Kwa hiyo wewe peke yako ndio muislamu sio? au unayo detector ya kujua dini za wana JF?[/QUOTE]
Anayo detector ameshawajua waislam wote humu ndani kwa hiyo kazi kwenu mnaodanganya, mie simo!!!!
Kwa hiyo wewe peke yako ndio muislamu sio? au unayo detector ya kujua dini za wana JF?[/QUOTE]
Anayo detector ameshawajua waislam wote humu ndani kwa hiyo kazi kwenu mnaodanganya, mie simo!!!!
Jiulize mbona shule ya msingi umesoma na waislam wengi Sekondari wakati ule kidato cha kwanza "wanachaguliwa" walikuwa wanachaguliwa waislam wangapi? ilhali wakristo walikuwa na fursa kwenye shule zao za seminari nyingine zilikuwa chini ya East African Muslim Welfare Society chini ya Aga Khan shule hizo moja wapo ni Tambaza, Azania na shule ya msingi Lumumba hizi ni kwa uchache tu.
MAFANIKIO YA WILLIBROD PETER SLAA KIKAZI NA KITAALUMA
1.Mkurugenzi Mtendaji,chama cha wasioona Tanzania, 1992-1998
2.Katibu Mkuu, Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), 1985-1991
3.Mkurugenzi wa maendeleo (Jimbo Katoliki la Mbulu). 1977-1979-1982-1985
4.PADRI WA KANISA LA KATOLIKI 1977-1978-1979-1980-1981-1982-1983-1984-1985-1986-1987-1988-1989-1990-1991
CHADEMA RAIS wenu huyo..NO Offense someni haraka then save mpaka kesho sidhani kama hii post tutaikuta wakiona wenyewe bye mimi nilikuwa napita tu.
Wewe kabila gani? pengine itakuwa vizuri tukikufahamisha jini ni nini na shetani ni nini kwa kilugha. Hayo ni majina mawili yenye maana tofauti mkuu. kama huelewi bi bora uulize usiropoke tu utaonekana mjinga.
Usibadilishe mada, topic iliyopo ni kwa waislam kutumiwa kama toilet paper bado wana mategemeo ambayo Kikwete hawezi yatimiza, walidanganywa watulie hadi baada ya uchaguzi sasa wameanza kushituka kuona miezi inapita, Kikwete naye baada ya kuona hawezi timiza anatapatapa na kuutupa mpira kwenye udini kiwe kama kisingizio cha kushindwa kwake.MAFANIKIO YA WILLIBROD PETER SLAA KIKAZI NA KITAALUMA
1.Mkurugenzi Mtendaji,chama cha wasioona Tanzania, 1992-1998
2.Katibu Mkuu, Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), 1985-1991
3.Mkurugenzi wa maendeleo (Jimbo Katoliki la Mbulu). 1977-1979-1982-1985
4.PADRI WA KANISA LA KATOLIKI 1977-1978-1979-1980-1981-1982-1983-1984-1985-1986-1987-1988-1989-1990-1991
CHADEMA RAIS wenu huyo..NO Offense someni haraka then save mpaka kesho sidhani kama hii post tutaikuta wakiona wenyewe bye mimi nilikuwa napita tu.
MAFANIKIO YA WILLIBROD PETER SLAA KIKAZI NA KITAALUMA
1.Mkurugenzi Mtendaji,chama cha wasioona Tanzania, 1992-1998
2.Katibu Mkuu, Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), 1985-1991
3.Mkurugenzi wa maendeleo (Jimbo Katoliki la Mbulu). 1977-1979-1982-1985
4.PADRI WA KANISA LA KATOLIKI 1977-1978-1979-1980-1981-1982-1983-1984-1985-1986-1987-1988-1989-1990-1991
CHADEMA RAIS wenu huyo..NO Offense someni haraka then save mpaka kesho sidhani kama hii post tutaikuta wakiona wenyewe bye mimi nilikuwa napita tu.
Niwaambie ukweli, mwenzenu hadi hivi sasa siwezi, sitaki, sikubali na wala sifikirii kukubali kuwa hili ndilo lilikuwa tamko rasmi la hao viingizo wa Kiislamu. Nakataa.
Usibadilishe mada, topic iliyopo ni kwa waislam kutumiwa kama toilet paper bado wana mategemeo ambayo Kikwete hawezi yatimiza, walidanganywa watulie hadi baada ya uchaguzi sasa wameanza kushituka kuona miezi inapita, Kikwete naye baada ya kuona hawezi timiza anatapatapa na kuutupa mpira kwenye udini kiwe kama kisingizio cha kushindwa kwake.
Endelea kukataa, wala hatuhitaji wewe ukubali..ndio sisi tutuoe tamko
Meanwhile, ni vizuri ukaelewa tamko kwa makini yasije yakatokea mkasema hatujaambiwa
Niliwahai kusema nchi hii lazima kutatokea mgawanyiko kwasababu haki imebinywa sana kwa jamii fulani..
Pole sana kuwa mvumilivu naona hasira nyingi, mimi sijaona hiyo mada ya toilet pepa unayosema usiwapangie watu wazima cha kusema wapangie watoto wako au mke wako, wewe unapenda kujadili vitu unavyopenda wasiwasi wetu sisi watanganyika PADRI kuwa RAIS..tunaogopa SCANDAL PRIEST HOMOSEXUALUsibadilishe mada, topic iliyopo ni kwa waislam kutumiwa kama toilet paper bado wana mategemeo ambayo Kikwete hawezi yatimiza, walidanganywa watulie hadi baada ya uchaguzi sasa wameanza kushituka kuona miezi inapita, Kikwete naye baada ya kuona hawezi timiza anatapatapa na kuutupa mpira kwenye udini kiwe kama kisingizio cha kushindwa kwake.
Kulikuwa na posta moja inayouliza hiyo haki iliyobinywa kwa wasialamu ni ipi. Kila ninaposama malalamiko yanayotolewa na wasemaji wa wasilamu, huwa naona wote wanatoa conjectures na speculations tu. Kuna mtu kasema eti waziri wa elimu aliwahi kuwa padri, (nadhani padri Chiwanga) kwa hiyo aliwafelisha waislamu waseindelee na elimu ya sekondari. Hata hivyo hajatoa ushahidi wowote kuonyesha jinsi waziri huyo alivyokuwa anaamua matokeao ya mtihani wa darasa la saba kwa nchi nzima wakati kila mkoa ulikuwa unasimaia mitihani yao. Nasikitika sana waislamu wanasiasa makini kama Dr Omar Juma na Sheikh Idria Abudul wakili hawapo tena miongon mwetui leo hii. Wanasaisa wengi waislamu haSA WALE WA NGAZI ZA JUU NDANI YA ccm WAMEKUWA NI WANAFIKI WANAOCHOCHEA MGAWANYIKO WA KIDINI ILI WAENDELEE KUWAPO MADARAKANI, NA MASHEIKH WANAKUBALI KUTUMIKA KWA NJIA HIYO.
Ni swala la ajabu sana Waislam kujiingiza kwenye migogoro ya America and Middle East linatokana na ufinyu wa watu kufikiri. Mimi naishi US and honest mji niliopo kuna misikiti over 150 na tunaishi peaceful, sababu we figure out kwamba vita ya Middle East and U.S is non of our business.
Watanzania waislam wanaitaji mambo mawili, kwanza kuacha kulalama kwamba tumekandamizwa 1950's, pili kujikita katika Elimu na Ujasilimali. Hii itaongeza chachu kwenye community, more jobs will be developed and people will earn their share of pie. Kuendelea kulia lia kwamba tunabanwa, tunanyanyaswa hakusaidii kitu. Elimu and Ujasilimali is the key of any economic development.
Sasa kama mnataka kuendelea kunywa gahawa pale mwamboni na kutaka serikali iwaletee mpaka mikate ya Boflo, then be my guest my friend because Government is not a solution but part of a problem. I learned that in the hardway..... dawa ni ku-train watu wenye taaluma kuja kufundisha shule zetu na vyuo vyetu bila kubagua.... Kumbuka hadithi ya Hijirah wakati mtume (swa) alivyo mtafuta kijana wa kumlisha ngamia na kumsaidia kuongoza njia kwenda madinah, kijana yule hakuna muislam bali alikuwa amebobea kwenye direction ndani ya jangwa (now days tungemuita GPS). Hadhi hii inaonyesha kwamba Mtume (swa) aliajiri mtu kutokana na ujuzi wake na sio dini yake.... sasa kama mtume wa mungu alifanya hivyo, jee mimi na wewe?
Hawa kina shekh Juma Ponda na wehu wengine ni opportunist ambao hawana shule. Ndio maana nawaambia waislam wengi dunia Tanzania kunaitaji vitabu vingi vya dini vilivyochambuliwa kiswahili. America wamechambua almost kila kitabu, Tanzania need to do the same.... ama sivyo tutaangamia....