lifeofmshaba
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 867
- 219
Hata kipimo cha imani kwenye biblia ni sumu, ulishasikia nani akijipima? si papa wala pengo seuse maamuma. Unanchekesha!
Hacha upumbavu wako wa kidini wewe, lusinde na papa na pengo wapi na wapi?
wewe na hilo li hijabu lako na biblia wapi na wapi? na signature yako (Qur'an 7:199) kwa nini usitumie hiyo?
au Qur'an hajitoshelezi?
lini mtaenda shule na kuelimika nyie, kazi kutukanisha dini zenu tu