Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
Hellow wadau mbona ITV wamestop kutujuza kinachojili Igunga??? Mi nafikiri waTZ wapo interested zaid kujua kinachoendelea huko Igunga kuliko vipindi wanavoendelea navyo sasa!!!
 
wadau hapa mm sielewi kitu kwani matokeo ya kwenya kata yamesha tolewa mbona mnanikatisha tamaa mnataka nikalale au
 
Thanks kwa updates,lkn CHADEMA wanaonekana kufanya vema karibu vituo vingi! Lkn kuna matokeo ya kata moja CCM inaonyesha kuongoza zaidi ya kura 1000, CDM 500..!
 
hv zoezi la kuvuana magamba linaendelea au???
 
There are currently 1595 users browsing this thread. (386 members and 1209 guests)
 
Nikijumlisha kwa haraka hayo matokeo tuliyowekewa hapo juu

CHADEMA - 4692

CCM- 5975
 
CCM hali ni ngumu sana, mkurugenzi ameambiwa kama anataka aendelee na kazi ni lazima atangaze ccm kushinda!
Makada wa ccm waliopewa pesa kuwapa mawakala wa chadema ili wabadilishe matokeo wamebebwa kwenye gari za polisi, wakuu kuweni makini na hilo!
 
Hellow wadau mbona ITV wamestop kutujuza kinachojili Igunga??? Mi nafikiri waTZ wapo interested zaid kujua kinachoendelea huko Igunga kuliko vipindi wanavoendelea navyo sasa!!!

Sa ndo umejuaje wametishiwa?Mbona hueleweki ka unatoa taarifa ama unauliza swali au kama ni tetesi ungeainisha kabisa!
 
Tupo pamoja mkuu, usikatae tamaa....magamba tumewazoea! ukiona mtu mzima bado anawafagilia magamba jua tu kuna namna anafaidika kupitia jasho la wanyonge wengi.

mh,kuna watu siwaoni saivi humu hadi nakata tamaa,...
ngoja nisepe tu
 
hadi sasa hali ikoje maana tulioko mbali tunahamu ya kupata matokeo
 
tupeni updates jamani sisi huku mikoani tuanze kusherehekea ushindi mkubwa wa chadema
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom