Matamko ya (baadhi) waislam (Dar na Mwanza)

Matamko ya (baadhi) waislam (Dar na Mwanza)

Status
Not open for further replies.
Emotions..hupunguza busara pole,

EPA..Mramba, Kiwira Mkapa, tuendelee kuwataja mafisadi wa kikristo?
big up mlalahoi umempa fact za msingi ambazo zimemfanya aanza kugwaya huyu jamaa keshaanza Topical kashaanza kuzungumza utumbo
 
Ushahidi tumeotoa kwenye tamko letu sema hamtaki kusoma hivyo viatabu vya refernce tulizowapa..mnaendelea kutoa kejeli na dharau..

Ushahidi wa hujuma hizo na takwimu zilipelekwa serikalini enzi ya mkapa ili aunde tume kuchunguza ukweli, akasoma alipoona ukweli akawaita maaskofu akaanza kufoka..hatimaye guilt consiuos yake akatoa muslim university..

Haya mambo siyo uzushi ni kweli na documents, trends tunazo...

Hukutoa ushahidi wowote katika tamko lile; mle kuna speculations tupu. madai ya kwamba kanisa katoliki lilikuwa na mkakati wa kuhakikisha nafasi zote za serikali zinachukuliwa na wakatoliki ni uwongo wa wazi kabisa kwa sababu utawala wa Nyerere wote haukuwahi kuwa na mawaziri zaidi ya wawili wakatoliki. Kuna kipindi mkatoliki alikuwa ni Nyerere na George Kahama tu; Padri Simon Chiwanga alikuwa ni wa kanisa la Anglican siyo katoliki. Nyerere alikaribia kufarakana na kanisa katoliki kwa vile alitaifisha shule nyingi sana na mahospitali ya kanisa hilo kuliko kutoka taasisi nyingine yoyote hapa nchini. Kama shule zote za katoliki zisingeataifiswa na kufungulia watoto wote wa kitanzania, huenda hata Kikwete asipengepa elimu kwa vile alisomea shule za kikatoliki.

Tangu tupate uhuru, wizara ya elimu haijawahi kuhusika moja kwa moja na upangaji wa matokeo ya shule za msingi.
 
Hakuna ushabiki hapa Hospitali ya KCMC, Muheza Teule, etc ni mifano michache ya hospiural zinazokomba pesa serikali kwenda kwenye taasisi ya dini na bado watumiaji wnalipa gharama kubwa tu...wanachota tena kutoka kwa watumiaji?

Vifaa vya uchunguzi vinanuliwa na pesa za serikali (x-ray, vya damu, etc) wafanyakazi wanalipwa na pesa serikali je kwanini wasifanye hivyo kwa taasisi za dini zingine?

Shule ngapi za kiislamu, then kama hujui hata shule moja ya kiislamu ..ni ngumu kukuelewwesha.

Hospitali hizo ziliwahi kutaifishwa na serikali, ikashindwa kuziendesha ndipo mwinyi alipoamua kuzirudisha. Chacnzo cha hiyo MOU ilikuwa ni kwa makanisa kuwa na uhakika kuwa wasitumie pesa zao kuendeleza hosptiali hizo halafu serikali ije uiwageuke tena. Na vile vile kwa wanatoa huduma kwa watanzania wote bila kujali dini na itikadi zao, jambo ambalo ni jukumu la serikali, basi serikali nayo ichangie katika kutoa huduma hiyo.
 
Jambo la kushangaza sana katika tamko hili ni kuwa vurugu zile zilifanyika Arusha. na maaskofu waliokemea serikali ni wale wa Arusha kwa vile vurugu zile ziliwahusu moja kwa moja. Lakini waislamu waliowajibu maaskafu ni hawa wa Dar es salaam. Ingekuwa ni vizuri wakwaacha masheikh wa Arusha ndio walumbane na maasakofu katika eneo lao kuhusiana na tatizo hilo hilo moja. Kwa hao Masheikh wa Dar es Salaama kutangaza ugonvi wa kidini ni kutaka kukuza conflict ya kidini zaidi ya kuangalia tatizo la kiini, yaani serikali kuwauwa raia wasiokuwa na kosa.
 
(7) Serikali ikawa radhi kuvunja Katiba ya nchi kwa kupitisha Sheria ya Kuzuia Ugaidi ya 2002 ili zipatikane fursa zaidi za kuwanyoongesha Waislamu. Waislamu waliipinga sheria hiyo kwa nguvu zao zote, lakini kwa kuwa wao ni jamii inayotakiwa kupigwa vita hawakusikilizwa.
So inamaanisha ninyi ni magaidi?
 
Hivi kweli profesa unafikia hatua unasema unaomba mjitenge ......
sidhani kweli kama hao ni maprofesa kweli........
 
Kumbe MoU ni makubaliano baina ya serikali na kanisa. Sasa kwanini mgomvi wenu asiwe serikali ambayo ndio mna hisa nayo? Mi nahakika hata kama kuna hoja kwamba maslahi ya wasilamu yanapunjwa kutokana na MoU, huezi udai haki kwa chapisho kaahilo la mashehe ubwabwa hapo juu. Kila mtu ataona nyie wahuni tu wa mtaan mliokosa kazi.

We Abduljesus vipi?
Kwani umeambiwa sisi tunagombana? Sisi tunaitahadharisha serikali itende haki kwa raia wote isipendelee kundi moja dhidi ya lingine. Tamko hilo ni zito hadi wewe unaapreciate vinginevyo usingepoteza muda wako ambao naamini muda ni mali kuweza kjuibu chochote.Kwani thread ngapi zinatumwa humu kutokana na kutokuwa muhimu hazipati respondet hata mmoja?
 
Mimi nafikiria Raisi angekuwa anaitwa John au Peter hao masheikh wasingekuwa upande wa serikali na kujikomba kuwa Maaskofu wamekosea,wao wanadhani serikali ni Kikwete na serikali inaposhutumiwa wanaona kama mtu wao ndio anashutumiwa,pili waislamu wenyewe wamejikita kwenye biashara badala ya elimu,ukiangalia kwa juu juu waislamu ndio watu matajiri hapa Tanzania,sasa badala ya kukusanya nguvu zao na kuanzisha vyuo,mahospitali wao wanakimbilia kununua mabasi,kuanzisha timu za mpira.Nadhani kama Ben angetoa Chuo cha Tanesco kwa asasi za kikristo hadi leo hao ndugu zetu wangekuwa wanaandamana,lakini hatujasikia wakiristo wakifanya hivyo,hizo shule na hospitali zinazolalamikiwa zimejengwa kwa jasho la wakiristo na wala hazibagui mtu yeyote kwenda kusoma.ajabu ni waislamu wa ngozii nyeusi tu ndio wanaolalamika hao hata wawe maprofesa bado wanashindwa kufikiria yaliyo sawa ,zaidi ya kuweka unazi,kuna watu kama Prof.Shivji au Nizar Visrma hatuwasikii kupiga kelele hizi za kipuuzi.Hakika MIAFRIKA NDIVYO TULIVYO
 
We Abduljesus vipi?
Kwani umeambiwa sisi tunagombana? Sisi tunaitahadharisha serikali itende haki kwa raia wote isipendelee kundi moja dhidi ya lingine. Tamko hilo ni zito hadi wewe unaapreciate vinginevyo usingepoteza muda wako ambao naamini muda ni mali kuweza kjuibu chochote.Kwani thread ngapi zinatumwa humu kutokana na kutokuwa muhimu hazipati respondet hata mmoja?

Usipotoe jina langu kwa maslahi ya dini zenu za kujitungia tafadhali.

Tamko ni utumbo mtupu na hii thread haina mashiko. Actually i am enjoying myself kuona jinsi upeo wa watu ulivo duni. it can't get better than this walahi. Kwanza sijaona popote kwene madai serious, sehemu ya kwanza stori imeonekana kwanza kuituhumu serikali kuwa ni ya kikristu halafu then sehemu nyingine mnataka serikali eti isiwasikize maaskofu..does that make sense?mmmh yaani hamna hata contrast, mfululizo, wala mantiki..na mtu yeyote anayesapoti huo utumbo hapo nina hakika ana matatizo makubwa sana kichwani kwake..thats why sibanduki kwene hii thread. Sometimes kumuangalia mlevi while wetting & shttin' himself can be funny eeh?
 
Rafiki yangu mkirstu anamilki shule ya msingi english medium.Alinisahawishi nikampeleka mwanangu shuleni kwake.Kila akija nyumbani ankuja anaiba nyimbo za kanisa huku akilalamika kuwa wanalazimishwa kusali kikrsitu kabala ya kuingia darasani na wakati wa kula.
Nikamuona mwenye shula nikamuuliza kama wanavipindi vya dini shuleni akanmbia kuwa wanavyo lakini kwa waislam hawana mwalimu ila akanambia kuwa ni ruhusa kuleta mwalimu wa dini ya kiislam lakini sharti afundishe kwa kiingereza hata maandishi yote yawe kwa kiingereza.Nikamwambia sisi huwa tunaswali kwa kiarabu sasa mwalimu ataandikaje maandishi ya kiarabu kwa kiingereza? akasema hilo ndo sharti lao kwani ni lazima mwalimu yote anayofundisha uongozi uyajue. nikamuuliza mbona hii shule ni ya binafsi lakini mna mashrti ya kidini? Akasema wao wanasaidiwa na kanisa.Ndo nikagundu kumbe MOU inafanya kazi zake hata kwa watu binafsi kupita kanisani.
Kwa vile shule ni nyingi mwaka ulipoisha mwanangu sikumpeleka tena pale.Ingekuwa ni enzi za Nyerere amabpo shule zilikuwa ni za kanisa tu na serikali basi hapo ningekwama.
 
hilo ni tamko la chuki dhidi wa wakristo na wala halina uhusiano na siasa. Nahisi wana agenda binafsi na ccm pamoja na serikali yake. mengi ya yale aliyosema makamba ndo wameyasema. Cha kujiuliza tunatakiwa kuhesimu mamlaka au sheria? Je ccm haikukiuka sheria kuua watu wasio na hatia Arusha? Je walitaka maaskofu waipongeze serikali ya ccm? huu waraka ni uchafu, kinyesi, tena uchafu kweli kweli. Kama kiongozi wa dini anaweza kutoa waraka kama huo then hiyo dini haina maana kwa wanadamu. huwezi kutetea maslahi yako ukaweka maslahi ya wengine hatari. Sidhani kwamba waslamu ni bora kuliko wakristo. juhudi za maendeleo ya haki ya dini moja lazima ziungwe mkono na dini nyinyine.wajifunze kwa wakristo na wafanye mambo ya maendeleo badala ya kuwa shetani kwa maendeleo ya wakristo. wivu wa namna hiyo ni mbaya na haukubaliki dunia kote. sharti wa jue kazi yao siyo kupinga maendeleo ya wakristo bali kuweka mipango ya haki na dhabiti ya kuendelezea dini yao, bila kuwekea wengine vikwazo. Otherwise, wanaye mwabudi atakua ni shetani na wala sii Mungu wa kweli.
 
Usipotoe jina langu kwa maslahi ya dini zenu za kujitungia tafadhali.

Tamko ni utumbo mtupu na hii thread haina mashiko. Actually i am enjoying myself kuona jinsi upeo wa watu ulivo duni. it can't get better than this walahi. Kwanza sijaona popote kwene madai serious, sehemu ya kwanza stori imeonekana kwanza kuituhumu serikali kuwa ni ya kikristu halafu then sehemu nyingine mnataka serikali eti isiwasikize maaskofu..does that make sense?mmmh yaani hamna hata contrast, mfululizo, wala mantiki..na mtu yeyote anayesapoti huo utumbo hapo nina hakika ana matatizo makubwa sana kichwani kwake..thats why sibanduki kwene hii thread. Sometimes kumuangalia mlevi while wetting & shttin' himself can be funny eeh?

Hapo nimekuelewa.Kumbe ukikutana mbwa anabweka njiani nawewe unaanza kubweka? Will the passersby know the difference btn u n the dog?
Nilikwambia hilo jina ni la kiarabu lenye maan ya mja wa Mungu.Sasa wewe hutaki kuwa mja wa yesu amabe ndie mungu wako?
Masheikh wametoa hoja za msingi sana nimepitia thread zote za majibu nimeona mtu mmoja tu ndie amejitahidi kujibu japo majibu yake sio sahihi.Lakini wengine mnaishia kusema tu eti ni utumbo.Hivi wewe mtu akikuita mbwa wakati ni binadamu utakuwa mbwa kweli? Hata ukisema tamko ni utumbo wakati ni poit usemi wako utabaki ndio utumbo wenyewe
 
Rafiki yangu mkirstu anamilki shule ya msingi english medium.Alinisahawishi nikampeleka mwanangu shuleni kwake.Kila akija nyumbani ankuja anaiba nyimbo za kanisa huku akilalamika kuwa wanalazimishwa kusali kikrsitu kabala ya kuingia darasani na wakati wa kula.
Nikamuona mwenye shula nikamuuliza kama wanavipindi vya dini shuleni akanmbia kuwa wanavyo lakini kwa waislam hawana mwalimu ila akanambia kuwa ni ruhusa kuleta mwalimu wa dini ya kiislam lakini sharti afundishe kwa kiingereza hata maandishi yote yawe kwa kiingereza.Nikamwambia sisi huwa tunaswali kwa kiarabu sasa mwalimu ataandikaje maandishi ya kiarabu kwa kiingereza? akasema hilo ndo sharti lao kwani ni lazima mwalimu yote anayofundisha uongozi uyajue. nikamuuliza mbona hii shule ni ya binafsi lakini mna mashrti ya kidini? Akasema wao wanasaidiwa na kanisa.Ndo nikagundu kumbe MOU inafanya kazi zake hata kwa watu binafsi kupita kanisani.
Kwa vile shule ni nyingi mwaka ulipoisha mwanangu sikumpeleka tena pale.Ingekuwa ni enzi za Nyerere amabpo shule zilikuwa ni za kanisa tu na serikali basi hapo ningekwama.
ulionaje lakini maendeleo ya kitaaluma ya mwanao kipindi yupo kwenye hiyo shule? baada ya kumuhamisha umempeleka english medium ya kiislamu?
 
ulionaje lakini maendeleo ya kitaaluma ya mwanao kipindi yupo kwenye hiyo shule? baada ya kumuhamisha umempeleka english medium ya kiislamu?

Yaani hilo jina lako linanikumbusha kitabu cha BULICHEKA.Unacho hicho kitabu unipasie nijikumbushe ya zamani?
Mimi sikuwahi kusoma shule ya kanisa hata moja lakini tokea sekondari division1,Alevel division1,Chuo kikuu 1st Class.Unadhani ntafanya kosa la kumnyima mwanangu elimu bora? Tena nilikompleka ni miongoni mwa shule bora hapa tz lakini sio ya kanisa wala sio ya mkristu.
 
Ni haki ya waislamu kutumia uhuru wao wa kujieleza na kueleza kinachowasibu mimi nawapongeza na kuwaunga mkono.
 
stations nyingi ni zenu, tutatumia njia zingine ili kila muislamu afahamu historia na kinachoendlea tangu enzi hizo..ok

acha emotions jadili hoja, hoja ipi si kweli?

Afahamu historia, au aukubali uongo na ujinga wa mashehe?
 
Nasikitika kupoteza muda kusoma kitu kilichoandikwa na mtu wa STD two...
 
Hao waislamu waache kujishtukia...hamna anayewaonea bali wenyewe wanajidharau...aliyeko madarakani si muislamu? mbona wakristo hatusemi tunaonewa?
 
Hao waislamu waache kujishtukia...hamna anayewaonea bali wenyewe wanajidharau...aliyeko madarakani si muislamu? mbona wakristo hatusemi tunaonewa?

Si ndio maana hamumtaki kila siku humu jf mmeshupalia nchi imemshinda nchi imemshinda wakt huo mnashindwa kuelewa mko nyuma ya key boards amabazo hazikuwepo wakati wa utawala wa Nyerere.Haya ni maendeleo lakini hamyaoni.
Hakuna anayesema kuwa anaonewa kinachozungumzwa ni kuitaka serikali icuhukue wajibu wake badala ya kuukasimu kwa makanisa.Naona wewe umedandia mada
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom