Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
Hii ndio gharama ya demokrasia na hakuna njia ya mkato, wananchi waendelee kupewa fursa ya kuwachagua viongozi wao, tuwaunge mkono wananchi kwa lolote watakaloliamua ata kama watakuwa wamewachagua Wabunge vilaza kama Maji Marefu wa CCM au Sugu wa CDM, ni uamuzi wao.

ila idadi ya wapiga kura itaendelea KUPUNGUA
 
Wamenikatia umeme lakini nadhani ni tatizo kwenye mita, ngoja niangalie nitarudi baadaye kidogo. Kama nikishindwa basi Sweetlady utani-pm matokeo ya jumla.
 
CCM wametumia uchawi wa mvua kuhakikisha uchakachuzi unafanikiwa, CUF wameuza kura zao kwa CCM wasingepata kitu hawa CCM
 
Ufoo Saro anasema DED amesema atatangaza matokeo kuanzia saa tisa to saa kumi hapa nahisi Magamba wanataka kucheza rafu hawa mijizi
 
Ufoo Saro wa ITV anasemaaaa
  • Yuko halmashauri hesabu zitakamilika saa 10 alfajiri
  • Kata hazina mamlaka ya kutangaza matokeo
  • Kata moja tu imeleta matokeo
  • Vijana ni wengi ofisi za halmashauri mita 100 wanaimba kusubiri matokeo, tunataka matokeo
  • Hali ni shwari hakuna vurugu.
 
vituo viko vingapi? vingapi vimetangazwa, vingapi bado? na hivyo walivoshinda cdm wameshinda kwa kura ngapi? mooo data tafadhali, big up wanajamii
 
Kweli laggards hamkosekani!

Kwani lazima wote tuwe chama cha magwanda ndio tuonekane wajanja??ni demokrasia gani mnayoililia kama mtatulazimisha wote tuwe magwanda?JF ni ya wote, si mangwanda tu, kila mtu ana uhuru wake mkuu. Au una maumoivu ya kushindwa Igunga???
 
Matokeo yaliyotangazwa sasa hivi kama dk 5 zilizopita na ITV



[TABLE="width: 180"]
[TR]
[TD="class: xl24, width: 80, bgcolor: transparent"]chadema[/TD]
[TD="class: xl24, width: 80, bgcolor: transparent"]ccm[/TD]
[TD="class: xl24, width: 80, bgcolor: transparent"]cuf[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl24, bgcolor: transparent, align: right"]63[/TD]
[TD="class: xl24, bgcolor: transparent, align: right"]42[/TD]
[TD="class: xl24, bgcolor: transparent, align: right"]4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl24, bgcolor: transparent, align: right"]87[/TD]
[TD="class: xl24, bgcolor: transparent, align: right"]53[/TD]
[TD="class: xl24, bgcolor: transparent, align: right"]3[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl24, bgcolor: transparent, align: right"]36[/TD]
[TD="class: xl24, bgcolor: transparent, align: right"]8[/TD]
[TD="class: xl24, bgcolor: transparent, align: right"]2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl24, bgcolor: transparent, align: right"]33[/TD]
[TD="class: xl24, bgcolor: transparent, align: right"]41[/TD]
[TD="class: xl24, bgcolor: transparent, align: right"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl24, bgcolor: transparent, align: right"]31[/TD]
[TD="class: xl24, bgcolor: transparent, align: right"]45[/TD]
[TD="class: xl24, bgcolor: transparent, align: right"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl24, bgcolor: transparent"] [/TD]
[TD="class: xl24, bgcolor: transparent"] [/TD]
[TD="class: xl24, bgcolor: transparent"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl24, bgcolor: transparent"] [/TD]
[TD="class: xl24, bgcolor: transparent"] [/TD]
[TD="class: xl24, bgcolor: transparent"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl25, bgcolor: transparent"] [/TD]
[TD="class: xl25, bgcolor: transparent"] [/TD]
[TD="class: xl25, bgcolor: transparent"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl26, bgcolor: transparent, align: right"]250[/TD]
[TD="class: xl27, bgcolor: transparent, align: right"]189[/TD]
[TD="class: xl28, bgcolor: transparent, align: right"]9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Halmashauri bado kimya,,,,,,,matokeo huenda yakatangazwa kesho,,,,,
 
Jaman yule mtangazaj alieleta matokeo ya kupikwa anashambuliwa na watangazaj wenzake. Kaumbuka. Novatus anasubiri kibano. Ni m babaishaji.
 
Matokeo ya awali yamewapa hamasa wana Mwanza,hapa wamama,wadada,wababa,wazeee ni pipoz pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom