Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
Tutashinda udhalimu wa magamba kwa nguvu ya mungu na umma.
Mungu siku zote huwa hapendi dhuluma kwa watu wake .ccm imetu dhulumu na inaendelea kutupa maisha kwa kasi mpya ya umaskini naombea ipate hata asilimia15 ya kura zote Igunga
 
najisikia raaaaaaaaahaaaaaaaaaa peoples power Mungu yupo upande wetu magamba patupuuuuu
 
My experience shows that preliminary results mislead most of the time. They don't bear a clear picture on how the results will look like, consequently, we shouldn't rely much on them. We must wait what the Election Committee will have on their final press conference but at the moment its too early to tell anything.
 
BREAKING NEWS LIVE FROM IGUNGA! KATA YA SIMBO-KITUO CHA UMOJA SS -CCM 3, CDM 84, CUF 1. KITUO CHA USHIRIKA CCM 26 CDM 86, KITUO CHA ZIBA CCM 42 CDM 400. HUKO SIMBO WAMESHACHINJA NG'OMBE WATATU MATOKEO MENGINE NTAENDELEA KUWAPASHA! LKN CCM IMESHINDWA VIBAYA!
kwa mujibu wa diwani wa ARUSHA aliyeko Igunga
Nanyaro Ephata
Tumemkamata mgambo akiwa kwenye foleni ya kupiga kura huku akitoa rushwa ya shs 5,000/= kata ya Swingizi, baada ya kumweka chini ya ulinzi, tukamkuta na shs laki saba, kwa sasa anashikiliwa na polisi, anasema alitumwa na viongozi wa CCM

Nchemba anapita kila kituo anamwita msimamizi na kumpa hela, kwa sasa amedhibitiwa na vijana wetu

Ingependeza kama ungeweka na source, ili tupime.
 
Duh kuweni makini kibao kinaweza geuka hapo msipo linda kura.
 
Arsenal 0 totenham 0 dakika ya 10,mechi kali sana,tupeni matokeo ya igunga namimi ntawapa matokeo ya london.

karibu jamvini mkuu.

leo kuna derby mbili:

CDM vs CCM

Spurs vs Arsenal
 
Namsubiria yule Fisadi aliyesema atakunywa sumu, sijui ameshanunua ile sumu ilie anywe tuchukue jimbo jingine
Mimi najiandaa kumshangilia Mwita25 atakapokuwa anatembea uchi toka ubungo hadi posta.
 
Wadau wawe makn wacje wakaacha kuyatangaza kama walvyostopsha matokeo ya urais ghafla mwak jana
 
so far katika vituo walivo report
CDM CCM
73 63
86 65
90 80
115 79
104 78

Mmmh,kwa mwendo huu,naona karibu ntaondoka kwenye ushabiki
wa chadema na kuwa mwanachama wa chadema.

daa sisi tunataka aman iwepo
 
My experience shows that preliminary results mislead most of the time. They don't bear a clear picture on how the results will look like, consequently, we shouldn't rely much on them. We must wait what the Election Committee will have on their final press conference but at the moment its too early to tell anything.

Hii ni kweli kabisa, hata uchaguzi wa october kwenye jimbo la "waziri kivuri" K4C ilikuwa hivi hivi hadi wakasababisha dada wa watu kuchanganyikiwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom