Ndugu zangu Waislam upumbavu ni tusi ila ujinga si tusi ,mjinga mfaamishe ataelewa ila mpumbavu mwache maana hata elewa ,wakati wamisionari wa kikristo wanajenga shule ili kuwaelimisha maaskofu, mapadre na wachungaji wengine ,waislam walikuwa bize na elimu yao ya dini ,wakristo kupitia shule zao walijifunza elimu ya duniani na elimu ya Mungu,leo hii si jambo la kuficha wakristo wengi wamesoma. Katika dunia ya sayansi na teknolojia elimu ya madrasa pekee haina nafasi, mawazo ya mashehe yanafika mahala yanagota ndio maana mambo yao bila kusimamiwa hayaendi...HIVI MWAKA 2005 MBONA WAKRISTO WALIMUITA JK MTEULE WA MUNGU ? MBONA HAWAKUMPINGA? MBONA WAKRISTO WALIMCHAGUA JK KWA SIFA ZAKE NA SI KWA DINI YAKE? JAMANI ELIMIKENI MNAACHWA NYUMA.