Mauaji ya watu 3 Ilala - Dar

kwakweli hapo patam i real nawachukia hawa wadada mbayaaaaaaaaa na penyewe cjawahi penda .......mi mgegedo kwa ku go front.
 
wewe hivi umesoma kilichoandikwa au umekurupuka toa usingizini..kawatwangwa wote sasa watapetea wapi au ulikuwa unamaanisha watapetea kuzimu

Nafikiri hata wewe umekurupuka kidogo mkuu habari ni kuwa jamaa na msichana wake wamepona hivi sasa wapo MOI wanapewa matibabu daraja la kwanza hivyo wamepona ingawa cha moto wamekiona. Na kama wanatabia hizi ni wazi watamwagana tu

Soma hapa : Mauaji Dar - Kitaifa - mwananchi.co.tz
 
Maamuzi mengine si sahihi lakini kwa hili Gabriel ameumizwa sana (nadhan akili yake iliruka) ..kama ishawahi kukutokea utakuwa unajua maumivu yake..Apumzike kwa Aman
 

mia mkuu,sijui vijana wetu wanafikiri nini tu,hivi wanadhani risasi ndo itawafanya wapendwe?ukisha kufa una faida gani,si unabaki mzoga tu huna thamani hata ya kushikwa kwa mikono,inakuwa mwendo wa gloves tu.lazima watambue kifo sio kupumzika wala kuepukana na maudhi.kuna maisha pia baada ya kifo."dead are not dead,they are the living dead"
 
Ushauri kwa serikali yetu hii sikivu.......kila raia wa Tanzania anayemiliki silaha ya moto apimwe akili marambi kwa mwaka yaani Januari na Julai ili kutambua kama anastahili kuendelewa kuaminiwa kukaa na hicho chombo. Zoezi hili lisibagua raia kwa vyeo au uwezo wao wa kifedha
 
Huu mimi huwa nauita ufala ulitukuka..! Eti unamsomesha demu ili baadaye uje kumuoa? Kwa nini usimuoe ndo ukamsomesha? Mimi demu wangu nilimdunga sindano ya mimba kwanza, kanizalia kidume ndo nikamusomesha. Baada tu ya masomo yake ya masters nikamdunga mimba ya babe gal..! Sasa namsomesha PHD..! Hapo hata akipata kidume kingine poa tu..! Nina uhakika atalea watoto wake..!
 
Umenena yaani kwa sasa ishi na demu kwa akili sana maana wao wanajifanya wajanja nendakichwakichwa uone yaani umendika point
 
Kwa mujibu wa magazeti ya Leo hii stori inaendana na ya U4 kwa kiasi kikubwa sana,kama mtoa mada alivyodokeza,mtu asome Mwananchi au Habari Leo atathibitisha hilo,ni kwamba hata Mama wa Bint alimtetea bintiye,inaonesha bint alisema ana safar ya Kilimanjaro,jamaa baada ya kumpigia simu mama wa Bint mama nae akasapoti,so wamama nao wanapaswa kuwa makini,inaonesha mama wa bint anaujua uhusiano wa Christine na Munisi vizuri tu ila sasa tamaa nao wamama zimewashika,huenda mchumba mpya hakuyajua hayo,na kama hakuyajua hayo(huyo raia wa kenya) kuna uwezekano nae akitoka hospitali atabwaga manyanga pia
 
Kiukweli na sisi wanaume tumezidi kuwekeza nguvu na pesa nyingi sana kwa mwanamke ambaye ni mchumba tu na pengine kidume una mke halali alafu unatumia pesa kibao kisa nyapu za nje ukigeukwa unapagawa hasa mapesa uliyotupa.

Kuna bint alinambia kama unataka kuwa na mimi,nipangie chuma na uwe unanihudumia as Mchumba kwa mahitaj yote muhimu,na hapo ndipo nilipoamua hata kuifuta namba yake,
kirahirahisi tu hivi nikupangie chumba n then.....
 
wewe hivi umesoma kilichoandikwa au umekurupuka toa usingizini..kawatwangwa wote sasa watapetea wapi au ulikuwa unamaanisha watapetea kuzimu

mwanamke hajafa kajeruhiwa makalio cjui paja ila mpaka sasa kova hajatoa tamko km yupo hai au la...
 
Akiamua kuchomoa wakati kuna ndoa inakua mbaya zaidi.
Hii mambo ya kutumia hisia za watu kwa manufaa binafsi kisha kuja kukataa ina madhara yasiyopimika.
Akiamua kuchomoa wakati kuna ndoa inakua mbaya zaidi.
Hii mambo ya kutumia hisia za watu kwa manufaa binafsi kisha kuja kukataa ina madhara yasiyopimika.
Very well said RR,yaani King'asti maumivu ya hii kitu ni mabya kuliko unvyofikiria ukishaoa,kumbuka umeshagharamia yote hayo,mmeshazaa watoto halafu mtu anakuja kuleta kashfa na dharau,mbaya zaidi ukute kapata kazi inayomlipa vizuri kukupita wewe,mbona utajuta kuzaliwa,jamaa yangu mmoja aliambiwa,'kwani nilikutuma unisomeshe'!
 
Duh.......!!!
 
Mzee wangu alishanambia USIMWAMINI MWANAMKE HATA KWA DAKIKA MOJA ...huwa inanisaidia sana :frusty:
 
Kinachoniuma tu ni kwamba hawa akina Munisi sijui Mushi hawana shabaha kabisa, yule wa juzi kati kamkosakosa huyu tena wa leo kamkosa, matokeo yake wanatangulia wanatuachia mademu tunaendelea nae. Nawashauri wachaga next time mtumie mabomu kabisa, yaani mnamalizana faster sio kuanza kurusha risasi...uoga tu huo.
 
Kuna bint alinambia kama unataka kuwa na mimi,nipangie chuma na uwe unanihudumia as Mchumba kwa mahitaj yote muhimu,na hapo ndipo nilipoamua hata kuifuta namba yake,
kirahirahisi tu hivi nikupangie chumba n then.....


Then ungeambiwa usiende bila taarifa!!!!!
 
kuna bint alinambia kama unataka kuwa na mimi,nipangie chuma na uwe unanihudumia as mchumba kwa mahitaj yote muhimu,na hapo ndipo nilipoamua hata kuifuta namba yake,
kirahirahisi tu hivi nikupangie chumba n then.....

ahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaa_tuko wengi,...mimi kapo kabinti kanasema eti nikanunue music system,..nimekatema kanalia tena,..sema mimi mwenyewe sura ya kokoto wala sijali kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…