Ni swala la ajabu sana Waislam kujiingiza kwenye migogoro ya America and Middle East linatokana na ufinyu wa watu kufikiri. Mimi naishi US and honest mji niliopo kuna misikiti over 150 na tunaishi peaceful, sababu we figure out kwamba vita ya Middle East and U.S is non of our business.
Watanzania waislam wanaitaji mambo mawili, kwanza kuacha kulalama kwamba tumekandamizwa 1950's, pili kujikita katika Elimu na Ujasilimali. Hii itaongeza chachu kwenye community, more jobs will be developed and people will earn their share of pie. Kuendelea kulia lia kwamba tunabanwa, tunanyanyaswa hakusaidii kitu. Elimu and Ujasilimali is the key of any economic development.
Sasa kama mnataka kuendelea kunywa gahawa pale mwamboni na kutaka serikali iwaletee mpaka mikate ya Boflo, then be my guest my friend because Government is not a solution but part of a problem. I learned that in the hardway..... dawa ni ku-train watu wenye taaluma kuja kufundisha shule zetu na vyuo vyetu bila kubagua.... Kumbuka hadithi ya Hijirah wakati mtume (swa) alivyo mtafuta kijana wa kumlisha ngamia na kumsaidia kuongoza njia kwenda madinah, kijana yule hakuna muislam bali alikuwa amebobea kwenye direction ndani ya jangwa (now days tungemuita GPS). Hadhi hii inaonyesha kwamba Mtume (swa) aliajiri mtu kutokana na ujuzi wake na sio dini yake.... sasa kama mtume wa mungu alifanya hivyo, jee mimi na wewe?
Hawa kina shekh Juma Ponda na wehu wengine ni opportunist ambao hawana shule. Ndio maana nawaambia waislam wengi dunia Tanzania kunaitaji vitabu vingi vya dini vilivyochambuliwa kiswahili. America wamechambua almost kila kitabu, Tanzania need to do the same.... ama sivyo tutaangamia....