Jamani , kulalamikaaaaa kutwa, ingekua Rais Mkristo wangesema wanaonewa, adui wetu waislamu ni waislamu wenyewe, Tunajilaum kwa mambo yaliyo ndani yetu. TUNAOGOPA VISIVYO OGOPESHA.
UKITAKA KUJUA SISI NA MASHEHE WETU TUNAJIDHALILISHA ANGALIA MATAMKO YETU, Yamepwaya, hayana uzito wala mantiki, Maaskofu wakikemea Jambo, Mashehe wanakuja kujibu, ahaaaah kinyaa kabisa, Maaskofu wanawapuuza mashehe, kwakua wanaonekana ni watu wasio na ufahamu, uelewa na wala elimu katika maisha ya kawaida.
Soma hiyo thread juu, ni ujinga unaoweza kuukuta ndani ya Gazeti la Annuur na redio Imani sijui ya kule Morogoro.
tunajidhalilisha sana.
Nguvumali na Wana JF,hakika hili TAMKO LA WAISLAMU(FULL TEXT)linatia kichefuchefu,lina-bore,linaudhi na ni upupu na upuuzi mtupu. Kwa ujasiri kabisa naweza kusema hili tamko ni FOOLISH TEXT au FULL RUBBISH.
Hapa ndipo wale GREAT THINKERS wanapoweza kuona udhaifu mkubwa kabisa ulioko kwenye dini ya hawa ndugu zetu. Napenda nimnukuu mwanafalsafa aliyewahi kusema,''Great
minds discuss ideas; Average
minds discuss events; Small
minds discuss people." -Eleanor Roosevelt
Kulingana na tamko la hawa waislamu, wao hawako kwenye
Great minds wala
Average minds kulingana na ER. Waislamu wanaangukia moja kwa moja kwenye
kundi la Small minds!
Ukisoma TAMKO lao limejaa manung'uniko na malalamiko ya kuwasema WAKRISTO na SERIKALI yao kuwa ina wanyanyasa na kuwaonea madai ambayo hayana msingi hata chembe
.
Hizi ni sawa na porojo za wahuni wa vijiweni waliokosa kazi, waliobakisha kula bangi na kunywa gahawa!
Kuna Waislamu wachache wanaoweza kuchambua au kupambanua mambo kama
nguvumali nilivyomnukuu hapo juu. Huyu amesema kweli kabisa ambayo hakuna anayeweza kupinga.
Hawa Masheikh wa Kiislamu inaonyesha hawana upeo wa elimu ya kuchanganua mambo. Ni masheikh waloishia elimu ya MADRAS ambayo sana sana ni kujifunza kusoma KIARABU na KURUANI,full stop.Unategemea nini mtu mwenye elimu ya MADRAS? Hawa jamaa huwa wanafikiri wakishajua kutamka maneno ya KIARABU basi wameshafuzu.
Mimi huwa nawaambia Kiarabu ni lugha tu wala si imani wala dini. Sijui nani aliyewadanganya kuwa KIARABU ni lugha au dini ya Mwenyezi Mungu na kwamba bila kiarabu huwezi kwenda akhera? Utakuta mdigo anang'ang'ana kuswalisha kwa Kiarabu ilihali anaowaswalisha ni Wadigo! Why not speak in your native language kidigo so that the Digos get the Quran message in their mother tongue? Why speak Arabic language? Huu ni udhaifu mojawapo wa dini ya Kiislamu. Kuthamini lugha ya Kiarabu na kudharau lugha ya mama! Hilo ni moja.
Lakini la pili,ni haya malalamiko ya Waisalmu kuwa wanaonewa katika serikali kwa maana kunyimwa nyadhifa katika uongozi mbalimbali. Wametaja u-DC,u-RC,Ubunge,Uwaziri n.k.
Swali kwa Waislamu hawa ni Je, hivi mtu unaweza kuajiriwa,kuteuliwa au kuchaguliwa kama huna SIFA(Qualifications) kwa maana ya CVs???Ni wapi ulikuta vyeo vinagawiwa kama karanga???
Tuanze na hili la u-DC/RC,la kuteuliwa na Rais. Tumekuwa na awamu nne za Marais ambao ni Waislamu. Ali Hassan Mwinyi (Mzee Ruksa)- awamu 2 na sasa tuna Jakaya Kikwete ambaye yuko awamu yake ya 2. Je, hawa Marais walishindwaje kuteua ma-DC/RC Waislamu kama wapo na wana sifa? Jibu ni kwamba hao Waislamu wenye sifa hawapo.
Hili la Wabunge niseme hivi: Kuna vyama vingi sana vya upinzani na havibagui dini ya mtu. Hawa waisalmu wanakuwaga wapi kugombea nafasi za Ubunge zinapotangazwa kupitia vyama mbalimbali? Jibu ni kwamba HAWANA SIFA ZA KUGOMBEA UBUNGE. Sifa waliyonayo ni degrees za MADRAS! Mbona tuna wabunge waislamu ambao wana sifa wanagombea na wanachaguliwa? Zitto Zuberi Kabwe(Mwuislamu) ni mbunge kijana kupitia tiketi ya CHADEMA. Ubaguzi uko wapi.Bado kuna wabunge wa KUTEULIWA: Rais ana uwezo wa kuteua Wabunge 10. Baada ya Uchaguzi mwaka jana Rais Kikwete alianza kwa kuteua wabunge 3 wote WAISLAMU, Nahodha Waziri wa Mmabo ya Ndani, Zakhia Meghji,na Prof.Mbawala. Wameteuliwa kwa sababu wana sifa mbali ya ushikaji n.k.
Kuhusu Mawaziri ni kwamba hawa wanatokana na Wabunge wa kuchaguliwa au kuteuliwa. Sasa kama Waislamu hamkugombea ubunge mkachaguliwa na wala Rais Kikwete(Mwuislamu) hakuwateuwa kwa sababu hamkuwa na sifa mnataka nchi ifanyaje kuwasaidia au kuwaingiza kwenye madaraka???????????Hakika madai yenu ni porojo na ndoto za Alnacha.
Kuna kipindi Mzee Ruksa aliwaambia Waislamu kwenye mojawapo ya mikutano yenu ya aidha Baraza la Idd au Maulid or whatever kuwa,WAISLAMU MUACHE KULALAMIKA BAALI MKAZANE KUSOMA KAMA WENZENU WAKRISTO.
Maneno hayo hayo yakaja kurudiwa na Jakaya mwenyewe kuwa WAISLAMU NENDENI MKASOMA NA MJENGE SHULE ILI WATOTO WENU WASOME. Kikwete alienda mbali zaidi kwa kuwaambia kuwa YEYE KIKWETE ALISOMA SHULE ZA MISSION MAANA NDIZO ZILIZOKUWEPO na mpaka sasa zinaendelea kuwepo. Waislamu badala ya kujenga English Medium Primary Schools,Seminaries na Universities kila SIKU WANAJENGA MISIKITI na MADRAS KILA KONA na kila mtaa! Saa ngapi mtasoma ili mpate hizo nafasi mnazo zililia huko serikalini???
Waislamu acheni unafiki. Kwa hili hakuna atakaye waunga mkono.
Nitaendelea.