Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
majina ya vituo sija yakamata vizuri
ila:
CDM 93 CCM 63
CDM 75 CCM 80
CDM 56 CCM 31
CDM 21 CCM 69
CDM 84 CCM 79
CDM 16 CCM 7
CDM 73 CCM 63
CDM 62 CCM 47
CDM 91 CCM 71
CDM 106 CCM 37
CDM 95 CCM 48
CDM 73 CCM 63
CDM 86 CCM 65
CDM 90 CCM 80
CDM 115 CCM 79
CDM 104 CCM 78
CDM 31 CCM 40

CUF sijaiweka maana ni uchafu,kura kama unahesabu ngamia tanzania.


'....Clemmy, please usinivunje mbafu, yaani CUF inachefua kiasi hicho hata ushindwe kuweka idadi ya kura walizopata??!'
 
Magamba watatoka tu, kwa style hii ya mitandao, tutakuwa tunapata majibu kabla ya wao kuchakachua, na hapo ndo kutachimbika 2015, I will be back in my country ready for changes.

Karibu mkuu!
 
Umakini zaidi unahitajika na shirika la ugavi wa umeme linatakiwa kutokukata umeme ili kuepukana na lawama baina ya vyama,wananchi na wasimamizi
 
Dr Rwaitama anahojiwa now SIBUKA tv, maneno anayoyanena kuhusu CCM najiuliza uyo mzee ambaye ni CCM masalia kapata wapi huu ujasiri. Anasema DC wa igunga hakuzalilishwa ila alishukiwa akifanya kazi ambayo sio ya ukuu wa wilaya.Anasema pia Igunga ikichukuliwa na CDM ni aibu kwa mwenyekiti wa CCM.

Dr Rwaitama anasema wananchi kumzalilisha DC ni jambo zuri na ni jambo muhimu kwa wahalifu kama DC huyu na hizi ni hasira halali za wananchi waliomvua hijab,Anaseama DC kufanya kikao bila polisi wa kumlinda ni dhahiri alikua anafanya kazi ambayo sio ya ukuu wa wilaya.

Anasema CCM walijipeleka kwenye hotel ya CDM ili waonekane wametekwa na wananchi wataidhibiti CCM kwa matendo yake. Anasema CCM ni sawa na Baba anayemzaba mtoto mchanga(CDM) kibao
. Anasema mama au baba mwenye nyumba anapofanya vurugu kama mtoto nani atasimamia nyumba iyo.

Dr Rwaitama anawaasa wananchi wasikubali kupelekwa kikoloni.
Bado anawasha moto.........
 
My experience shows that preliminary results mislead most of the time. They don't bear a clear picture on how the results will look like, consequently, we shouldn't rely much on them. We must wait what the Election Committee will have on their final press conference but at the moment its too early to tell anything.
Experience my Masaburi
 
DUuuu kazi ipo leo!!!tunamsubiria Magayane na uzalendo wake!!
 
Really?

Isn't it that till u collude and rig the votes? NEC=CCM, so we don't need to wait. We'll follow the datas and taking care by ourselves.

Wecant be fooled by these selfish pp, what we know is our argents will give us the result that reflects the reality.
 
Wakuu,

Mnakumbuka nilianzisha thread kuwa matokeo yaharakishwe hapa mapema. Thread yenyewe ni hii:

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-ya-uchaguzi-igunga-yaharakishwe-hapa-jf.html

Mimi kwa kupitia ITV vituo vinne vya kata ya Igunga_Mjini nimekusanya na Mpangilio ni vituo Igunga-02, Igunga-03, Igunga-04, Igunga-05 kama ifuatavyo:

******
CCM
87
71
61
87
TOTAL=306
******
CHADEMA
90
73
88
84
TOTAL=335
******
CUF:
2
4
6
3
TOTAL=15
******
DP
0
0
1
1
TOTAL=2
******
Utaona kuwa kwa hivyo vinneCHADEMA wanaongoza kwa jumla ya kura 335 wakifuatiwa na CCM wenye kura 306. Mwenendo huo ni kwamba hapo CHADEMA wana 50.91% na CCM wana 46.50%.

Tuendelee kujuzana kwani kujumlisha hata watoto wa darasa la nne hawahitaji kufundishwa. Tuleteeni kituo kwa kituo na tunaweza kujikuta JF tunajua matokeo ya vituo vyote kabla ya saa nane usiku.
 
Taarifa za kukamatwa kwa masanduku ya kura yenye kura fake: kuna mtu mwenye taarifa sahihi na ya kina?
 
Uchaguzi 2010, tulipeana moyo hivi hivi kwa matokeo ya mwanzo CDM ikiwa inaongoza kila sehemu. Kibao kilipogeuka kila mtu alikimbia keyboard.
Nahisi ndo itajirudia Igunga, tunajiaminisha kwa facts ndogo sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom