Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,658
Peoplesssss power!
Huamini macho yako ama?Ingependeza kama ungeweka na source, ili tupime.
Hii ni kweli kabisa, hata uchaguzi wa october kwenye jimbo la "waziri kivuri" K4C ilikuwa hivi hivi hadi wakasababisha dada wa watu kuchanganyikiwa.
Hivi ndio nani? Nape au...Mimi najiandaa kumshangilia Mwita25 atakapokuwa anatembea uchi toka ubungo hadi posta.
Watakuwa wamehamia mstuni kule ambako Helkopta ilipotelea ili wachakachue matokeo kwa njia ya mtandao, baada ya hapo watatoweka kiana, Chdema kazeni uzi kabeni hadi penati.‎Mpya toka Igunga:
Mh Halima Mdee muda mfupi uliopita, amekamata masanduku yenye kura feki huko Choma! Pia aliyekuwa diwani wa Igunga Mama Ngessy anashikiliwa na polisi kwa kukutwa nyumbani kwake akiwa na masanduku yenye kura feki!
Vigogo wa CCM leo asubuhi wote wametoweka Igunga na kurejea Dar!
so far katika vituo walivo report
CDM CCM
73 63
86 65
90 80
115 79
104 78
Mmmh,kwa mwendo huu,naona karibu ntaondoka kwenye ushabiki
wa chadema na kuwa mwanachama wa chadema.
kituo cha elimu1,cdm 109,ccm 37,cuf 03
kituo cha elimu2,cdm 95,ccm 48,cuf 2
source.ITV kipindi maalumu cha uchaguzu igunga
BREAKING NEWS LIVE FROM IGUNGA! KATA YA SIMBO-KITUO CHA UMOJA SS -CCM 3, CDM 84, CUF 1. KITUO CHA USHIRIKA CCM 26 CDM 86, KITUO CHA ZIBA CCM 42 CDM 400. HUKO SIMBO WAMESHACHINJA NG'OMBE WATATU MATOKEO MENGINE NTAENDELEA KUWAPASHA! LKN CCM IMESHINDWA VIBAYA!
kwa mujibu wa diwani wa ARUSHA aliyeko Igunga
Nanyaro Ephata
Tumemkamata mgambo akiwa kwenye foleni ya kupiga kura huku akitoa rushwa ya shs 5,000/= kata ya Swingizi, baada ya kumweka chini ya ulinzi, tukamkuta na shs laki saba, kwa sasa anashikiliwa na polisi, anasema alitumwa na viongozi wa CCM
Nchemba anapita kila kituo anamwita msimamizi na kumpa hela, kwa sasa amedhibitiwa na vijana wetu
Ndiyo maana damu yake mbaya.Mhhhh Nasikiliza Mliman TV MBona Hamis Dambaya ametaja matokeo ya vituo kama 8 hivi na vyote CCM wanaongoza Mbona nshaanza kuchanganyikiwaaaaaaa:::
Endelea kutujuza Mkuu, uku Arsenal na Spurs mtanange ndo ushaiva.