Matamko ya (baadhi) waislam (Dar na Mwanza)

Status
Not open for further replies.
Naona mmejisahau sana.....mmebebwa na sasa mmesahahu.
Narudia tena:
Baada ya miaka 50 ya kuachia kundi moja la jamii likistarehe na hali Waislamu wanateseka, umefika wakati sasa wa kugawana machungu ya udini tuliyoyabeba peke yetu kwa miaka hamsini.

Need we say more??

Yes,you need say more.For instance,kwanini mnakwepa kubainisha kuwa wahusika wakuu wa UJAMBAZI wa Richmond na Dowans ni Kikwete (Muislam),Rostam (Muislam),Nazir Karamagi (Muislam) Ibrahim Msabaha (Muislam),Idris Rashind (Muislam) na Edward Lowassa ambaye ni Mkristo (aliyeteuliwa na Muislam mwenzenu Kikwete).

Je hizo Bilioni 85 wanazotaka kuilipa Dowans zitapelekwa misikitini au kwenye akaunti binafsi za mafisadi hao?

Au,tukiweka kando suala la ufisadi ambao unamwathiri KILA MLALAHOI PASIPO KUANGALIA ANASALIA KANISANI AU ANASWALI MSIKITINI,je aliyewaahidi Mahakama ya Kadhi mwaka 2005 alikuwa Kardinali Pengo au MUISLAM MWENZENU Kikwete na ustaadh mwenzie MAKAMBA?Mnajua mmeingizwa mkenge,na mnajua waliowaingiza mkenge,lakini kwa vile nyie ni vichwa maji,mnakimbilia kuwalaumu Wakristo.

Mafisadi wameshabaini kundi gani linaweza kuwatumikia kirahisi kuendeleza ajenda zao za kuifilisi Tanzania.Na mnatumika kama hamna akili nzuri.

Tuondoleeni uzushi wenu hapa.Tuna mambo ya muhimu zaidi ya kudili nayo kuliko kusikia upuuzi huu.Na kuthibitisha ubabaishaji wenu,mmeshindwa hata kutoa hitimisho as to NINI KIFANYIKE.Endeleeni kulialia kama watoto,mkichoka mtanyamaza.
 
In case hamtaki kila tunachoomba e.g. mahakama ya kadhi (kero kwa maaskofu), OIC (kero kwa maaskofu) tukipata haya tutakaa pamoja..ok

Mkuu Topical
Mambo yenu waislam hayatakuja kufanikiwa hata siku moja, due to
Elimu yenu imeegemea upande mmoja
hakuna mshikamano, upendo na amani miongoni mwenu wenyewe, ni mara ngapi tunaona mnafukuzana misikitini? Mara mnapinduana uongozi

Siku mkiwa kitu kimoja ndio mnaweza kufanya kitu kikaonekana
 
Kwani Rais Kikwete ni MKATOLIKI?Makamba ni MLUTHERANI?Hivi sio hawa waliowaahidi mahakama ya Kadhi?Unapoandika "HAMTAKI" ni kama Kikwete au Makamba sio Waislam wenzenu.Tuondoleeni upuuzi wenu hapa.Kama mna malalamiko,mkalieni kooni ustaadh mwenzenu Kikwete.Mnajifanya kama hamjui kuwa JAMBAZI HANA DINI
 
Yes,you need say more.For instance,kwanini mnakwepa kubainisha kuwa wahusika wakuu wa UJAMBAZI wa Richmond na Dowans ni Kikwete (Muislam),Rostam (Muislam),Nazir Karamagi (Muislam) Ibrahim Msabaha (Muislam),Idris Rashind (Muislam) na Edward Lowassa ambaye ni Mkristo (aliyeteuliwa na Muislam mwenzenu Kikwete).

Je hizo Bilioni 85 wanazotaka kuilipa Dowans zitapelekwa misikitini au kwenye akaunti binafsi za mafisadi hao?

Au,tukiweka kando suala la ufisadi ambao unamwathiri KILA MLALAHOI PASIPO KUANGALIA ANASALIA KANISANI AU ANASWALI MSIKITINI,je aliyewaahidi Mahakama ya Kadhi mwaka 2005 alikuwa Kardinali Pengo au MUISLAM MWENZENU Kikwete na ustaadh mwenzie MAKAMBA?Mnajua mmeingizwa mkenge,na mnajua waliowaingiza mkenge,lakini kwa vile nyie ni vichwa maji,mnakimbilia kuwalaumu Wakristo.

Mafisadi wameshabaini kundi gani linaweza kuwatumikia kirahisi kuendeleza ajenda zao za kuifilisi Tanzania.Na mnatumika kama hamna akili nzuri.

Tuondoleeni uzushi wenu hapa.Tuna mambo ya muhimu zaidi ya kudili nayo kuliko kusikia upuuzi huu.Na kuthibitisha ubabaishaji wenu,mmeshindwa hata kutoa hitimisho as to NINI KIFANYIKE.Endeleeni kulialia kama watoto,mkichoka mtanyamaza.

Emotions..hupunguza busara pole,

EPA..Mramba, Kiwira Mkapa, tuendelee kuwataja mafisadi wa kikristo?
 
Kwani Rais Kikwete ni MKATOLIKI?Makamba ni MLUTHERANI?Hivi sio hawa waliowaahidi mahakama ya Kadhi?Unapoandika "HAMTAKI" ni kama Kikwete au Makamba sio Waislam wenzenu.Tuondoleeni upuuzi wenu hapa.Kama mna malalamiko,mkalieni kooni ustaadh mwenzenu Kikwete.Mnajifanya kama hamjui kuwa JAMBAZI HANA DINI

Utakasirika sana mwaka huu, soon mtatoa hiyo mahakama either kwa nguvu au kwa hiari..sisi hatufanyi kazi kwa muda maalum..anytime is ok, Mungu habanwi na Muda..
 
Mi sijawaelewa kwa hiyo mnataka tugawane mikoa? Then nyinyi mchukue kigoma, tabora, lindi, mtwara, pwani, morogoro, singida, tanga na dar es salaam au?, and then mnazungumza kuwa kama mimi naamini YESU NI MUNGU ninakosea ila nyinyi ndo mko sahihi? What's wrong with you? Njooni na tamko kama tunataka this and this mbona mnazunguka zunguka? Kama mnaonewa nanyi mahakama si zipo?
 
Humu ndani kuna waislam wachache wasio makini maana walio makini wote wamekaa kimya kwani itakuwa aibu kwao kuchangia tamko kama hili. Mimi kuna baadhi ya magazeti huwa nanunua kila toleo ili nicheke. Gazeti lililojaa taarifa hii limejaribu kuweka picha ya Abby Sykes mara mbili ili kujaribu kushawishi kuwa kuna watu makini walikuwepo kwenye uandaaji wa hili tamko. Sisi tusio waislam makini tunaojifanya waislam tubadirike jamani.
 
Mkuu Topical
Mambo yenu waislam hayatakuja kufanikiwa hata siku moja, due to
Elimu yenu imeegemea upande mmoja
hakuna mshikamano, upendo na amani miongoni mwenu wenyewe, ni mara ngapi tunaona mnafukuzana misikitini? Mara mnapinduana uongozi

Siku mkiwa kitu kimoja ndio mnaweza kufanya kitu kikaonekana

Yana mwisho hayo..kadiri giza linapoonekana ndio mwanga unapokuwa karibu..karibuni hivi tutafanikiwa.
 
Emotions..hupunguza busara pole,

EPA..Mramba, Kiwira Mkapa, tuendelee kuwataja mafisadi wa kikristo?

Kwenye EPA!Jeetu Patel, Farijala Husein,Rajab Maranda,Zakia Meghji....niendelee kutaja?
 
Humu ndani kuna waislam wachache wasio makini maana walio makini wote wamekaa kimya kwani itakuwa aibu kwao kuchangia tamko kama hili. Mimi kuna baadhi ya magazeti huwa nanunua kila toleo ili nicheke. Gazeti lililojaa taarifa hii limejaribu kuweka picha ya Abby Sykes mara mbili ili kujaribu kushawishi kuwa kuna watu makini walikuwepo kwenye uandaaji wa hili tamko. Sisi tusio waislam makini tunaojifanya waislam tubadirike jamani.

unajaribu ku-divide lakini hutafanikiwa kila siku tunazidi kupatana
 
Ruidi kusoma tamko between the line tumekupa ushahidi, si serikali wala kanisa wanapinga ok..(MoU) million of money za umma zinapelekwa kwenye miradi ya kanis kutoka serikalini ok.

Na bilioni 85 watakazolipwa Dowans zitapelekwa kwenye miradi ya kanisa au kwenye akaunti binafsi za hao wanaowahadaa kutumia udini kuwa-discredit wanaopambana na ufisadi?Mgao wa umeme unaosababishwa na haohao wanaowahadaa,unawaathiri Wakristo pekee au kila Mtanzania bila kuangalia dini yake?
 
Yana mwisho hayo..kadiri giza linapoonekana ndio mwanga unapokuwa karibu..karibuni hivi tutafanikiwa.

Hamuwezi kufika hata siku moja kama hamna common interest
Halafu mnataka kuwapeleka watu kama wao hawana reasoning
 
Na bilioni 85 watakazolipwa Dowans zitapelekwa kwenye miradi ya kanisa au kwenye akaunti binafsi za hao wanaowahadaa kutumia udini kuwa-discredit wanaopambana na ufisadi?Mgao wa umeme unaosababishwa na haohao wanaowahadaa,unawaathiri Wakristo pekee au kila Mtanzania bila kuangalia dini yake?

Hizo billion 85 zirudishwe serikalini no problem about that? and no dispute

Hizo billions zilizopelekwa kanisa (49 years of independence) kuomba kurudishwa nikuomba impossible!

Tunaomba waache kuwapa au watoe kwa miradi ya dini zote (simple as that)
 
Hamuwezi kufika hata siku moja kama hamna common interest
Halafu mnataka kuwapeleka watu kama wao hawana reasoning

Walisema wakoloni na makafiri wa Makka zama hizo..ndio maombi yenu lakini tusubiri inaweza kufikiwa kwa nguvu au kwa hiari (all options are on table)
 
William Mhando, David Mattaka, William Ngeleja, niendelee kuwataja?

Kwahiyo William Mhando,David Mattaka na William Ngeleja waliponufaika na fedha za EPA walipeleka KANISANI?Jibu ni kwamba,just like mafisadi wenzao wa Kiislam hawakupeleka fedha hizo misikiini,fedha walizotuibia Watanzania (bila kujali huyu ni Abdalah au John) zilienda kwenye akaunti binafsi za mafisadi hao.

Kama kibaka anapopora mtu haulizi dini yake,sembuse hao mafisadi!

You fools chose a wrong time to raise your nonsense.
 
Utashangaa safari hii mkuu hayo tunayosema yatafika mbali, wewe uliyekata tamaa shauri yako, mimi siamini katika kukata tamaa mahakama ya kadhi itakuwepo, na haki zingine pia zitapatikana we don't care when and how? sisi ni wenye kushinda tu..tulishinda wakoloni sembese hawa...

Tulipowashinda wakoloni sio sie tuliemkabidhi Julius nchi? adui wa uslamu ni mwislamu wala msiwasingizie wakristo ukipata fursa soma kitabu cha Mohammed Said kitabu kinaitwa Abdulwahid Sykes.\

Book Details Summary: The title of this book is Maisha Na Nyakati Za Abdulwahid Sykes (1924-1968): Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati Za Waislam Dhidi Ya Ukoloni Wa Waingereza Katika Tanganyika and it was written by Mohamed Said, Ali Salum Mkangwa. This edition of Maisha Na Nyakati Za Abdulwahid Sykes (1924-1968): Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati Za Waislam Dhidi Ya Ukoloni Wa Waingereza Katika Tanganyika is in a Paperback format. This books publish date is January 2002. There are 416 pages in the book and it was published by Phoneix Publishers. The 10 digit ISBN is 9966471693 and the 13 digit ISBN is 9789966471697. For the most current lowest price, Click Here.

Ukipata muda soma hii upate kujua waislamu wanacholalamikia.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ayajua-haya-ya-tanganyika-kabla-ya-uhuru.html
 
Kwahiyo William Mhando,David Mattaka na William Ngeleja waliponufaika na fedha za EPA walipeleka KANISANI?Jibu ni kwamba,just like mafisadi wenzao wa Kiislam hawakupeleka fedha hizo misikiini,fedha walizotuibia Watanzania (bila kujali huyu ni Abdalah au John) zilienda kwenye akaunti binafsi za mafisadi hao.

Kama kibaka anapopora mtu haulizi dini yake,sembuse hao mafisadi!

You fools chose a wrong time to raise your nonsense.

And zile MoU bila shaka zilienda kanisani au siyo?
 
Walisema wakoloni na makafiri wa Makka zama hizo..ndio maombi yenu lakini tusubiri inaweza kufikiwa kwa nguvu au kwa hiari (all options are on table)

Your only option is going to school.Mkiendekeza kucheza bao nakuongeza idadi ya wake (wives) kwa vile tu dini inaruhusu,mtaishia kuja hapa na malalamiko kila kukicha.Pelekeni watoto shule,jielimisheni,msisubiri ajira kutoka mbinguni,na mwambieni Ustaadh mwenzenu Kikwete mabilioni yake aliyoahidi kufanikisha maisha bora yameishia kwenye nyumba ndogo za mafisadi.

MNAMSAKA PAKA MWEUSI KWENYE CHUMBA CHA GIZA ILHALI PAKA HUYO HAYUPO KABISA CHUMBANI HUMO.Time wasting or sheer stupidity?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom