Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
chama cha magamba watashnda huu uchaguzi kwa sababu
1. ujinga bado unatawala tanzania
2.wanyamwezi si wepesi wa mabadiliko 'nduhu tabu'
3.dola bado wanaitumia vzuri
CHADEMA MARA HII MTASHINDWA KIHALALI
NALALA KESHO SAA KUMI NA MBILI NITAAMKA NA MMBUNGE TAYARI AMESHATANGAZWA

kweli leo umenidhirishia kuwa una akili
 
Kwa hesabu ya haraka haraka jumla ya waliopiga kura Igunga haitazidi 20,000, na NEC ilitangaza wapiga kura 171,0000 jimboni humo. Hawa 150,000 wako wapi? NEC mnatia aibu sana mpaka mtu anataka kutapika!!! Mnajaza tu majina hewa na sababu ni kuyaingiza katika vituo hewa. Iko siku!!!!
 
Kwa matokeo yaliyobandikwa hapo juu, naanza kuwaonea huruma magwanda.
 
Yaani kauchaguzi ka jimbo moja tu Magwanda mimacho imewatooooka
 
Kwa hesabu ya haraka haraka jumla ya waliopiga kura Igunga haitazidi 20,000, na NEC ilitangaza wapiga kura 171,0000 jimboni humo. Hawa 150,000 wako wapi? NEC mnatia aibu sana mpaka mtu anataka kutapika!!! Mnajaza tu majina hewa na sababu ni kuyaingiza katika vituo hewa. Iko siku!!!!

Hao, wameanza. Nangoja msuse, mnanchekesha!
 
Presa ina panda na kusuka kwa kiwewe! Hofu ni huo mchakachuo! maana wale jamaa hawaaminiki! hutakiwi kupepesa macho. Mawakala waweke cellotape kwenye macho wasisinzie!
Hii inaweza kuwa kweli..
 
Yeah hata mie tofauti ya kura inapotokea ccm kaongoza inaniogofya ni kubwa mno! ndo itakayowapa ushindi itakapokuja majumuisho ya kura za vituo vyote!
 
Hivi kwa kauli yao hii ccm kunafuraha isiyo na mwisho una maana gani?
nchi imejaa umaskini afu unaadika porojo au ww ni mmoja wao walionufaika na sakata la dowans. madini yanachukuliwa tumebakiwa na mashimo kwa sababu ya siasa na uongozi mmbovu wa CCM afu unasema kuna furaha isiyo na mwisho, nenda muhu2 kina mama hawana vitanda wanazalia chini,, hospitali hazina madawa kwa sababu ya uzembe na ujinga wa magamba, tungetumia dhahabu yetu tuna uwezo mkubwa wa kila mtanzania kupata gawio hata la laki 2 kwa mwezi kama tungekuwa serious na rasilimali zetu, chukulia nchi kama norway wana mafuta wala sio mengi lkn wanavoyatumia kila mkazi mtoto na watu wazima wasio na kazi wanapewa mahitaji yao kama kronner 8000 kwa mwezi sawa na mil 2 na laki 4 kwa mwezi kwann wao waweze na sisi tushindwe kama sio utawala mbovu?? hivi unawazia future ya wanao? unawapenda watannzanie wenzio? nahisi ww ni malaria sugu au mwita unatumia majina tofauti humu.kama ww ni kijana na umeelimika acha kuandika porojo kama huu. cna chama lakini sishabikii siasa uchwara.
Poleee..
Rudi tu CCM..penye furaha isiyo na mwisho
 
mh,kuna watu siwaoni saivi humu hadi nakata tamaa,...
ngoja nisepe tu

Wamekimbia. Wamekuwa kama washabiki wa Arsenal ilipofungwa 8 na Man U. Maana hapa JF karibu majukwaa yote ni CDM na Igunga. Bora uchaguzi upite tujadili ishues nyingine za maana.
 
Dah, which is which hapa?.., kaazi kwelikweli....
Kuna mambo mawili hapo, kuna uchaguzi wa madiwani elsewhere kwenye kata zaid ya 20 na kuna uchaguzi wa Mbunge Igunga so dont get confused kiongozi.
 
Usishangae mwisho wa cku ukaambiwa hawa mafisadi wanaongoza: mabigwa wa kuchakachua kama walivyofanya kwa rais halalali wa taifa ta Tanzania: kengele imeshagongwa all people are wake hawahitaji tena sera zilizopitwa na wakati:vijana wazee lets all stand up tuikomboe inchi yetu:lazima tupeleke wabunge watakao sema NOOOOO sio ruber stamp: wataleta miswada ya kifisadi bungeni na kwa uroho uleule utasikia mama akiwahoji wanaosema kubali waseme ndio utasikia ndiooooooooo na hata kama wale waliosema siooooooo ikiwa wameshinda utasikia mama akisema waliosema ndiooooooooooooooooo wameshinda na hao ndio CCM chukua chako mapema
 
Asante kwa taarifa tunasubiri matokeo rasmi ila dalili za ccm sikuzake zinahesabika iko wazi kwa sasa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom