Mauaji Afrika Kusini: Amuua mwenzake, amkata Kichwa na kula viungo vya ndani sehemu ya tumbo

Inaonekana serikali ya South ina wadekeza wahalifu.

Nasikia huko South, kesi ya mauaji ina mdhamana, na kiwango cha pesa ya udhamini ni ndogo sana, kwanini watu wasiuane ?

Kuna matatizo huwa rahisi sana kuyaondoa, kama haya ya mauaji na watu kuuana. Ni kwamba akiua mtu akapatikana na hatia na yeye anauliwa hakuna stori za mawakili wala hiki Wala kile.
 
Kwenye katiba Yao waliondoa adhabu ya kifo baada ya Mandela kuwa raisi wao,Maisha wakati wa Ubaguzi wa rangi ni kuwa walikuwa wanauwana sana wenyewe kwa wenyewe...na mpaka Leo Askari police kuuwawa na raia ni kitu Cha kawaida (asakari akimzinguwa mtuhumiwa tu basi Maisha yake yapo mashakani).
 
A. Wanajiendekeza
B. Serikali imepuuza kutokana na matukio ya kujirudia
1.Wamekata tamaa na Hali Dunia ya Maisha na tofauti kubwa kati ya masikini na Matajiri.
2.Serikali ya ANC aipo makini...So Police wanafanya kazi katika mazingira magumu na wahalifu kuuza police au shahidi wa kesi yake ni jambo la kawaida
Katiba Yao ilifuta adhabu y kunyonga,Na dhamana kwa kesi ya kuuwa zipo Waziri (mtu anaweza hudhuria MAZISHI ya aliemuuwa😭)
 
Back
Top Bottom