bemg
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 2,799
- 644
Basi wakuu me nalala ila Elimu inatakiwa kwanza vijana wote waliofikisha umri wa kupiga kura inabidi wapewe Elimu ya kutosha kwa sababu wanashangilia tu wakati kwenye zoezi lenyewe wanakaa mbali inatia hasira sana na tunabaki kulaumiana tu!wazee tujiandikishe kupiga kura na siku yenyewe tujitokeze roho yangu inauma sana wale watu wote waliokuwa wanAshalingia chama chetu wako wapi akhaa hebu ifike mahara tuwe na heshima kwenye mambo ya msingi na kampeni vijijini zianze mapema za kuwaelimisha hawa wasiojua magamba hayafaiiiii!nina hasira!
Jamani me naenda kulala, nina maumivu makali, chama langu Arsenal limepingwa. Naomba matokeo yakianza kutangazwa mniamshe!
Usiangalie Igunga mjini..Igunga mjini chadema imeongoza sasa hivi ni sherehe tupu,wafuasi wa chadema wanasherekea kila kona ya mji-Radio one
CCM Chali!Kwamjibu wa taarifa kutoka eneo la uchaguzi CCM wamepigwa mweleka maana kata nyingi wameshindwa na Chadema inaongoza!Na vijana wamehaidi kulinda ushindi wao!!
Shangilieni huku mkijiandaa kulia!CCM wanashangilia tu!
Peoples power ndio upupu gani?
Wana igunga wanaifahamu tu CCM
...na maendeleo ya ujumlishaji wa matokeo yapoje? unaweza kutupa details za haya unayosema?Igunga mjini chadema imeongoza sasa hivi ni sherehe tupu,wafuasi wa chadema wanasherekea kila kona ya mji-Radio one
Nasikiliza jungu kuu tbc mtangazaji analalamika kuwa mashabiki wa upinzani wameanza kushangilia kabla ya matokeo kutangazwa. Anadai vijana wa cdm wamejaa nje ya ukumbi wa kutangazia matokeo, umbali wa meta 50 wakiimba kusubiri kutangaziwa ushindi na hawaoneshi dalili ya kuondoka mpaka kieleweke.
my take: mabadiliko huletwa na vijana na kwa tz, saa ya ukombozi ni sasa.
Umebaki mwenyewe! CDM wenzako wote wameshakimbia!
CDM aibuuuuuu!
Hahahaha..ningekujibu vizuri sema tu ni mshikaji wangu wa karibu
Upinzani ukichukua nchi haitakuwa worse kama unavyofikiria wape somo la urai rafiki zao ambao bado wapo kwenye chama cha magamba chama hakina dira hata mwenyeketi wake hajui kwanini tanzania ni maskini na hawajui baadhi ya wawekezaji kwenye nchi yake.WE NEED CHANGESIfike mahali swala lisiwe ushabiki wa kisiasa, swala tuangalie nani ana UWEZO wa kutatua kero za wana Igunga. Chadema, CCM wote wanasiasa na wote wapo kimaslah tu. Ucije shangaa hata upinzani ukija kuchukua nchi ikawa worse kuliko ccm. Ni hivi watanzania tuhukumu hawa wanasiasa bila kuangalia wanatoka chama gani. Swala siyo chama gani, swala ni mgombea gan.
hapo ndipo wanapokosea Chadema... wananunua nepi kabla mtoto hajazaliwa. matokeo haya si ya kushangilia. watakuja kushangaa baada ya muda si mrefuIgunga mjini chadema imeongoza sasa hivi ni sherehe tupu,wafuasi wa chadema wanasherekea kila kona ya mji-Radio one
Nasikiliza jungu kuu tbc mtangazaji analalamika kuwa mashabiki wa upinzani wameanza kushangilia kabla ya matokeo kutangazwa. Anadai vijana wa cdm wamejaa nje ya ukumbi wa kutangazia matokeo, umbali wa meta 50 wakiimba kusubiri kutangaziwa ushindi na hawaoneshi dalili ya kuondoka mpaka kieleweke.
my take: mabadiliko huletwa na vijana na kwa tz, saa ya ukombozi ni sasa.
Tunasubiri msimamizi atangaze matokeo, maana kufuatilia hapa ni kujitia presha tu.