after i've attained.some personal goals I have. Sasa leo kama bahati alinipatia simu yake nimrekebishie whatsapp ilikua inasumbua kuconekt bila kukumbuka ameacha some traces behind. Mimi wakati naifanyia setting simu, curiosity yangu ikanituma niende inbox kwa sms za kawaida... bandugu this is what I found ikabidi nipige na picha kwa simu yangu....View attachment 531363View attachment 531364View attachment 531365
Too bad huyu jamaa anaefanya nae upuuzi ni someone I trust and took as a brother since we were growing up mpaka sasa.tumekua watu wazima. Sijamwambia chochote mpaka sasa am still thinking ni adhabu gani niitoe au uamuzi gani niuchukue kutokana na ufedhuli huu niliofanyiwa. Ngoja nikapate a drink or two kwanza aisee nikae sawa, inauma wakuu acha tuu.
....Hahahaaaa umenikumbusha mbali, hii itakuwa kwenye movies nowadays mkuu siyo?Jina Lako Limekaa Kimafia Na KiNdrang'hetta KiCosa Nostra. Don Lucchesse,Katika Sheria Kumi Za Mafia Ni Kutotembea Na Mwanamke Wa Mobster Mwenzako. Yani Ingekua Ni Miaka Ya 1950s Hapo Angetafutwa Hitman Kama Bugsy Siegel Au Vincent "The Chin " Gigante Akashughulikie Huyo Mjamaa. Yani Anatembea Na Mwanamke Wa Don??
The Crime Boss,The Boss At The Top Of The Mafia Group. Ila Kwa Kua Sisi Sio Mafia Na Hatupo Kwa Ajili Ya Kuvunja Sheria Basi Piga Chini Uyo Demu. Shenzi Kabisa. Yani Enzi Izo Demu Wa Don Lucchese From The Lucchese Crime Family Ndo Agongwe Na Mburula Kama Uyo Jamaa,Heheheheheh Yani Adhabu Yake Siipatii Picha Kabisaaaa.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Umeongea kwa hisia sana hadi nafsi imeguswaKweli nimeamini kuna wanawake wanahangaika sana mwisho watakosa vyote,wakati wengine tunaombà Mungu tupate mwanaume anayejielewa kama donlucchese.
Pole ndugu,hapo ni kumuacha aishi maisha yake,bado hajaona umuhimu wako.
Hili tukio pia ni darasa kwako kutokuamini kila mtu,hata rafiki zako.