Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
ITV LIVE... Mtagazaji akiri Novat Makunga atakuwa amepewa matokeo ambayo si sahihi,,,,,,sa yale magape aliyoyatoa yatakuwa na mushkeli
 
Kwa matokeo ya Igunga inadhihilisha CUF bara imekufa, inabidi wapeleke helkopta yao pwani na visiwani. NDOA imewaponza.
 
habari za uhakika ni kuwa kwa matokeo ya jumla ccm wapo mbele kwa kura zaidi ya elfu mbili na kitu.source waliopo jikoni.
 
Kwani lazima wote tuwe chama cha magwanda ndio tuonekane wajanja??ni demokrasia gani mnayoililia kama mtatulazimisha wote tuwe magwanda?JF ni ya wote, si mangwanda tu, kila mtu ana uhuru wake mkuu. Au una maumoivu ya kushindwa Igunga???

hiyo ni demokrasia au ni utumwa wa fikra
 
CCM leo hawatoki, kona zote tumebana. makamanda wote mliopo igunga i salute you!!
 
Hapa sisubiri msimamizi wa uchaguzi kwa hiyo natangaza kuwa
  • DP
  • UPDP
  • CUF
  • SAUT - Kwa pamoja hawatashinda Uchaguzi wa Igunga.
 
ITV: Msimamizi wa uchaguzi aliahidi kutoa matokeo kuanzia saa nne usiku. Mpaka sasa ni kata moja tu iliyopata matokeo.
 
ITV: Matokeo haiwezekani, Kata 25 kati ya kata 26 matokeo hayajulikani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom