Matamko ya (baadhi) waislam (Dar na Mwanza)

Status
Not open for further replies.
Mohamed Shossi said:
Usidhani Waislam wanatatizizo na MoU ya wakiristo na serikali ila wana tatizo jinsi MoU hiyo ilivyosainiwa "kwa mlango wa nyuma" bila ya public kuwa aware.

Mohamed Shossi,

..MOU haikusainiwa kwa siri.

..Bakwata walikuwa observers wakati wa mchakato mzima uliopelekea kusainiwa kwa MOU.

..pia MOU ilisainiwa kipindi ambacho Raisi wa Jamhuri alikuwa Alhaji Ali Hassan Mwinyi.

..katika baraza lake la mawaziri kulikuwa na Waislamu wengi tu wenye heshima zao kama Prof.Kighoma Malima,Amrani Mayagila[r.i.p],Fatuma Said Ali, Balozi Ahmed Hassan Diria[r.i.p], Juma Hamad Omar,Ali Ameir Mohamed etc.

..nakushauri utafute hapa Jamii Forums thread inayohusu MOU na utakutana na michango mingi sana itakayokufungua macho kuhusu suala hili.

..jambo la kujiuliza ni kwamba, MOU imesainiwa 1992, sasa kwanini Waislamu mpaka leo hawajajishughulisha kuandaa MOU baina yao na serikali?

..vilevile ni vizuri ieleweke kwamba Waislamu nao wamekuwa wakipewa misaada mingi tu bila kulazimika kuwa na MOU. mfano mmoja ni hii taasisi ya Bakwata ambayo imeanzishwa na serikali na imekuwa ikisaidiwa kifedha na serikali kwa muda mrefu.
 
Afadhali wewe unakiri kuwa MoU ipi...that good development maana wengi wanapinga

Sasa kama ipo kwanini iwe sawa kusaidia taasisi za kanisa kwa fedha za umma?

Hapohapo maaskofu walalamikie serikali isiruhusu mahakama ya kadhi? kwasababu inatumia pesa za umma?

Unaona hizo double standards?
 
Kwahiyo sababu maaskofu hawakusema kitu ndio waislamu mnaonewa..?, Je serikali hii inaonea wananchi au waislamu, mbona dini zote wanalalamika maisha magumu?, Je hakuna musilamu aliyekufa arusha? Je ni mangapi watu wamenyimwa hawajasema dini? kwahiyo hata watu wakinyimwa kibali cha kuandamana waseme ni sababu ya udini?, Na Msekwa kusema kwamba bunge halina pesa ni sababu ya dini?... Hebu acheni kuunganisha vitu ambavyo havipo.... Ukitaka hapa naweza nikakuandalia page 200 kwamba mimi naonewa sababu ya dini yangu fulani.... acheni kufanya connection amabazo hazipo...

Yes wanatumikiqa dini zaao kwa nafasi zao badala ya umma..that is the point.
 
Hakuna point hapo nikutafuta vitu ambavyo havipo kwa watu ambao hawana kazi..... Ni kwamba serikali from top to bottom imeoza na viongozi wote hawawajibiki na sio sababu ya dini ni ufisadi na kutokuwajibika..., Acheni mambo ambayo hayawezekani na fanyeni vitu vya kuleta manufaa...... mnaamini vitu ambavyo havionekani na vimeletwa na wakoloni hadi kusababisha mpigane na watu ambao mnawaona na ni majirani zenu....
 
Yes wanatumikiqa dini zaao kwa nafasi zao badala ya umma..that is the point.

Naona Mwembechai ndio imekuwa wimbo wa taifa. Kuua aue Makamba mzigo wabebeshwe maaskofu..akili zenu nyie ni weak sana. nyie na vizazi vyenu mtaendelea kufa maskini mpaka pale mtakapokubali kukaa chini na kuacha kuishi kwene dunia ya blame games.
 
Topical said:
Sasa kama mou ipo kwanini iwe sawa kusaidia taasisi za kanisa kwa fedha za umma?

Hapohapo maaskofu walalamikie serikali isiruhusu mahakama ya kadhi? kwasababu inatumia pesa za umma?

Unaona hizo double standards?

Topical,

..binafsi sipingi serikali kuisaidia kifedha mahakama ya Kadhi.

..ninachopinga ni hoja za kutaka Raisi wa Jamhuri awe na mamlaka ya kumteua Kadhi Mkuu.

..kwa mtizamo wangu, Waislamu waanzishe mahakama ya Kadhi, na wamchague Kadhi Mkuu bila kuingiliwa na taasisi za serikali. kama watahitaji msaada wa kuendesha mahakama hizo, basi serikali isisite kuwasaidia.

..unasema Maaskofu wanapinga serikali kutoa fedha kwa mahakama ya Kadhi. lakini hatujasikia Maaskofu wakipinga Bakwata inapopewa fedha, au serikali ilipowapatia Waislamu chuo cha Tanesco Morogoro.

..nadhani hii ni hoja nzito na tuwe waangalifu "tusichanganye machungwa na ma-apple."
 
Naona Mwembechai ndio imekuwa wimbo wa taifa. Kuua aue Makamba mzigo wabebeshwe maaskofu..akili zenu nyie ni weak sana. nyie na vizazi vyenu mtaendelea kufa maskini mpaka pale mtakapokubali kukaa chini na kuacha kuishi kwene dunia ya blame games.

Latest statistics zinaonyesha maskini wa mwisho Tanzania anatoka Sumbawanga na Shinyanga..na huko wengi wao ni wakristo tena wana makanisa makubwa sana vijijini sijui hao nao unasemaje?

Sisi na vizazi vyetu tutadai haki zetu bila kuchoka na huku tunasubiri Muumba atuongoze..japo wengi mtakereka..mtaelewa tu.
 
Hilo Tamko cha mtoto nina CD inaonyesha kila kitu kilichojiri hata Mkristo anaemuogopa Mungu ataona bila tochi uonevu unaofanywa na Serikali juu ya Waislam. Mtoa hotuba kuna point moja anasema Walipouwawa watu mwembechai Maaskofu walikaa kimya! Waislam wakaomba inkwest wakakataliwa. Akaomwa spika Msekwa akasema bunge halina pesa ya kufanya inquest lakini mwaka huo huo Serikali kupitia Jaji Mkuu Francis Nyalali aliunda tume kuchunguza mauaji ya mbwa alieuliwa na immigration!

hiyo ni part ndogo sana ukisikiliza yote unaweza ukazimia waislam wamekaa kimya lakini wanamengi sana vifuani mwao.

Mwembechai wamekufa watu 3 tu baada ya kufanya fujo..lakini Zombe kaua watu 5 na yupo mtaani na tumeskia anaidai fidia serikali. Sasa sema basi na serikali inadhulumu wale watu wa Morogoro. Nyie bure kabisa.
 
Latest statistics zinaonyesha maskini wa mwisho Tanzania anatoka Sumbawanga na Shinyanga..na huko wengi wao ni wakristo tena wana makanisa makubwa sana vijijini sijui hao nao unasemaje?

Sisi na vizazi vyetu tutadai haki zetu bila kuchoka na huku tunasubiri Muumba atuongoze..japo wengi mtakereka..mtaelewa tu.

Jibu hoja ya Mwembechai, takwimu mie mtakwimu?kobe wewe.
 
Topical,

..binafsi sipingi serikali kuisaidia kifedha mahakama ya Kadhi.

..ninachopinga ni hoja za kutaka Raisi wa Jamhuri awe na mamlaka ya kumteua Kadhi Mkuu.

..kwa mtizamo wangu, Waislamu waanzishe mahakama ya Kadhi, na wamchague Kadhi Mkuu bila kuingiliwa na taasisi za serikali. kama watahitaji msaada wa kuendesha mahakama hizo, basi serikali isisite kuwasaidia.

..unasema Maaskofu wanapinga serikali kutoa fedha kwa mahakama ya Kadhi. lakini hatujasikia Maaskofu wakipinga Bakwata inapopewa fedha, au serikali ilipowapatia Waislamu chuo cha Tanesco Morogoro.

..nadhani hii ni hoja nzito na tuwe waangalifu "tusichanganye machungwa na ma-apple."

Well, kama huo ni msimamo wako binafsi waislamu wanaupokea kwa mikono miwili,

Lakini sisi tulipeleka mapendekezo yetu serikalini ikiwemo hiyo option unayosema ya kuanzisha bila mandate ya serikali...ila uwepo utaratibu wa kulipiwa na serikali

Maaskofu wakamwandikie barua PM..kumkemea hatua yoyote ile mahakama ya kadhi isifanikiwe kilichofuata na PM kupiga danadana (tunajua anavyoogopa maaskofu na anavyoendekeza udini)

Hivyoutaona kila wakati madia yetu hata ya kikatiba mfano (inquiry ya waumini kuua inabinywa) kwa maagizo ya maaskofu unatagema waislamu wafanyaje?

Soon tutashea maumivu than tutakaa mezan itukishaumia..hizo ndio kanuni za haki
 
Hilo Tamko cha mtoto nina CD inaonyesha kila kitu kilichojiri hata Mkristo anaemuogopa Mungu ataona bila tochi uonevu unaofanywa na Serikali juu ya Waislam. Mtoa hotuba kuna point moja anasema Walipouwawa watu mwembechai Maaskofu walikaa kimya! Waislam wakaomba inkwest wakakataliwa. Akaomwa spika Msekwa akasema bunge halina pesa ya kufanya inquest lakini mwaka huo huo Serikali kupitia Jaji Mkuu Francis Nyalali aliunda tume kuchunguza mauaji ya mbwa alieuliwa na immigration!

hiyo ni part ndogo sana ukisikiliza yote unaweza ukazimia waislam wamekaa kimya lakini wanamengi sana vifuani mwao.

Katika idadi hiyo ya Waislam wenye malalamiko waondoe watu wenye busara kwanza: Jenerali Ulimwengu, Salim Ahmed Salim, Prof. Issa Shivj, Waandishi nguli wa Mwanahalisi ( Saed Kubenea, Jabir Issa, Omar etc), Haroub Othmnan (RIP), Mohammed Shein, Rashid Kawawa (RIP), Omar Ali Juma (RIP), na wengine waliopiga shule na wanaojua ukweli. Baada ya hapo ndo ubaki na wachumia Tumbo ambao wananunulika hata kwa Shs. Million 1 waeneze uvumi wa kipuuzi kama huu. Amini nikwambiayo, mkakati huu ndilo jeneza la mwisho la JK, na RA, na kuwadi wao Makamba. Hii ndo mwisho wa jeuri ya kina Kinana. Mtaji huu wa udini hautawaathiri Wa tanzania kamwe, bali wale waliouleta maana wameasisi jambo ovu kwa nia ovu. Hakika kuanguka kwao hakuna mfano!
 
Unafurahia kunitukana?

Jibu hoja wewe mtakwimu..Fujo mfanye nyie, kuwaua awaue Makamba, ila kosa la maaskofu..mna bahati Wakristo ni waoga tu. Mi ningekuwa mkristu na watu wengine kama mimi walau 50 tu..mngekoma kuringa..hamna akili kabisa nyie.
 
Hata wao wanajua ukweli, usiwa underrate, wanafahamu na wanachukia udini uliokithiri Tanzania
 
...ila uwepo utaratibu wa kulipiwa na serikali
Kwanini serikali ilipie kitu ambacho sio manufaa kwa wananchi wote..... where do we draw the line? kila tabaka la watu likitaka kufanya mambo yao kodi za wananchi ambazo hazitoshelezi kupeleka watoto shule na kuhudumia watu afya zao zigawanywe kwenye issue ambazo sio basic needs za kila mwananchi?
 
Jibu hoja wewe mtakwimu..Fujo mfanye nyie, kuwaua awaue Makamba, ila kosa la maaskofu..mna bahati Wakristo ni waoga tu. Mi ningekuwa mkristu na watu wengine kama mimi walau 50 tu..mngekoma kuringa..hamna akili kabisa nyie.

Huwezi kufanya lolote, na hata ukifanya litakuwa jambo la muda tu...maana haki haina muda itapatikana tu kanuni zake ni kudai, kuisema na kuipigania...
 
Kwanini serikali ilipie kitu ambacho sio manufaa kwa wananchi wote..... where do we draw the line? kila tabaka la watu likitaka kufanya mambo yao kodi za wananchi ambazo hazitoshelezi kupeleka watoto shule na kuhudumia watu afya zao zigawanywe kwenye issue ambazo sio basic needs za kila mwananchi?

Well, Kwanini walipie taasisi za kanisa?

Kwanini wasilipie za kiislamu
 
Huwezi kufanya lolote, na hata ukifanya litakuwa jambo la muda tu...maana haki haina muda itapatikana tu kanuni zake ni kudai, kuisema na kuipigania...
Haki gani? haki ya kulalamika? au haki ya kuwa wapumbavu?
 
Well, Kwanini walipie taasisi za kanisa?

Kwanini wasilipie za kiislamu

Hoja hapa ni kwanini Wasilamu baada ya kuona Wakristu wana MoU na serikali, wao wakakaa kitako na kusubiri muda uende ili baadae wapate sababu ya KULALAMA.their favourite sports, i guess, typical eeh?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom