Safi sana Waislam ila tatizo tamko lenu halina solution ya matatizo inaonekana mlitaka kututisha tu. Nashauri mje na tamko linalosema kwa mfano nchi igawanywe kutoka sehemu fulani hadi sehemu fulani. Kwa tamko mlilotoa inaonekani ni daganya toto tu! Na kama hili ndilo tamko lililotolewa na Wanazuoni wa Kiislam basi mnayo khasara kubwa kwani lime-expose udhaifu wenu kwa kiwango cha juu!
Wewe wasema, waislamu wanatuelewa tulitegemea wewe na wengine msituelewe kwakuwa mmelewa madaraka...