...nani ni nani!
Wazee kwa mujibu wa chanzo changu makini hali ya CDM ni mbaya, CCM inaweza kushinda kwa kura nyingi sana. Ukiangalia kwa makini sehemu ambayo CDM ilikuwa inapendwa imeshinda kwa tofauti ya kura ndogo zisizozidi 1000! Katika matokeo ambayo ameleta Novatus Makunga yamebadili kabisa mwelekeo wa matokeo. Kwa jinsi chanzo kilivyotema, huko vijijini CCM itashinda kwa kura nyingi, jambo hili litaguwa gumu kulisadiki lakini ndiyo ukweli unazidi kujongea masikio mwetu.
[TABLE="width: 96"]
[TR]
[TD="width: 64, bgcolor: transparent"]CCM[/TD]
[TD="width: 64, bgcolor: transparent"]CHADEMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]730[/TD]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]362[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]694[/TD]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]274
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]1479[/TD]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]1085[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]1078[/TD]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]590[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]3981[/TD]
[TD="bgcolor: transparent, align: right"]2311[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Nimesikitishwa na matokeo hayo hapo juu, ikisemekana ni matokeo yaliyojumlishwa katika kata!!! Sheria za Uchaguzi zinawataka wasimamizi wa uchguzi katika vituo vyao wakijumlisha katika vituo vyao wapeleke mojakwamoja kwa Mkurugenzi husika!!! Kwa hayo matokeo huyu bwana kapata wapi na nani kamwambia ayatangaze.
Reporter mwenzie kareport kwamba matokeo hayajumlishwi kwenye kata!!!
Akitangaza matokeo akawa anatoa na maelezo ya ziada kuhusu hizo kata kwamba hii kata Mgombea wa CCM ndio amezaliwa na tena eti kata hii CCM walifungia kampeni zao jana, yote hayo yametoka wap???
Nimesikitishwa sana na huyu Reporter, anaiaibisha sana IPP MEDIA
Mikutano ya CDM ilikuwa inajaza watu wengi sana, yaani walikuwa wanafunika kwa idadi kubwa ya wahudhuriaji VIJANA, ambao leo hawakuonekana kabisa kwenye vituo vya kupigia kura.
Mkuuu hakuna kitu kama hicho kwenye ubunge matokeo ya kata je kulikuwepo na uchaguzi wa madiwani we wasema anakitokea mgombea wa ccm na kupata kula zaidi 1000 ndo ngome ilitegemewa kwa ccm kuleta ushindi kwa ali hilivyo kweupe mkuuuHaiiingii akilini kuona vituo vingi sana chadema inaongoza kwa asilimia nyingi, lakini cha ajabu kwenye matokeo ya mjumlisho yaani matokeo ya kata ccm inaongoza tena kwa idadi kubwa sana ya kura.
Je tuvumilie huu upuuzi??
Asante nasikitishwana reporter kwa matokeo yake, nackitishwa na wewe pia kutosikitika na report ya huyo reporter
Jamani tusishangilie kabla ya kutangazwa kwn hawa ccm ni wachakachuaji hodari sana!wakabwe hadi viatu,Peopleeeees`s PowEeeeeeeeew........!
amenichefua sana novatus makuna! Loooh, nilitaman kuvunja screen yangu!
Mkuu taratibu matokeo ya kura za ubunge yanajumuishwa kwa msimamizi wa jimbo. Hata mie sijaelewa Igunga imetumia utaratibu upi?
Mijitu ya njombe ingekuwa amri ilitakiwa wapelekwe sayari ya jupiter,ndio inaleta ukauziba wa maendeleo hapa tz malofa wakubwa sana
Wanavijiji ambao uelewa wao ni mdogo siku zote ndio wamekua wanalea mafisadi, na ndio wanafanya inchi iwe kama ilivyo.
Hawa watu mvua ime waruhusu kuchakachua sana,...
maana tofauti na hapo walikua wame kabwa kweli kweli.
Ila kiukweli hali ni mbaya sana,tofauti ya kura 1200 sio rahisi kuifikia