Hili ndio kosa kubwa walilo lifanya.Kwenye katiba Yao waliondoa adhabu ya kifo baada ya Mandela kuwa raisi wao,Maisha wakati wa Ubaguzi wa rangi ni kuwa walikuwa wanauwana sana wenyewe kwa wenyewe...na mpaka Leo Askari police kuuwawa na raia ni kitu Cha kawaida (asakari akimzinguwa mtuhumiwa tu basi Maisha yake yapo mashakani).